TANZIA Anayesadikiwa kuwa MwanaJF afariki dunia

Apumzike kwa amani,
Ila humu kuna watu wanamlaumu huyo mwanamke,Ulevi wa kurudi saa sane za usiku huo haukubaliki popote pale,labda uwe unaishi mwenyewe tena kwenye nyumba yako binafsi,Ila una mke bado unarudi usiku wa manane unahatarisha vitu vingi sana,kwanza unahatarisha ndoa yenyewe, maisha yako,na hata ya mke wako uliyemwacha peke yake pamoja na mali zako.

Kuna ndugu yangu alikuwa ameashea geti na wapangaji wengine ila nyumba ni tofauti,huyo jamaa alikuwa ana mke ila kurudi ilikua usiku wa manane akiwa kalewa,mwanzo mke alikuwa anamfungulia ila badae naona akachoka ikabidi jamaa aanze kutembea na funguo,tatizo likaja akifungua geti anaingiza gari anaenda kulala geti anaacha wazi,,wapangaji wenzake wakamuonya haikusaidia,kutokana na tabia hio alikuja kuibiwa vitu kama mara mbili hivi,badae na wenzake nao wakaja kuibiwa kwa sababu ya ulevi wake,sasa mtu kama huyo ataishi na nani?

Hapa anaweza kulaumiwa mwanamke Ila ulevi wa namna hii unachosha na huenda alitaka kutoa somo ili mume apate funzo,na inawezakana pia alikuwa na tabia yake kuruka ukuta kwahio mwanamke kaona asijisumbue ataruka tu ndio yakamkuta.

Hata matangazo ya pombe yanasema kunywa kistaarabu.
 
Memba mwenzetu ametangulia mbele ya haki. Pengine nisingejisumbua kuripoti huu msiba lakini mazingira ya kifo chake ni ya kuhuzunisha na yenye mafunzo. Sijui username yake ya JF kwani tulikutana ''casually'' kwenye kilevi mwezi wa tatu mwaka huu tena siku moja tu. Katika maongezi alinijulisha kuwa yeye ni ''active member'' wa JF na anapenda sana kuchangia. Baada ya kilevi (maeneo ya Boko) tulipokuwa tunaondoka akanionyesha nyumbani kwake na mimi nikaondoka kurudi kwetu Msasani ninakoishi.

Fast forward, wiki kama mbili zilizopita nilirudi tena maeneo tuliyokutana kwenye mishe zangu. Nikaona msiba kwenye boma aliloniambia ni nyumba yake. Kuulizia kulikoni nikaambiwa ni yeye, mwenye nyumba amefariki. ''Eti'' alitoka kwenye kilevi usiku, akagonga geti, mke akagoma katukatu kumfungulia. Akachukua uamuzi wa kuruka ukuta. Kwa bahati mbaya akachomwa na moja ya nondo zilizoko kwenye geti la nyumba (nadhani wengi mnafahamu nondo zinazochongwa kama mkuki na kuwekwa juu ya kuta au geti ili kuzuia vibaka). Kwa bahati mbaya akavuja damu nyingi mpaka akapoteza maisha. RIP member.
Huyo Mwanamke ana rohoo mbaya sana! RIP Mwana JF mwenzetu!!
 
#Pombe ni mama wa dhambi zote #

Na hicho alichokipta ndicho stahiki yake nani asiejua humu kua Ulevi haufai ila watu kukaza mafuvu hawasikii

Kila mja atafufuliwa jinsi vile alivokufa

Tumuombe Mungu atujaalie mwisho mwema
 
Inabidi tuitishe majina; asiyekuwepo, inawezekana ndio umauti umemkuta.
 
Hapa nilipo Nina maumivu makubwa Sana....Kaka yangu(mtoto was baba mkubwa) anaumwa Sana ..Cha kushangaza mke wake Wala hajali anatuma jumbe kea marafiki zake akisema "huyu Hana siku nyingi anakufa..SI wa kupona"..kubwa kuliko juzi ameeenda mjini kuuliza Bei ya jeneza..Mungu Ni mwema rafiii yake aluyeenda nae roho ikamuuma akamtarifu ndugu mmoja..Jana tumemfata na kumfuchukua mgonjwa nyumban kwake kwa nguvu..tunaamini atapona...
Kuna wanawake wauaji Sana..
 
Duh mbona hatarii
Ninwanawake hawa hawa au amerogwa jamanii?
 
Hapa nilipo Nina maumivu makubwa Sana....Kaka yangu(mtoto was baba mkubwa) anaumwa Sana ..Cha kushangaza mke wake Wala hajali anatuma jumbe kea marafiki zake akisema "huyu Hana siku nyingi anakufa..SI wa kupona"..kubwa kuliko juzi ameeenda mjini kuuliza Bei ya jeneza..Mungu Ni mwema rafiii yake aluyeenda nae roho ikamuuma akamtarifu ndugu mmoja..Jana tumemfata na kumfuchukua mgonjwa nyumban kwake kwa nguvu..tunaamini atapona...
Kuna wanawake wauaji Sana..
pole sana mkuu,ataona umuhimu wake pindi hayupo
 
Ifikie hatua MTU kama hupendi tabia za mume urudi tu kwenu,kuliko unajua mume ni mlevi umekomalia kwenye Nyumba yake na mlango unamfungia.

Nao ni watoto wa wanawake wenzenu walipata uchungu kama muupatao. Pumzika Mkuu,pumzika Kamanda!
Mkuu yawezekana nyumba ni ya mke sasa aondoke aachie nyumba yake kivipi. Bahati mbaya kwake marehemu
 
Dawa tembea na funguo zako,muache akapumzike kwa amani ,mshahara wa zambi Ni mauti.
 
Memba mwenzetu ametangulia mbele ya haki. Pengine nisingejisumbua kuripoti huu msiba lakini mazingira ya kifo chake ni ya kuhuzunisha na yenye mafunzo. Sijui username yake ya JF kwani tulikutana ''casually'' kwenye kilevi mwezi wa tatu mwaka
Hiyo siyo criminar case?
 
Memba mwenzetu ametangulia mbele ya haki. Pengine nisingejisumbua kuripoti huu msiba lakini mazingira ya kifo chake ni ya kuhuzunisha na yenye mafunzo. Sijui username yake ya JF kwani tulikutana ''casually'' kwenye kilevi mwezi wa tatu mwaka huu tena siku moja tu. Katika maongezi alinijulisha kuwa yeye ni ''active member'' wa JF na anapenda sana kuchangia. Baada ya kilevi (maeneo ya Boko) tulipokuwa tunaondoka akanionyesha nyumbani kwake na mimi nikaondoka kurudi kwetu Msasani ninakoishi.

Fast forward, wiki kama mbili zilizopita nilirudi tena maeneo tuliyokutana kwenye mishe zangu. Nikaona msiba kwenye boma aliloniambia ni nyumba yake. Kuulizia kulikoni nikaambiwa ni yeye, mwenye nyumba amefariki. ''Eti'' alitoka kwenye kilevi usiku, akagonga geti, mke akagoma katukatu kumfungulia. Akachukua uamuzi wa kuruka ukuta. Kwa bahati mbaya akachomwa na moja ya nondo zilizoko kwenye geti la nyumba (nadhani wengi mnafahamu nondo zinazochongwa kama mkuki na kuwekwa juu ya kuta au geti ili kuzuia vibaka). Kwa bahati mbaya akavuja damu nyingi mpaka akapoteza maisha. RIP member.
Duh
 
Back
Top Bottom