Anayesema Moshi pagumu kwa wageni, ugumu wake ni nini?

Anayesema Moshi pagumu kwa wageni, ugumu wake ni nini?

Unatupiga Kama hapa.

Bukoba Kuna emails za kihaya??!! Hebu toa mfano.


Halafu acha kulinganisha bukoba na Moshi kwenye swala la ubinafsi na Tabia zenu za ajabu.


Bukoba Kuna wasukuma kibao,waha kibao,wanyarwanda kibao,waganda ndo husiseme,wajita na wajaluo Hadi nyie wachaga wenyew mpo huku bukoba.


Sema bukoba watu wengi wanapenda kuongea kihaya lakin sio kwamba ni pagumu kwa mgeni.


NB. Ukiwa mgeni hupaswi kudharau wahaya hata kidogo hapo utajuta. Wahaya hawapendi dharau..
Wahaya nawajua in and out,hayo maeneo kulipo makabila mengine mostly ni pembezoni mfano nyakabango,kimwani,kishuro yaan sii kule kwenye wahaya pure,huwez kwenda nshamba, kamachumu,kyaka,kanyigo etc ukakuta mchanganyiko wa Kabila tofauti na wahaya
Hayo makabila mengine huko yame ji isolate kama wazinza,wajita wao wapo mialoni mostly
 
Wewe naye kila wakati unawaza uchagga tu. Sasa hivi mtasononeka sana. Enzi za wachagga kupendeleana vyeo zimeshapita shirikiane na watanzania kujenga nchi. Hakuna namna.
Unaesononeka ni wewe sukuma gang baada ya jiwe kufariki sisi tunajenga nchi ndio maana tupo Tanzania nzima kama wawekezaji , kuhusu vyeo mbona tunavyo tena vya kudumu? Kila idara tupo nje ya nchi etc we ulidhani vyeo ni kuteuliwa na rais tu?
 
Mzee upo confused sana

Unakataa Wahaya hawaongei Kihaya maofisini,then unarudi nyuma unasema Wahaya wanapenda kuongea Kihaya sana

Yaani upo confused.

Hoja zako ni mtazamo wako,na hoja zangu ni mtazamo wangu

Mwisho wa siku tutakaa hapa kuzungumzia haya makabila kila mmoja anatetea upande wake,hatutafika mwisho

Issue hapa ni kwamba Bukoba labda kwa macho yako unaona wageni wapo ni sababu kuna ardhi kubwa ya bure,Moshi hakuna ardhi kabisa,mgeni hawezi pewa ardhi maana haipo

Ndio maana unaona hakuna wageni maana ardhi ya kuwapa haipo

Wachagga ni watu wazuri tu kama walivyo watu wengine,shida hapa mna chuki ya ajabu sana bila sababu

Kutokumuuzia mgeni ardhi sababu huna ni "tabia ya ajabu"?

Kujifanya sijui wageni wapo wengi sana kwenu ndio sifa,soon mtakua replaced mercilessly kama mlivyowafuta Wazaramo mkoa wa Dar

Soon Bukoba yenu yooote itakua dominated na foreigners na msidhani foreigners wana sympathy na wenyeji kwa lolote lile,soon mtakua pushed out na mwisho mtakua wiped out.

Soon land kwenu itaisha,hamna pengine watakubali kuwapa their land,mtakua landless,na kabila likiwa landless maaan yake hilo kabila lina-cease to exist by definition.

Mmeona raha sana kuja Dar na kumeza Wazaramo wote wameisha,sasa the same is coming at you and you will be landless,wait and see!
Kunywa tusker lite mangi bili juu yangu
 
Wnaubaguzi sana hawa jamaa. Heri mpaka ungesogezwa wawe kenya kwa wabaguzi wenzao. Nashangaa hata serikali inavyowapa nafasi sekta nyeti maana ni ulaji kwanza huduma baadae!
We mchunga mbuz huna hoja wakati nyie mkichunga mbuz sisi tulikuwa ughaibun tunabukua usiwe na wivu omera
 
Kwa hiyo tuwaonee wivu kwa idle capital waliyowekeza kwenye nyumba za kulala na makaburi Moshi na Nyumba za kulala Christmas na misiba?
.Kwani hizo nyumba za kulala Christmas na makaburi vina generate income gani hadi tuwaonee wivu?
Sasa povu la nn ? Vipi na zile zenu mlizojenga za nyasi zina generate income?
 
Kifupi Hilo ndio jibu Kilimanjaro ni makaburini wachagav huwa wanaenda kuzika toka pande zote za Nchi na dunia mchaga akifa wanampeleka makaburini Kilimanjaro
Tunapnda kuzkwa kwetu maana tumejenga,nyie mnaogopa kuzkwa kwenu maana ni aibu vijumba kama viota vya ndege
 
Mtu atakuwa bepari wakati anamiliki robo eka ya mchaichai ? Hauko serius
We hujui kitu,hyo ardhi ya nyumbn ni Lulu,mtu hata akimilk robo heka huko mikoan unakuta Ana mahekar mengi hii n kutokn na nature
Kwan utajir wa mtu lazma uwe single area? Think big
 
Mtu atakuwa bepari wakati anamiliki robo eka ya mchaichai ? Hauko serius
Nyumba ya kulala tu sio Asset ni liability sababu haiingizi hela linatumia hela tu

Hakuna benki itakupa pesa kisa eti una ghorofa la kufikia Christmas Moshi. Hawataki benki kuchukua kama dhamana unless likiwa na wapangaji hapo Sawa lakini ghorofa tu liko migombani Moshi liimekaa kama mtu anajisaidia haja kubwa wima linasubiri tu watu waje msibani na krismasi eti ukopee benki kama dhamana Hakuna
Kati ya kujenga gorofa zuri la kulala na kujenga slop ya nyasi ni kipi bora? Unajua unachekesha ww mporipori
 
kwahiyo nyumba zote duniani zinaingiza hela?

Na gari unaloendesha linaingiza?

Haliingizi hela ni liability,kwanini hulitupi?

Nyumba uliyojenga unayoishi hapo DSM haingizii hela,kwanini huitupi?

Nyumba usiyolala ni liability,nikipeleka documents zake benki kama colateral sichukui mkopo regardless?

Hii mambo ya liability na asset ni usenge kutokana na wewe una njaa kiasi gani.

Kwahiyo kwavile watakao lala ndani ni wachache basi Moshi pasijengwe hata kama ni holiday house?

Ndio maana ya middle class,ndio maana ya watu kua na disposable income,huna ndio maana you cant afford to build in Bukoba kwenu huko,unajenga Dar halafu unakufa,basi!

Watoto wako wanabaki hawajui hata ulitokaga kijiji gani huko bukoba,wewe jamaa ni useless!
Asante San huyu mporipori Ana akili finyu mna hataki tujenge mighorofa huko uchagani ss ni mataita lazma tufanye kufuru migombn huko
Hiyo ni nyumba tu ya makaz ya mtu uchagani
419828092.jpg
 
Nenda wizara ya ardhi pale,pitia majina ya land owners in Tanzania

Wachagga are the biggest land owners in Tanzania,na Im talking about real land yenye documents rasmi na zinafanya uzalishaji wa ajabu

Wewe jidanganye na kirobo heka kule Marangu ukadhani ni kweli
Nimeshamjibu kuwa sis nchi nzima tuna na ardhi nikamwambia utajir wa mtu sio lazma uwe single area tatizo hawa wapori hawana exposure
 
Hebu Soma vzr post yangu.


Una mihemuko sana
Kwenye post yako ulisema wachaga ni wabinafs mm nkakucheki tu nikasema hiiii HIV wachaga wanawazd wahaya ubinafs ?
Bhojo kaziro msigaz wagamba ebishuva [emoji3][emoji3]
 
Nipo kwenye keyboard just like you

Huna tofauti na mimi,then una audacity ya kuniita "keyboard warrior" wakati na wewe upo kwenye keyboard?

"Mere say" ni Kingereza cha wapi ndugu?

Your English is in ICU,try to polish it up for God'sake!

Ofisa Ardhi usiejua Kingereza sijui ni wa wapi aisee.

Nenda site kashike beacon za kuchimbia!
Hahahah yeye ni kibarua anajiita ofisa hahaha wakati hajui watu tumepiga masters zetu za Land management tumetulia tunamchora tu
 
Una chuki binafsi. Hawaendi Christmas tu wanaenda vipindi vingine vya mwaka sababu sk hizi barabara zimetengenezwa na watu wengi wana magari si kama zamani.
Zile nyumba zinarithishwa kwa hiyo vizazi na vizazi vinaendekea kuishi kwenye makazi bora, sio kunywa supu mjini ukirudi kijijini kwenu unaenda kunya vichakani.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Umepanic mkuu take a glass of cold water and relax for a bit,we waenda wizarani kutafuta data za land owners in Tanzania,mie nalog in na kukupa hizo data[emoji23][emoji1363][emoji120]
Huna lolote ww kibarua wa beacon alafu idara za ardhi ktk halmashaur nying zinaongozwa na wachaga upo
 
Huwezi login popote

Mimi nina vibaraka wangu kama wewe wa kutosha wizarani,napiga simu anytime wananitumia data yeyote nitakayo

Nimepaniki sababu "Kipepeo wa Chuma1" kasema?

Nikupanikie wewe mtu ambae hata sikujui aisee?

Napaniki when my life is on the line,sio huu usenge unaosemea hapa mzee?

Wewe sio threat to my life,sina sababu ya kutishika na wewe!

Plus I even dont know you kabisa!
Chasaka hawa Wana low thinking capacity dawa ni kuwapa za uso
 
Back
Top Bottom