Anayesema Moshi pagumu kwa wageni, ugumu wake ni nini?

Anayesema Moshi pagumu kwa wageni, ugumu wake ni nini?

Kila mahali duniani kuna exceptions

Kila mahali duniani katika kila jamii yeyote duniani kuna section ya extreme poverty

Washington DC kuna sections ya extreme poverty kama Kalorama Heights,Columbia Heights,West End,Adam Morgan and Lanier Heights,pamechoka zaidi ya Uchaggani

Tunachoangalia,je wanapata chakula cha kutosha?Wamesoma?Level ya magonjwa?Literacy level?Income per houseld ipo juu?Wana mali za uzalishaji kama mifugo,ardhi,mazao,etc?

Shida yako unadhani unataka uone magorofa toka Moshi mjini mpaka mlimani,thats impossible na ni stupidity to have that line of thinking
Asante kwa kumjibu huyu mcheza vigodoro
 
Hahaha bdo unaendelea kubisha? Uchagani makaz Bora ni 90% yaan kila ukitembelea nyumba 10, 9 ni za kisasa(nzuri) indicator mojawPo ni kwamba uchagani yote haina hata nyumba moja ya nyasi kama kule kwenu Lindi
Uko bize kusufia manispaa iliyodumaa
 
Government sio investor wa chochote ndugu

Kwanini Chagga household have more income per capita than any other group in TZ na haijawahi kua na kiongozi yeyote serikalini?

Uchumi sio politics za kua na mtu serikalini

Infact serikali mara nyingi ni kizuizi cha maendeleo maana hua inatumia coercive power to intimidate na kuwavuruga watu mostly

Hii jamii ina income per capita zaidi ya group lolote TZ sababu wanajenga mali kuanzia kazi na biashara za hovyo kabisa huku chini mpaka juu na wana save for future

Hakuna cha serikali wala mavi ya waziri au rais to help you with anything kwenye kujenga mali

Hawa watu wanafanya kazi zote za hovyo kuanzia kuchimba mitaro,kuchomelea,kuziba pancha,kufanya kazi mashambani,magenge,baa,etc mpaka biashara kubwa na kipato wapatacho wanatumia kiasi wana serve akifa watoto wanabakia na mali hawaanzi sifuri

Hakuna serikali wala chochote hapo

Kingine ambacho hujui ni kwamba mikoa yote iliyokua na wenyeji weak na wachache ndio rahisi kua miji maana ardhi ipo free kama ilivyokua Dar,Arusha kidogo,Mwanza,Morogoro,etc..ila mikoa mingine yote yenye wenyeji wengi na wenye nguvu haiwezi kua miji maana ardhi yote walishagawana kitambo na bado haitoshi,huwezi penya hapo maana hakuna ardhi
Asante kwa kumjibu,ngoja nimuongezee kama serikali ndio main investor mbona marehemu jiwe pamoja na kuvutia kwake lakin still now mkoa wake geita ni wa 3 kwa umaskini? Huku Kilimanjaro ikiendelea kuwa top ktk life standard,makazi Bora na miundombn toshelez kwa 90%, imagine Kilimanjaro nzima Hakuna hata shule moja mtoto anakaa chini, imagine Kilimanjaro despite udogo wake lakin ndio mkoa unaoongoza tz kuwa na shule nyingi ohh God bless Kilimanjaro
 
Uko bize kusufia manispaa iliyodumaa
Wananchi hawaishi manispaa, nazungumzia vijijin huko uchagani Mambo ni swaafi mijumba kama Amsterdam yaani 90% ya nyumba za Kilimanjaro ni za kisasa hii ni kwa mujibu wa ripoti ya serikali usinitolee povu pole
FB_IMG_16256297096753109.jpg
 
Kila mkoa una wenyeji wake tabia hizi hizi zipo kote

Nashangaa mna single out Moshi pekee yake

Bukoba hadi emails za ofisi za serikali zinaandikwa kwa Kihaya badala ya oficial langauge za Kingereza au Kiswahili

People tend to work and trust people who look like them

Hakuna ubaya wowote,tatizo mna single out Moshi pekee yake na sababu ni Chagga Hate tu

Hakuna jingine
Unatupiga Kama hapa.

Bukoba Kuna emails za kihaya??!! Hebu toa mfano.


Halafu acha kulinganisha bukoba na Moshi kwenye swala la ubinafsi na Tabia zenu za ajabu.


Bukoba Kuna wasukuma kibao,waha kibao,wanyarwanda kibao,waganda ndo husiseme,wajita na wajaluo Hadi nyie wachaga wenyew mpo huku bukoba.


Sema bukoba watu wengi wanapenda kuongea kihaya lakin sio kwamba ni pagumu kwa mgeni.


NB. Ukiwa mgeni hupaswi kudharau wahaya hata kidogo hapo utajuta. Wahaya hawapendi dharau..
 
Wanajamii, Salam Alleykum na Bwana Yesu asifiwe sana.

Hivi mbona wasambaa na watu wa Tanga wengi wako hapa mbuyuni, soko manyema, Dar Street, mtaa wa Ismail tena wasomali kama wote, TPC kuna hadi Wanyaki wa Mbeya japo kule ni Moshi Vijijini, watumishi wengi hapa Moshi sasa hivi ni watu wa kanda maalumu, watu wa Singapore (Singida) wapo wengi tu tena wamejaa utadhani wazawa Ghala street kuna wasomali na wahindi, hizi Shirinjiko na Hindu temple zipo tu za kutosha, nowadays kabila zote zipo.

Sasa wale wanaosema kuwa Wachagga wanaishi na nyie kwa ugumu nawashangaa sana tena sana.

Kuna watu nawasikia nawashangaa sana eti sijui nini na nini Moshi. Mara yule jamaa alisema moshi mmechelewa sana, sasa bila wewe tungeweza vipi Baba yetu.
Wewe naye kila wakati unawaza uchagga tu. Sasa hivi mtasononeka sana. Enzi za wachagga kupendeleana vyeo zimeshapita shirikiane na watanzania kujenga nchi. Hakuna namna.
 
Wananchi hawaishi manispaa, nazungumzia vijijin huko uchagani Mambo ni swaafi mijumba kama Amsterdam yaani 90% ya nyumba za Kilimanjaro ni za kisasa hii ni kwa mujibu wa ripoti ya serikali usinitolee povu poleView attachment 1897288
Hii ni trela, wangeona mijumba iliyoshushwa huko Vijijini wala wasingefyta mamidomo yao kama pipa manina zao. Kuna umbwa kanikera hapa. Watu tunaharmonize vitu na mingine inakuza ukabila, nizakale kama mkun unawashwa nenda kino.
 
Wnaubaguzi sana hawa jamaa. Heri mpaka ungesogezwa wawe kenya kwa wabaguzi wenzao. Nashangaa hata serikali inavyowapa nafasi sekta nyeti maana ni ulaji kwanza huduma baadae!
 
Moshi ikusanye zaidi ya Jiji la Mwanza ?
Hapo tu kwenye population ni uhuni na uongo unaongea..

Tax records Moshi inakusanya zaidi ya jiji la Mwanza. Sasa sijui unaongelea nini hasa..

Alafu unavyosema Moshi hakuna kilichobadilika ni upuuzi na chuki zako kwa watu wa jamii hiyo
 
Kumbe ndio hivyo ! Kumbe Kilimanjaro ni makaburini ?
Nakubali kwa eneo la ujenzi wanaongoza maeneo makuu mawili ujenzi wa nyumba za makazi ambazo kazi yake kubwa Ni moja kufikia wakati wa Krismasi na pili kufikia waombolezaji waliopeleka msiba

Ujenzi wa pili wasiousahau Ni wa kuzika kwao na kujenga makaburi ya waliowazika

Haya ndio hasa utasokia ohh mchaga lazima ajenge kwao!!!!

Makabila Mengine definition ya kwao Ni pale anapopatia Riziki iwe Dar ,Mwanza au popote .Anaweka kambi hapo.Mchaga Akisema kwao definition kubwa Ni Krismasi na kuzikwa!!! Hamna kingine Cha ziada.Muulize mchaga yeyote ana Nini Cha ziada kafanya kwao zaidi ya kujenga nyumba ya kufikia Krismasi na misiba na kujenga makaburi kwao.Ana Nini Cha ziada? Wengi wao hamna kitu
 
Si kweli

Dar es Salaam ni metropolis

Miji mingine yote iliyopo TZ ni miji ya kienyeji ina wenyeji wake

Na people tend to trust people who look like them,sio dhambi ni human nature

Mna ku-criminilize everything

The issue is land ni yao,makaburi ni yao,wana emotional connection na ardhi yao,wewe una yenu,yanini una chuki namna hii na ardhi isiyokuhusu?

Yaani una chuki mpaka unajiapiza,unatukana,unaongea all the violent things on people with their land,kwanini?

The problem is,umetamani na wewe ungekua wao,the problem is,you cant,tayari wewe ni kabila jingine,penda kwenu bwana!
Kwa hiyo tuwaonee wivu kwa idle capital waliyowekeza kwenye nyumba za kulala na makaburi Moshi na Nyumba za kulala Christmas na misiba?
.Kwani hizo nyumba za kulala Christmas na makaburi vina generate income gani hadi tuwaonee wivu?
 
Mkuu

Ni pure wivu mtupu,hakuna kingine

Hakuna mtu anajenga asset bila kua na hela ya kufanya hivyo

Dead asset sijui active asset etc ni blah blah tu

Mtu amejenga gorofa Moshi,anakopea popote,kwahiyo ni idle capital mavi yako

Hivi mtu akijenga nyumba akilala humo au asipo lala hivi kuna tatizo gani?

Sipolala yeye humo utalala uzao wake,nyie mkija hapa duniani mnajenga mali mnazila zote mnaenda kaburini mmeacha sifuri,thats nonsense!

Moshi kwa ujumla inajengwa kwa remittance za Wachagga waliopo sehem zingine

Moshi hapatoshi kukaa wote,ardhi ni ndogo mno,wamezagaa pengine wanajenga hela na hela zote zinaanza kwanza ku-develop kwao kwanza ndio pengine.

See the difference?

Umejaa Chagga Hate...sijui kwanini

Hawajahi kukuulia ndugu zako,hawajawahi kukutombea,etc,unawachukia nini?

Kuchukia ni haki yako,huoni ni decent act kama walao uwaeleze ni kwanini?
Nyumba ya kulala tu sio Asset ni liability sababu haiingizi hela linatumia hela tu

Hakuna benki itakupa pesa kisa eti una ghorofa la kufikia Christmas Moshi. Hawataki benki kuchukua kama dhamana unless likiwa na wapangaji hapo Sawa lakini ghorofa tu liko migombani Moshi liimekaa kama mtu anajisaidia haja kubwa wima linasubiri tu watu waje msibani na krismasi eti ukopee benki kama dhamana Hakuna
 
Mzee upo confused sana

Unakataa Wahaya hawaongei Kihaya maofisini,then unarudi nyuma unasema Wahaya wanapenda kuongea Kihaya sana

Yaani upo confused.

Hoja zako ni mtazamo wako,na hoja zangu ni mtazamo wangu

Mwisho wa siku tutakaa hapa kuzungumzia haya makabila kila mmoja anatetea upande wake,hatutafika mwisho

Issue hapa ni kwamba Bukoba labda kwa macho yako unaona wageni wapo ni sababu kuna ardhi kubwa ya bure,Moshi hakuna ardhi kabisa,mgeni hawezi pewa ardhi maana haipo

Ndio maana unaona hakuna wageni maana ardhi ya kuwapa haipo

Wachagga ni watu wazuri tu kama walivyo watu wengine,shida hapa mna chuki ya ajabu sana bila sababu

Kutokumuuzia mgeni ardhi sababu huna ni "tabia ya ajabu"?

Kujifanya sijui wageni wapo wengi sana kwenu ndio sifa,soon mtakua replaced mercilessly kama mlivyowafuta Wazaramo mkoa wa Dar

Soon Bukoba yenu yooote itakua dominated na foreigners na msidhani foreigners wana sympathy na wenyeji kwa lolote lile,soon mtakua pushed out na mwisho mtakua wiped out.

Soon land kwenu itaisha,hamna pengine watakubali kuwapa their land,mtakua landless,na kabila likiwa landless maaan yake hilo kabila lina-cease to exist by definition.

Mmeona raha sana kuja Dar na kumeza Wazaramo wote wameisha,sasa the same is coming at you and you will be landless,wait and see!
Hebu Soma vzr post yangu.


Una mihemuko sana
 
Nenda wizara ya ardhi pale,pitia majina ya land owners in Tanzania

Wachagga are the biggest land owners in Tanzania,na Im talking about real land yenye documents rasmi na zinafanya uzalishaji wa ajabu

Wewe jidanganye na kirobo heka kule Marangu ukadhani ni kweli
Si kweli wahindi ndio wengi,wachaga wanamiliki uswekeni,na owners wengi ni wanawake wa makabila tofauti Tanzania
 
Unaongea nini mkuu?

Registered land wizara ya Ardhi the biggest owners ni Wachagga

Unapokataa ndio sawa,ni vizuri,mnakua hamstuki,wanaendelea kushika ardhi yote,siku mnastuka hamna pa kukaa.

Endelea kukataa,naona denial

Na denial ni nzuri maana inakuacha unakaa kwenye your own bubble na ujinga wako wakati in reality these motherfvckers are owning these vast lands wakati wewe hufanyi juhudi yeyote.

Wanawake wa makabila mbali mbali Tanzania?Wakati umiliki wa ardhi Tanzania ni disproportionately owned by men?

Hivi unajua unachoongea au umelewa mataputapu?
Usijidanganye am the land official btw😂👊🏼
 
Who cares who you are?

You even dont know how to log in into the land system.

Hujui

Kwanza password yake huna,huna privilege ya kulogin popote,acha utalaamu wa ku define data,hujui lolote kiazi wewe

Land official wa kuweka beacon

Eti Land Official,and you even dont know the real data za hii nchi?

Tanzania na Africa kwa ujumla land is owned disproportionately by men,thats a FACT!

Nimekuona hujui lolote iwapo hata hili hulijui!

Clueless kabisa
Ok umeshinda good day a keyboard warrior,watu tuko site na hatujadil propaganda or a mere say
 
Unanielekeza jinsi ya kusoma na kuelewa unavyotaka wewe?

Kama unataka watu waelewe unavyotaka wewe kwanini usisome mwenyewe uelewe mwenyewe?

Naelewa as possible as my head allow me,sio wewe unavyotaka maana ubongo wangu ni wangu,unachotaka wewe unfortunately ubongo wangu hauwezi kukusaidia

Una chuki tu na Wachagga,na reason I might guess,you want to them so bad ila ndio unfortunately umekua born with parents from another group...Sorry,It is not them who caused that.

Mihemuko?I see

Kumbe mtu anaeenda tofauti na unavyotaka wewe then ana "mihemko"?

I see!
Jinsi unavyoandika unaonekana unapitia wakati Mugumu Sana katika maisha yako.

Take it easy na jipe muda.

Time heals
 
Back
Top Bottom