Farolito
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 12,001
- 27,175
Apumzike kwa amani,
Ila humu kuna watu wanamlaumu huyo mwanamke,Ulevi wa kurudi saa sane za usiku huo haukubaliki popote pale,labda uwe unaishi mwenyewe tena kwenye nyumba yako binafsi,Ila una mke bado unarudi usiku wa manane unahatarisha vitu vingi sana,kwanza unahatarisha ndoa yenyewe, maisha yako,na hata ya mke wako uliyemwacha peke yake pamoja na mali zako.
Kuna ndugu yangu alikuwa ameashea geti na wapangaji wengine ila nyumba ni tofauti,huyo jamaa alikuwa ana mke ila kurudi ilikua usiku wa manane akiwa kalewa,mwanzo mke alikuwa anamfungulia ila badae naona akachoka ikabidi jamaa aanze kutembea na funguo,tatizo likaja akifungua geti anaingiza gari anaenda kulala geti anaacha wazi,,wapangaji wenzake wakamuonya haikusaidia,kutokana na tabia hio alikuja kuibiwa vitu kama mara mbili hivi,badae na wenzake nao wakaja kuibiwa kwa sababu ya ulevi wake,sasa mtu kama huyo ataishi na nani?
Hapa anaweza kulaumiwa mwanamke Ila ulevi wa namna hii unachosha na huenda alitaka kutoa somo ili mume apate funzo,na inawezakana pia alikuwa na tabia yake kuruka ukuta kwahio mwanamke kaona asijisumbue ataruka tu ndio yakamkuta.
Hata matangazo ya pombe yanasema kunywa kistaarabu.