It's so funny sometimes unajua hivi kwanini mnashindwa kumuelewa
moniccca lakini?
Bila kujali jinsia yake ameamua kuja na aina hii ya uandishi...wenye kugusa hisia za watu kwa vitu wasivyopenda kuvisikia maishani hasa kwenye ishu za mapenzi,
moniccca knows how to provoke minds with provocative posts then sits behind the keyboard & screen and enjoying the trending
Anajaribu kuwakilisha kundi fulani katika jamii kwa kuvaa uhusika yeye mwenyewe, na kwakweli amefanikiwa kwenye hili
So pls next
moniccca 's post read it with content