Anayenipenda mimi Moniccca awe na sifa hizi:

We unafikili kwenda mara saba ndio kutosheka inawezekana hujakutana mtaalam wa mambo hayo kama mimi pole sana utawapata haohao
 
1.mwenye hela hawezi piga bao nane hana huo muda wa kukata kiuno aache kuwaza mishe zake za hela......bao nane tafuta jobless atakufaa zaidi
 
Jana tu nimemuuliza monicca, leo kaibuka na kioja. nimeishiwa nguvu
 
Hivi c ulishaolewa ww? Au umeachwa tayari???
 
Sifa unazotaka ninazo, je wewe unatosheleza matamanio ya macho Yangu?.
 
Wewe si ulisema hutaki tena mwanaume?
 
Tumekuchoka tumekuchoka huna unalo liwaza zaidi ya ngono tu, hizo pesa siutafte mwenyewe ukanywe mabia unayo ya taka?? Unataka round nane na hela upewe????
Nashauri wanaume tuazishe operation ya kuwa toza nyinyi mnaopenda mabao mengi!!!!![emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji13]
 
Ndugu wana Jamii, mnaonaje tuache kucomment kwenye thread za Monica maana anatuchezea akiri kwa kiwango cha hali ya juu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…