Anayesema Moshi pagumu kwa wageni, ugumu wake ni nini?

Abiria chunga mfuko wako kununua ardhi Moshi Hadi ukoo uridhie epuka kutapeliwa na hawauzi kwa chasaka yaani mtu mgeni wa kuja

Viwanja halali vingekuwa tu vile vinauzwa na Halmashauri.Usinunue kwa mtu binafsi au private estate companies utakuwa Kila siku kesi mahakamani kwa miaka na pesa imeondoka.Serikali ndio ikuuzie hapo sawa .Sababu likitokea la kutokea wao ndio watawajibika
Una matatz ya akili? Sasa unasema Moshi watu hawauz viwanja,wakiuza unaanza kupinga Sasa tukueleweje!?
 
Ukioa au kuolewa na mtu asiye mchaga kwa watoto kwao Ni wapi?

Maana siku hizi wachaga mnaoa Sana na kuolewa na makabila Mengine hao watoto kwao kutakuwa wapi? Na wajukuu watakuwa kwao wapi ?
Kwao uchagani tu, as long as kabila lao ni wachaga basi kwao ni uchagani. Ila wewe jamaa mbishi sana aise
 
Abiria chunga mfuko wako kununua ardhi Moshi Hadi ukoo uridhie epuka kutapeliwa na hawauzi kwa chasaka yaani mtu mgeni wa kuja

Viwanja halali vingekuwa tu vile vinauzwa na Halmashauri.Usinunue kwa mtu binafsi au private estate companies utakuwa Kila siku kesi mahakamani kwa miaka na pesa imeondoka.Serikali ndio ikuuzie hapo sawa .Sababu likitokea la kutokea wao ndio watawajibika
Mkuu punguza chuki kidogo basii
 
Nimejitahidi kusoma komenti za wadau ili na mimi nipate kitu kuhusu hili,wengi katika comment wamewashupalia jamii ya Wachagga kwamba ni wabinafsi n.k. lakini in deep down wengi wa waliotoa komenti ni chuki tu binafsi dhidi ya jamii ya Wachagga na hakuna lingine. Lakini hili swala la kusema hilo kabila ni wabinafsi mara moshi ni pagumu kutoka kibiashara hamjaliangalia katika Angle zingine.

Kabla ya kuwadis Wachagga mmeshajiuliza haya maswali.
1.mfumo wa kiutawala wa kichaga wa mangi miaka hiyo ulikuaje?
2.je unazijua koo za kichaga zilizopigana na zenye mabifu hadi leo (lyamungo sec vs umbwe sec clash)
3.mshajiuliza kwanini sera ya ujamaa ya nyerere haikufanikiwa kupenya uchagani kwa asilimia kubwa? Ujamaa uliishia tu maeneo ya mtakuja,newland, chekereni and the like kule kwenye mashamba ya tpc. haukufanikiwa kupenya huku juu migombani kwenye ubichi ubichi throughout the year.
4.mmeshawahi kujiuliza Wachagga ni vita ngapi wamezipiga na jamii ya nilotes (maasai) kutetea kidogo walichonacho (ardhi).?
5.mmeshajiuliza ardhi ya uchagani ina ukubwa gani ukilinganisha na mikoa mingine?.
6.je mmeliangalia kwa jicho la kijiografia hili swala la ardhi ya uchagani ?
7.mnajua kitu kinaitwa KIAMBA SYSTEM Uliopo uchagani?
Anyway....

Mnapowadis Wachagga kwamba ni wabinafsi hiyo hali haijaamuliwa na utashi wa Kabila bali ni many factors ikiwemo natural ,socio, historical na geographical n.k. ambazo nyingine sio rahisi kuzielezea hapa maana watu humu wana comment mihemko tu pasipo kufanya fact check.
Tembeeni mfanye kuwauliza wazee kuhusu uchagani kukoje watakupa what is /was going on behind the scenes.
Hata kwenye biblia kuna mstari unasema tembeeni huku na huko mpate kuuliza...[emoji38][emoji38]. Tatizo wa tz tuna ile hali ya kulishana Matango pori sana kuhusu jamii fulani haswa ikiwa jamii hiyo ina ushawishi au imefanikiwa katika nyanja fulani ya maisha.

N:B ni ngumu sana kushindana na mtu mwenye exposure ya huko duniani .
Na hizi chuki za kuwadis Wachagga zimeshamiri sana kipindi cha utawala uliopita na wala hazina tija sana na hazitawarudisha nyuma jamii hiyo kwenye kuisaka hela maana kuna msemo unasema if you can't beat e'm join them.
TUPENDANE TU NA TUIJENGE TZ MOJA KUdiscuss ukabila kwenye zama hizi ni ujinga usio na maana yoyote
Mkuu waache wajifariji tu.
 
Kuutetea ukabila kwa kujidai haupo ni kazi ngumu pia.

Mgeni ni rahisi kutoboa Moshi ukiwa unafanya biashara haramu na ku cover kwa biashara halali ambayo itakuwa haina wateja.

Mchagga hawezi kuliacha duka la Mchagga mwenzie aje kununua kwako Mmatengo
Una kichaa na matatizo mengi sana na itakuwa huijui moshi kabisa, mchaga hawezi acha duka la mchaga mwenzake? BS, tunaishi huku na tunaona, acha kusambaza habari uongo na ukabila
 
Mkuu Moshi manispaa hunipotezi eneo lolote labda kdc ndio kidogo ntapotea ila tuambiane ukweli ulivyo kufanta biashara uchagani kunahitaji sana kujulikana wewe ni wa wapi, shika hili 'wewe ni wa wapi'

Ndio maana hata wewe utawaita wageni wafanyabiashara kwa makabila yao hadi maeneo tu ya biashara yapo tofauti kuna maeneo wengi wapare na wasambaa, alafu mchaga atakwambia siwezi nunua jeans za kisambaa [emoji23][emoji23] ukweli au uongo mleta uzi?

Hii ipo sana mfano stend tu pale gorofani mgeni amawezaje fanya biashara?, Embu sema tu Mkuu?, picha linaanza stand gorofani ukifika tu mfanyabishara mwenyewe anakujua ni homeboy anakuita utamkataaje dogo wa kitaa uende kwa mgeni mgeni kweli?

Moshi padogo sana na hii inachangia hili swala, yani ukiwa town unaweza kuta unafahamiana na wafanyabiashara wengi wa mahitaji uliyofuata, kwanini usinunue kwao sasa ukamtosa mgeni
Dah, mnasambaza uongo mazee, pale ghorofani mbona kuna wa rangi mob na wakinga pale.
 
Una matatz ya akili? Sasa unasema Moshi watu hawauz viwanja,wakiuza unaanza kupinga Sasa tukueleweje!?
Sipingi kuuza lakini serikali ndio ipime na kuuza sio watu binafsi au private real Estate .Kwa Moshi hapana .Mtu Binafsi na Private real estate companies Ni usumbufu unauziwa halafu wanna ukoo wengine wanakataa mauzo unaburuzwa mahakamani kesi itaenda miaka pesa imeondoka unabaki na mikesi mahakamani

Mikoa mingine Sina tatizo mtu binafsi aweza kuuzia au real Estate companies wakakuuzia hupati tatizo lolote.Moshi No no no no

Kama wewe chasaka au mtu usiye wa Moshi usithubutu waache wauziane wenyewe ila ikiwa Ni serikali hapo sawa.Halmadhauri ndizo zipime na kuuza sio individuals Wala real Estate companies.Kwingine kote It is ok sio Moshi.Abiria chunga mfuko wako usinunue ardhi kwa mtu binafsi mwenyeji Moshi au real Estate companies nunua tu Halmashauri Kama wana viwanja .Kuepuka usumbufu.
 
N i kweli miji wasio wabinafsi inakua kwa spidi ya hatari

Mfano mzuri Dar es salaam .Wazaramo hawana shida ukitaka ardhi hiyo hapo anakuuzia chap chap yeye huyo anahamia porini.Mwenye pesa mpishe,Mji ukipanuka ukimfikia ukitaka kumnunua hana shida lete pesa mapori bado yako kibao anakuuzia huyo anaenda sehemu ingine anajenga anasema mimi hapa nakalia nini kwa maisha gani niliyonayo lete hizo milioni 50 niangalie mbele kwa mbele!! Hivyo unakuta jiji linapanuka kwa spidi ya 5G .Na fursa kibao zinafunguka

Lakini ardhi nyingi moshi hazina uwekezaji cha maana kilichoko kwenye hizo ardhi wanachokithamini sana ni makaburi tu .Otherwise ni useless land ambayo sehemu kubwa ina uhusiano tu na mortuary kubeba wachaga kwenda kuzika na nyumba tu za kuishi zinazotumika tu kipindi cha christmas!!! Mchaga vitu vikubwa ambavyo hujenga kwao ni nymba ya kufikia chrismas na mazishi sio uwekezaji.

Ukiikuta ardhi tupu kule ipo kwa ajili ya kanyumba ka KRISMAS wenyewe hawako Moshi HAWAJAJENGA NA ni eneo linalosubiri kuzika wachaga wa ndani na nje ya nchi watakaofariki!!!!
Kumfananisha mchanga na mzaramo ni tusi bro tulia basi
 
Nimejitahidi kusoma komenti za wadau ili na mimi nipate kitu kuhusu hili,wengi katika comment wamewashupalia jamii ya Wachagga kwamba ni wabinafsi n.k. lakini in deep down wengi wa waliotoa komenti ni chuki tu binafsi dhidi ya jamii ya Wachagga na hakuna lingine. Lakini hili swala la kusema hilo kabila ni wabinafsi mara moshi ni pagumu kutoka kibiashara hamjaliangalia katika Angle zingine.

Kabla ya kuwadis Wachagga mmeshajiuliza haya maswali.
1.mfumo wa kiutawala wa kichaga wa mangi miaka hiyo ulikuaje?
2.je unazijua koo za kichaga zilizopigana na zenye mabifu hadi leo (lyamungo sec vs umbwe sec clash)
3.mshajiuliza kwanini sera ya ujamaa ya nyerere haikufanikiwa kupenya uchagani kwa asilimia kubwa? Ujamaa uliishia tu maeneo ya mtakuja,newland, chekereni and the like kule kwenye mashamba ya tpc. haukufanikiwa kupenya huku juu migombani kwenye ubichi ubichi throughout the year.
4.mmeshawahi kujiuliza Wachagga ni vita ngapi wamezipiga na jamii ya nilotes (maasai) kutetea kidogo walichonacho (ardhi).?
5.mmeshajiuliza ardhi ya uchagani ina ukubwa gani ukilinganisha na mikoa mingine?.
6.je mmeliangalia kwa jicho la kijiografia hili swala la ardhi ya uchagani ?
7.mnajua kitu kinaitwa KIAMBA SYSTEM Uliopo uchagani?
Anyway....

Mnapowadis Wachagga kwamba ni wabinafsi hiyo hali haijaamuliwa na utashi wa Kabila bali ni many factors ikiwemo natural ,socio, historical na geographical n.k. ambazo nyingine sio rahisi kuzielezea hapa maana watu humu wana comment mihemko tu pasipo kufanya fact check.
Tembeeni mfanye kuwauliza wazee kuhusu uchagani kukoje watakupa what is /was going on behind the scenes.
Hata kwenye biblia kuna mstari unasema tembeeni huku na huko mpate kuuliza...[emoji38][emoji38]. Tatizo wa tz tuna ile hali ya kulishana Matango pori sana kuhusu jamii fulani haswa ikiwa jamii hiyo ina ushawishi au imefanikiwa katika nyanja fulani ya maisha.

N:B ni ngumu sana kushindana na mtu mwenye exposure ya huko duniani .
Na hizi chuki za kuwadis Wachagga zimeshamiri sana kipindi cha utawala uliopita na wala hazina tija sana na hazitawarudisha nyuma jamii hiyo kwenye kuisaka hela maana kuna msemo unasema if you can't beat e'm join them.
TUPENDANE TU NA TUIJENGE TZ MOJA KUdiscuss ukabila kwenye zama hizi ni ujinga usio na maana yoyote
Umemaliza hizi ni chuki tu za kulishwa
 
Back
Top Bottom