Anayesema Moshi pagumu kwa wageni, ugumu wake ni nini?

Anayesema Moshi pagumu kwa wageni, ugumu wake ni nini?

Moshi hakuna maisha aisee hali ni mbaya mno hakuna viwanda,hakuna uvuvi,hakuna madini,hakuna ardhi ya kutosha !!!, vimebaki vipande vya mashamba ya kahawa!!! ,
Kama hayo ni kweli mbona Kilimandjaro ni mkoa wa pili watu wake kuishi maisha Bora,per capital income (individual), na miundombn toshelez kwa 90%? Kilimandjaro yote nyumba za kisasa ni 90% hivi mtu mwenye maisha magumu anaweza kujenga nyumba ya kisasa? ACHA upuuzi
 
Tanzania nzima ya wapi ? Matokeo yake mnaishia kwenye ugaidi tu
Unaesononeka ni wewe sukuma gang baada ya jiwe kufariki sisi tunajenga nchi ndio maana tupo Tanzania nzima kama wawekezaji , kuhusu vyeo mbona tunavyo tena vya kudumu? Kila idara tupo nje ya nchi etc we ulidhani vyeo ni kuteuliwa na rais tu?
 
Thubutu. Jidanganye na wajinga wenzio ni wapi mchagga ana ardhi kubwa hapa Rocky City. Mmebaki kuuza majengo tu kwa sababu ya mikopo kwenye mabenki. Tai five msukuma kabeba. Halafu ohh tuna ardhi Mwanza. Wewe umechanganyikiwa siyo bure.
Mwanza tunakaribia kuimaliza kwanzia pasians,makoroboi had nje igoma kule tunazd kuhamisha wasukuma
 
Shauri yao. Wala hatushituka na kuabudu kwao mizimu
Si kweli kila mwaka kuanzia tarehe 15 mpaka 20 Disemba watu huenda makwao kula sikukuu na mwaka mpya, narudia kila mwaka hilo hufanyika, hiyo ni mbali na kuja kwenye misiba ambayo haina ratiba maalum. Hapa Tanzania huu mkoa unaoongoza kwa kukutana na ku connect each other which strengthen family ties, kushauriana, kuwekana sawa, kusaidiana, vikao vya familia & ukoo, watoto na ndugu wapya kujuana etc. Hii ndiyo sababu kubwa ya hawa watu kukataa kuuza ardhi maana ni aibu kwa wenzako ikionekana kwamba eti huna eneo tena baada ya kuliuza.
 
Hiyo ardhi ipo ?
Thamani ya ardhi Moshi ipo juu mtu maskini kama we huwez ku afford ndio maana unaona kugumu,mm nikiuza ekari moja pale rombo nikienda mikoa mingine hiyo hela nanunua hekari 20 na chenji nabaki nayo,hapo ni land value ndio inasumbua wengi Hakuna ugumu wowote mbele ya pesa
 
Tanzania nzima ya wapi ? Matokeo yake mnaishia kwenye ugaidi tu
Unaona unavyotoa povu?
1-Ni eneo lipi tz utamkosa MCHAGA?
2- kuhusu ugaidi hizo ni drama tu kwan ile kesi yake ya Kwanza enz za mwenda ilikuwaje? Si alishinda Appeal court? Hizo ni siasa uchwara TU, offcourse jamaa yupo vizuri kiuchumi anamiliki mahotel Dubai, Ma kampuni Kenya,south Africa,UK ,USA na Switzerland
 
Wachagga kwisha habari yao. Wamebaki kutapatapa tu
Waliobaki wanatapatapa ni nyie wachunga mbuz wafuasi wa mwenda mlikuwa kupe wake Leo kawaacha wakiwa,sis hata miaka 100 ijayo tutazid kubaki stable both educationally,and economically
 
Hayo yalikuwa zamani sasa hivi mnaugulia maumivu tu.
Hakuna Cha zamani had Sasa hiv pitia wilaya zote uje unipe jibu,kusoma raha bhana,sio tu ardhi idara nyingi za uchumi,fedha,uhasibu,engineering tumezi hodhi mostly
Pitia pale ifm uone karibu nusu ya wanafunzi ni chagas,ukija muhas pale ma kozi magumu magumu ndo tunayapiga, Kuna kozi ya upasuaji ubongo na Neva za fahamu nchi nzima specialists wapo 9 tu Kati yao 3 ni wachaga tena wanawake upo ? Majina yao DR AINGAYA KAALE,Dr happiness Rabiel na Dr Buretta
 
Back
Top Bottom