Anayenufaika zaidi kwenye mahusiano ni nani, mwanamke au mwanaume?

Anayenufaika zaidi kwenye mahusiano ni nani, mwanamke au mwanaume?

Mwanaume atapambana kwa kila njia, iwe vibarua, kazi ngumu, kukopa, ufisadi ilimradi tu aweze kumuhudumia mpenzi wake, iwe kwenye kumlisha, kumvisha, kulipa kodi, kusomesha, pamoja na gharama nyingi zilizojificha; hapo mwanaume ananufaikaje?

Mwanaume atajitahidi kujinyima na kusomesha, baada ya miaka kadhaa kupita watoto wakiwa wakubwa watamchukua mama yao na kwenda kuishi naye, huku mzee/baba akitelekezwa; mbaya zaidi mtoto anaanza kukuimbia ''nanii kama mamaaaa..aaa'' bila kujua ya kuwa baba yao ndio aliyekuwa mpambanaji mpaka wao kufikia pale; hapo mwanaume ananufaikaje?

Baada ya kuligundua hilo, kwa sasa najipa raha mwenyewe.

View attachment 3058998
Ndo maana wanaume huwai kufariki.
 
Mifumo ya kidunia imeundwa kumnyonya mwanaume. Ni wakati wa wanaume kuzifungua hizi code na kuona uhalisia.
 
Mimi nanufaika zaidi japo nayeye anasema ananufaika zaidi.
KWa ufupi naogopa kumpoteza nayeye anaogopa kunipoteza.
Basi mapenzi matamu hatariiii.
Ngoja niweke simu chaji akanikojoze mie.
Utamrushia na maji? 🤣🤣
 
Inategemea uliishi maisha gani na Mama yao.

UBAYA HULIPWA KWA UBAYA, NA UPENDO HULIPWA KWA UPENDO.

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
Nakuhakikishia hiki kitu wala hakiendani nahicho, nimekuwa sasa hadi naoa nimeona ishara mbaya kwa mama yangu mzazi kumtuhumu baba ingawa hana hata ushaidi. Pili matatizo ya wazazi wanayamaliza wao kwa wao nilijua wote walivyochangia kwenye mafanikio yangu. Ila ningeenda kichwa kichwa ningeshamchukia mzee. Kuwa uyaone. Hata huyo mzee ananiogopa akifikiri namchukia ila reality sitaki kuingilia mambo yao na kamwe siwezi kusikiliza tuhuma za mazazi yeyote kwa mzazi mwenzie hasa katika umri wao. Nikuwatunza bila kubagua. Kuwa uyaone kwanza. Hicho kigezo chako kinatumiwa na wanawake dunia nzima ila fika hospitali kwenye death bed ya wazee wakiwa wanamaliza muda wao. Utaamua kusema, mama zetu tunawapenda ila hata kuoa nimejikaza tu, they manipulate every situation at that age.
 
Waache waimbe wewe haikupunguzii chochote
Hujafika uzeeni boss, depression katika umri huo ni mbaya sana. Huoni kwasasa ukiwa na nguvu zako nanajua jinsi wanaume tunavyoweza kuishi zetu wenyewe bila stress hata usipoongea na mtu wiki nzima. Ila sio uzeeni
 
Sasa hilo ni kosa lake,alishindwa kuchagua mke sahihi.

Jitahidi wewe sasa utafute mke sahihi ili usiwarisishe wanao chuki,ubinafsi na uoga kama unavowaza mda huu.

Familia ni upendo,furaha na amani haya maswala ya sijui mimi natoa nini yasikuumize kichwa mzee ni vitu vidogo na mwisho wa siku wanawake ni viumbe dhaifu waliletwa waje watuletee watoto na kula tunavyotafuta
Sio kweli by 50% kwasababu binadamu hubadilika at any point of time na age is a great contributing factor. Ila kwa wanawake, major contributing factor ni menopause kwasababu umri huo many hormonal cycles are disturbed wengi hasa kwa wenzetu huishia kutalikiana ila huyo mama after miaka kadhaa hujiuliza kilimkuta nini hasa akayafanye yale ingawa sio wote. Kwahuku Africa ndio wazazi hujitenga kupitia watoto. Menopause inavery big side effects kwenye miaka ya 40 kwenda 50 ya mwanamke.
 
yeye ni zaidi
Hapana kwenye tendo la ndoa anayeburudika ni mwanamke zaidi kwasababu sehemu yake ya siri imezengukwa na seli za mawasilianokote ila kwa mwanaume ni kichwa tu tena kwa juu.
 
Hapana kwenye tendo la ndoa anayeburudika ni mwanamke zaidi kwasababu sehemu yake ya siri imezengukwa na seli za mawasilianokote ila kwa mwanaume ni kichwa tu tena kwa juu.
Weeeee mbona kama sio kwel ivi,,au mimi mgonjwa
 
Weeeee mbona kama sio kwel ivi,,au mimi mgonjwa
Elewa hichi kitu pudendal nerve ikishashuka huko chini ikatowa matawi yake inajizungusha kwenye kiungo chenu kama kilivyo mviringo. Ila si mwanaume. Ndio maana mwanamke anahitaji quality sex itakayomgusa kila angle ila mwanaume anaridhishwa na quantity of sex ndio maana haridhiki na tendo kufanywa siku 1 au hata na mtu mmoja
 
Hii nayo elimu mpya kwa leo
 
Back
Top Bottom