TheForgotten Genious
JF-Expert Member
- Jan 18, 2014
- 2,853
- 4,503
Hii ni historia ndogo ambayo hata mbumbumbu huwezi mdanganya,wakawadanganye wengine.Watakwambia Nyerere aliondoka madarakani miaka arobaini iliyopita!
Yule mzee alikuwa na ajenda zake za siri ndio maana alikuwa na sera za kijingaUJAMAA NI UTAPELI
Ni kitabu ambacho ukikisoma utaona njia za kiuchumi na kijamii ambazo ni za usawa na ujuimikaji wa pamoja bila ya kuwa na matabaka ila kiuhalisia hiki kitabu ni silaha ya tabaka kuu ambalo ndio mamlaka ya kuwaendesha nyie huku mkidhani maisha yenu yanafanana na maofisa wale wanaowasimamia kumbe ni njia ya kuwaminya na kuwaibia kwa mgongo wa usawa.
Marx alidhani kwamba baada ya kukomesha matabaka, watu wangefanya kazi kwa kujitolea kwa manufaa ya wote, migogoro ingetoweka, na serikali ingebadilika ila alisahau wale ambao ndio wapangaji wakuu wa maswala ya kijamii na uchumi...
- Eli Cohen
- karl marx
- Replies: 7
- Forum: Habari na Hoja mchanganyiko
Labda Alikuwa na nia njema mkuu mwanzoniYule mzee alikuwa na ajenda zake za siri ndio maana alikuwa na sera za kijinga
ONDOA NENO "WATANZANIA" weka "WATANGANYIKA",wanzanzibar walishajichukulia mamlaka yao kamili na ndio maana wana bunge lao,Rais wao,katiba yao,bendera yao nk,na walipata katiba yao mpya tukiwa katika muungano na ndio siku Muungano ulikufa na TANZANIA ilikufa,WATANGANYIKA tumekuwa kama malofa,ka nchi ambako ukubwa wake na idadi yake ya watu haifiki hata Jimbo la kivule inawezaje kutuzidi kete?Watakwambia Nyerere aliondoka madarakani miaka arobaini iliyopita. Huku wakijitoa ufahamu kwamba nchi inaongozwa na mifumo. MIFUMO ndiyo kila kitu.
Leo hii taifa kama Marekani limefika hapa lilipo kwasababu ya katiba iliyoandanikwa mwaka 1787, na waasisi wa taifa lile. Wangajichanganya tu na kujenga msingi mbovu, Marekani isingevuka 1864.
Ila ndiyo hivyo UFAHAMU ni tatizo kubwa mno kwa Watanzania!
Alijitahidi kukiri,ila kuna makosa alifanya na yalikuwa ndani ya uwezo wake leo yanaligharimu taifa.Labda Alikuwa na nia njema mkuu mwanzoni
Ila,
Wachina na warusi ndio walio mpiga changa la macho. Akafata sera zao ili awafurahishe huku nchi ikibaki vile vile.
Ila atleast hakuiza nchi
Lakini pia alikiri kufeli kwa njia zake.
HAswa , akawa king'ang'anizi wa kushikilia misimamo ambayo haikuleta matunda maana alijihisi bado ana muda mrefu kosa pia lingina ni kumleta mwinyi sasa hapo ndio aliharibu kila kituAlijitahidi kukiri,ila kuna makosa alifanya na yalikuwa ndani ya uwezo wake leo yanaligharimu taifa.
Taifa lilikuwa katika Giza kuu la Ujinga.Wazazi wenu wakiwa wapi wakati huo
akamuacha Dr.SALIM akamleta kibaka mwenzake,yule mzee fegi na ganja alikuwa anakula zikawa zinamchanganyaHAswa , akawa king'ang'anizi wa kushikilia misimamo ambayo haikuleta matunda maana alijihisi bado ana muda mrefu kosa pia lingina ni kumleta mwinyi sasa hapo ndio aliharibu kila kitu
ππππakamuacha Dr.SALIM akamleta kibaka mwenzake,yule mzee fegi na ganja alikuwa anakula zikawa zinamchanganya
How comes unasema nchi inaongozwa na mifumo halafu unamlaumu Nyerere!Watakwambia Nyerere aliondoka madarakani miaka arobaini iliyopita. Huku wakijitoa ufahamu kwamba nchi inaongozwa na mifumo. MIFUMO ndiyo kila kitu.
Leo hii taifa kama Marekani limefika hapa lilipo kwasababu ya katiba iliyoandanikwa mwaka 1787, na waasisi wa taifa lile. Wangajichanganya tu na kujenga msingi mbovu, Marekani isingevuka 1864.
Ila ndiyo hivyo UFAHAMU ni tatizo kubwa mno kwa Watanzania!
Amini nakuambia,sema alikuwa anakula kwa kujificha kama Manaraππππ
kuna sehemu hujamuelewa mkuu,nilichomuelewa ni kwamba nyerere alifeli kutengeneza nchi yenye mifumo imara,Marekani waliwezaHow comes unasema nchi inaongozwa na mifumo halafu unamlaumu Nyerere!
Umejielewa kweli?!
Au kwako Nyerere ndie alikuwa mfumo wenyewe?!
Ujuaji ukizidi ni tatizo.
Nimemuelewa kulingana na uwasilishaji wake, sioni sababu ya kujiongeza hapo.kuna sehemu hujamuelewa mkuu,nilichomuelewa ni kwamba nyerere alifeli kutengeneza nchi yenye mifumo imara,Marekani waliweza
Aliwezaje kuruhusu katiba hii yenye madudu kama haya wakati alikuwa anajua madhara yake,na alikuwa na mamlaka na uwezo wa kuzuia ,kiburi kikubwa cha Rais kipo katika ukuu wa madaraka makubwa aliyonayo na Ile ibara y 46 inayompa kinga na uhalali wakufanya jambo lolote atakalo. HAKUIONA HIYO IBARA?Sijaona kosa la mchonga hapa
yule mzee ndiye chanzo cha umasikini Tanzania katikati ya utajiri mwingi. Ndiye mhusika mkuu wa kuiua Tanganyika yetu. Alikuwa mshirikina kupindukia,Yes,wengi wanamsifia na kumuona mzalendo na aliyekuwa na nia ya dhati kwa Taifa,nakubari katika uzalendo lakini si katika nia ya dhata kuhusu mustakabali wa kesho wa taifa hili.
Mambo mengi yanayotokea katika taifa hili kwa sasa chanzo chake kikubwa ni katika sheria mbovu zilizopo tangu mwanzo zilizo athiri mfumo wa utawala bora,haki na usawa.
Katiba ndio sheria ya kwanza iliyoharibu mfumo wa utawala bora wa Taifa hili kwa kutoa madaraka makubwa kwa mtu ambaye alidhaniwa hawezi kukosea na ikampatia kinga.
katiba ni ya mwaka 1977,wakati inaundwa Mwl.Nyerer alikuwepo madarakani,maana yake mchakato mzima uliasisiwa na kusimamiwa na yeye kutokana na nafasi yake kwa wakati huo,maana yake vifungu vyote alivijua kabla katiba haijapitishwa,na bila shaka alijua madhara ya ya baadhi ya ibara hususani ile ya 46,ilikuwaje hakutaka irekebishwe kabla haijapitishwa ili hali alijua madhara yake?,yamkini alitaka kujilinda.
Mara kadhaa alisikika katika mikutano akilalama kuhusu katiba na mamlka makubwa ya Rais,najiuliza iliwekanaje mtu aliye husika kwa kiasi kikubwa kuipitisha katiba hiyo ndio alalamike mapungufu yake ?,kwamba hakuyaona wakati huo akayaona sasa?,ni uzindukaya wa hovyo sana.
Huyu mzee na genge lake mzee Chenge ndio chanzo cha haya yote haya,mzee Warioba naye najiuliza alishindwa kumshauri mchonga meno au alishauriwa akashupaza shingo?
Haya Taifa linapitia chanzo ni huyu mzee ndio wakulaumiwa ,asingeruhusu mambo ya ajabu katika katiba haya mambo yasingefikia hapa yalipo.
Hawakujua kwamba hata ZUMBUKUKU anaweza kuwa Rais wakashindwa kutengeneza sheria zenye kumtia hofu?,leo anaibuka mtu mmoja na kusema "katiba ni kijitabu tu".
Sioni sababu ya kumpraise alidhamiria Taifa kuja kunajisiwa.