Anayepaswa kulaumiwa kwanza katika haya yanayoendelea katika Taifa ni Hayati Mwl. Nyerere

TheForgotten Genious

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2014
Posts
2,853
Reaction score
4,503
Yes,wengi wanamsifia na kumuona mzalendo na aliyekuwa na nia ya dhati kwa Taifa,nakubari katika uzalendo lakini si katika nia ya dhata kuhusu mustakabali wa kesho wa taifa hili.

Mambo mengi yanayotokea katika taifa hili kwa sasa chanzo chake kikubwa ni katika sheria mbovu zilizopo tangu mwanzo zilizo athiri mfumo wa utawala bora,haki na usawa.

Katiba ndio sheria ya kwanza iliyoharibu mfumo wa utawala bora wa Taifa hili kwa kutoa madaraka makubwa kwa mtu ambaye alidhaniwa hawezi kukosea na ikampatia kinga.

katiba ni ya mwaka 1977,wakati inaundwa Mwl.Nyerer alikuwepo madarakani,maana yake mchakato mzima uliasisiwa na kusimamiwa na yeye kutokana na nafasi yake kwa wakati huo,maana yake vifungu vyote alivijua kabla katiba haijapitishwa,na bila shaka alijua madhara ya ya baadhi ya ibara hususani ile ya 46,ilikuwaje hakutaka irekebishwe kabla haijapitishwa ili hali alijua madhara yake?,yamkini alitaka kujilinda.

Mara kadhaa alisikika katika mikutano akilalama kuhusu katiba na mamlka makubwa ya Rais,najiuliza iliwekanaje mtu aliye husika kwa kiasi kikubwa kuipitisha katiba hiyo ndio alalamike mapungufu yake ?,kwamba hakuyaona wakati huo akayaona sasa?,ni uzindukaya wa hovyo sana.

Huyu mzee na genge lake mzee Chenge ndio chanzo cha haya yote haya,mzee Warioba naye najiuliza alishindwa kumshauri mchonga meno au alishauriwa akashupaza shingo?

Haya Taifa linapitia chanzo ni huyu mzee ndio wakulaumiwa ,asingeruhusu mambo ya ajabu katika katiba haya mambo yasingefikia hapa yalipo.

Hawakujua kwamba hata ZUMBUKUKU anaweza kuwa Rais wakashindwa kutengeneza sheria zenye kumtia hofu?,leo anaibuka mtu mmoja na kusema "katiba ni kijitabu tu".

Sioni sababu ya kumpraise alidhamiria Taifa kuja kunajisiwa.
 
UJAMAA NI UTAPELI
 
Watakwambia Nyerere aliondoka madarakani miaka arobaini iliyopita. Huku wakijitoa ufahamu kwamba nchi inaongozwa na mifumo. MIFUMO ndiyo kila kitu.

Leo hii taifa kama Marekani limefika hapa lilipo kwasababu ya katiba iliyoandanikwa mwaka 1787, na waasisi wa taifa lile. Wangajichanganya tu na kujenga msingi mbovu, Marekani isingevuka 1864.

Ila ndiyo hivyo UFAHAMU ni tatizo kubwa mno kwa Watanzania!
​
 
UJAMAA NI UTAPELI
Yule mzee alikuwa na ajenda zake za siri ndio maana alikuwa na sera za kijinga
 
Labda Alikuwa na nia njema mkuu mwanzoni

Ila,

Wachina na warusi ndio walio mpiga changa la macho. Akafata sera zao ili awafurahishe huku nchi ikibaki vile vile.

Na hata baada ya kuibasilldilisha nchi kutoka socialism na kuwa democratic socialism ikawa kuruka mkojo na kukanyaga kinyesi

Ila atleast hakuiuza nchi ingawa umasikini ulikubuhu

Lakini pia alikiri kufeli kwa njia zake za ujamaa haswa katika kutaifisha viwanda.
 
Watakwambia Nyerere aliondoka madarakani miaka arobaini iliyopita. Huku wakijitoa ufahamu kwamba nchi inaongozwa na mifumo. MIFUMO ndiyo kila kitu.

Leo hii taifa kama Marekani limefika hapa lilipo kwasababu ya katiba iliyoandanikwa mwaka 1787, na waasisi wa taifa lile. Wangajichanganya tu na kujenga msingi mbovu, Marekani isingevuka 1864.

Ila ndiyo hivyo UFAHAMU ni tatizo kubwa mno kwa Watanzania!
​
ONDOA NENO "WATANZANIA" weka "WATANGANYIKA",wanzanzibar walishajichukulia mamlaka yao kamili na ndio maana wana bunge lao,Rais wao,katiba yao,bendera yao nk,na walipata katiba yao mpya tukiwa katika muungano na ndio siku Muungano ulikufa na TANZANIA ilikufa,WATANGANYIKA tumekuwa kama malofa,ka nchi ambako ukubwa wake na idadi yake ya watu haifiki hata Jimbo la kivule inawezaje kutuzidi kete?
 
Labda Alikuwa na nia njema mkuu mwanzoni

Ila,

Wachina na warusi ndio walio mpiga changa la macho. Akafata sera zao ili awafurahishe huku nchi ikibaki vile vile.

Ila atleast hakuiza nchi

Lakini pia alikiri kufeli kwa njia zake.
Alijitahidi kukiri,ila kuna makosa alifanya na yalikuwa ndani ya uwezo wake leo yanaligharimu taifa.
 
HAswa , akawa king'ang'anizi wa kushikilia misimamo ambayo haikuleta matunda maana alijihisi bado ana muda mrefu kosa pia lingina ni kumleta mwinyi sasa hapo ndio aliharibu kila kitu
 
Watakwambia Nyerere aliondoka madarakani miaka arobaini iliyopita. Huku wakijitoa ufahamu kwamba nchi inaongozwa na mifumo. MIFUMO ndiyo kila kitu.

Leo hii taifa kama Marekani limefika hapa lilipo kwasababu ya katiba iliyoandanikwa mwaka 1787, na waasisi wa taifa lile. Wangajichanganya tu na kujenga msingi mbovu, Marekani isingevuka 1864.

Ila ndiyo hivyo UFAHAMU ni tatizo kubwa mno kwa Watanzania!
​
How comes unasema nchi inaongozwa na mifumo halafu unamlaumu Nyerere!

Umejielewa kweli?!

Au kwako Nyerere ndie alikuwa mfumo wenyewe?!

Ujuaji ukizidi ni tatizo.
 
kuna sehemu hujamuelewa mkuu,nilichomuelewa ni kwamba nyerere alifeli kutengeneza nchi yenye mifumo imara,Marekani waliweza
 
Sijaona kosa la mchonga hapa
Aliwezaje kuruhusu katiba hii yenye madudu kama haya wakati alikuwa anajua madhara yake,na alikuwa na mamlaka na uwezo wa kuzuia ,kiburi kikubwa cha Rais kipo katika ukuu wa madaraka makubwa aliyonayo na Ile ibara y 46 inayompa kinga na uhalali wakufanya jambo lolote atakalo. HAKUIONA HIYO IBARA?
 
Yes,wengi wanamsifia na kumuona mzalendo na aliyekuwa na nia ya dhati kwa Taifa,nakubari katika uzalendo lakini si katika nia ya dhata kuhusu mustakabali wa kesho wa taifa hili.

Mambo mengi yanayotokea katika taifa hili kwa sasa chanzo chake kikubwa ni katika sheria mbovu zilizopo tangu mwanzo zilizo athiri mfumo wa utawala bora,haki na usawa.

Katiba ndio sheria ya kwanza iliyoharibu mfumo wa utawala bora wa Taifa hili kwa kutoa madaraka makubwa kwa mtu ambaye alidhaniwa hawezi kukosea na ikampatia kinga.

katiba ni ya mwaka 1977,wakati inaundwa Mwl.Nyerer alikuwepo madarakani,maana yake mchakato mzima uliasisiwa na kusimamiwa na yeye kutokana na nafasi yake kwa wakati huo,maana yake vifungu vyote alivijua kabla katiba haijapitishwa,na bila shaka alijua madhara ya ya baadhi ya ibara hususani ile ya 46,ilikuwaje hakutaka irekebishwe kabla haijapitishwa ili hali alijua madhara yake?,yamkini alitaka kujilinda.

Mara kadhaa alisikika katika mikutano akilalama kuhusu katiba na mamlka makubwa ya Rais,najiuliza iliwekanaje mtu aliye husika kwa kiasi kikubwa kuipitisha katiba hiyo ndio alalamike mapungufu yake ?,kwamba hakuyaona wakati huo akayaona sasa?,ni uzindukaya wa hovyo sana.

Huyu mzee na genge lake mzee Chenge ndio chanzo cha haya yote haya,mzee Warioba naye najiuliza alishindwa kumshauri mchonga meno au alishauriwa akashupaza shingo?

Haya Taifa linapitia chanzo ni huyu mzee ndio wakulaumiwa ,asingeruhusu mambo ya ajabu katika katiba haya mambo yasingefikia hapa yalipo.

Hawakujua kwamba hata ZUMBUKUKU anaweza kuwa Rais wakashindwa kutengeneza sheria zenye kumtia hofu?,leo anaibuka mtu mmoja na kusema "katiba ni kijitabu tu".

Sioni sababu ya kumpraise alidhamiria Taifa kuja kunajisiwa.
yule mzee ndiye chanzo cha umasikini Tanzania katikati ya utajiri mwingi. Ndiye mhusika mkuu wa kuiua Tanganyika yetu. Alikuwa mshirikina kupindukia,
 
Back
Top Bottom