TANZIA Anayesadikiwa kuwa MwanaJF afariki dunia

Mimi ananijua vizuri, asiponifungulia anajua ntakapoenda kulala. Afu atakufa kwa wivu

Mimi nina funguo za geti na za mlango kabisa. Sitakagi ujinga nikimiminia K Vant tumboni
 
Bado niponipo sana. Na mimi nikidedi nafahamiana na members zaidi ya 200 hapa. Kwahiyo habari italetwa mubashara

Itoshe kusema kwa hivi sasa sina mpango wa kudedi hivi karibuni....
🀣🀣
Babu kama babuu bado anataman raha za dunia...
 
Mimi ananijua vizuri, asiponifungulia anajua ntakapoenda kulala. Afu atakufa kwa wivu

Mimi nina funguo za geti na za mlango kabisa. Sitakagi ujinga nikimiminia K Vant tumboni
Babu ukifungiwa uje me ntakufungulia...
Kisebule changu ni kikubwa utalala kwenye ile sofa paleee
 
Babu ukifungiwa uje me ntakufungulia...
Kisebule changu ni kikubwa utalala kwenye ile sofa paleee
Afu nalala without kabisa ili kikojoleo chako kidanganywe na ibilisi mpaka uje without afu tunalala pamoja in kind afu masihara yanaleta utamu....
 
Afu nalala without kabisa ili kikojoleo chako kidanganywe na ibilisi mpaka uje without afu tunalala pamoja in kind afu masihara yanaleta utamu....
Babu me nakusaidia kupata Hifadhi wewe unataka na mengine? Basi bora ukaruke tu ukuta nondo ikamate shati ubembee 🀣🀣🀣
 
Nimecheka sanaaa aisee wanywa pombe shughuli zenu si za kitoto
 
Babu me nakusaidia kupata Hifadhi wewe unataka na mengine? Basi bora ukaruke tu ukuta nondo ikamate shati ubembee 🀣🀣🀣
Ushaanza uchoyo.... dah!

Ama kweli kukataliwa kubaya
 
Fanyeni kazi ya kuwatag wote wanaoishi maeneo ya huko, asiyeitika tutajua ndio mnywa pombe, mlevi hadi mkewe akaamua kumfungia nje akafia kwenye fence.
 
Kwenye shida na raha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…