luambo makiadi
JF-Expert Member
- Nov 28, 2017
- 10,602
- 8,798
Mbona kila Siku unazungumzia Tai five? Kwann hutaji mahotel mengine makubwa ya wachaga? Nikutajie? Nasema hivi mwanza tunakaribia kuimaliza nyie si mpo busy porini kuchunga?Thubutu. Jidanganye na wajinga wenzio ni wapi mchagga ana ardhi kubwa hapa Rocky City. Mmebaki kuuza majengo tu kwa sababu ya mikopo kwenye mabenki. Tai five msukuma kabeba. Halafu ohh tuna ardhi Mwanza. Wewe umechanganyikiwa siyo bure.