Anayesema Moshi pagumu kwa wageni, ugumu wake ni nini?

Anayesema Moshi pagumu kwa wageni, ugumu wake ni nini?

Sijajisifu mkuu lakini acha wale jeuri yao mkuu [emoji28] mi mwenyewe siwaelewi, aiseee hawa mademu wanadharau hizo daaah tena wengi wawe wametoka familia ambazo portifolio inasomaga, au demu ashike milioni moja mbili daah.
Kumbe unawajua nje ndani. Ila sasa wanaface mabadiliko nadhani shida ilikuwa ni malezi. Maana Moshi daaah wanawake wa pande zile na Kilimanjaro kwa ujumla ni changamoto eneo la adabu.
 
shida inakuja kuwa waliobaki moshi kuna umaskini mkubwa wa kutupwa kule ajira hamna hata ya kuchoma tu mishikaki!! inabidi wakimbie waende mikoa
Sio kweli moshi biashara zinafanyika kila aina ndogo,za Kati na kubwa
Kuwekeza mikoa mingine ni kupanua wigo kila mkoa tupo na nje ya nchi
 
Kutokana na Moshi kutotoa ardhi kwa wawekezaji wageni wenye uwezo ili wapanue ajira sasa hivi Moshi ndio inaongoza kwa kutoa wafanyakazi wengi mabaa maid kwenye baa za watu mikoa mingine Tanzania nzima inasikitisha
Acha kuongea Pumba,haiwez kuwa rahisi kupata housgirl au baa maid kutoka Moshi ni asilimia chache
Ma housegirl wengi ni wa mikoa ya iringa na mikoa ya kusini
 
Umeongea point wanarudi kuzika tu tena wakikaa sana siku tatu
Kwhyo kule Hakuna maisha yanayoendelea? Acha uzwazwa takwimu za serikali zinatuambia Kilimanjaro 90% nyuma ya dar 92% Wana makazi Bora na maisha Bora,hivyo vitu havitokanan na kufanya kazi zinazozalisha?
 
Nimejitahidi kusoma komenti za wadau ili na mimi nipate kitu kuhusu hili,wengi katika comment wamewashupalia jamii ya Wachagga kwamba ni wabinafsi n.k. lakini in deep down wengi wa waliotoa komenti ni chuki tu binafsi dhidi ya jamii ya Wachagga na hakuna lingine. Lakini hili swala la kusema hilo kabila ni wabinafsi mara moshi ni pagumu kutoka kibiashara hamjaliangalia katika Angle zingine.

Kabla ya kuwadis Wachagga mmeshajiuliza haya maswali.
1.mfumo wa kiutawala wa kichaga wa mangi miaka hiyo ulikuaje?
2.je unazijua koo za kichaga zilizopigana na zenye mabifu hadi leo (lyamungo sec vs umbwe sec clash)
3.mshajiuliza kwanini sera ya ujamaa ya nyerere haikufanikiwa kupenya uchagani kwa asilimia kubwa? Ujamaa uliishia tu maeneo ya mtakuja,newland, chekereni and the like kule kwenye mashamba ya tpc. haukufanikiwa kupenya huku juu migombani kwenye ubichi ubichi throughout the year.
4.mmeshawahi kujiuliza Wachagga ni vita ngapi wamezipiga na jamii ya nilotes (maasai) kutetea kidogo walichonacho (ardhi).?
5.mmeshajiuliza ardhi ya uchagani ina ukubwa gani ukilinganisha na mikoa mingine?.
6.je mmeliangalia kwa jicho la kijiografia hili swala la ardhi ya uchagani ?
7.mnajua kitu kinaitwa KIAMBA SYSTEM Uliopo uchagani?
Anyway....

Mnapowadis Wachagga kwamba ni wabinafsi hiyo hali haijaamuliwa na utashi wa Kabila bali ni many factors ikiwemo natural ,socio, historical na geographical n.k. ambazo nyingine sio rahisi kuzielezea hapa maana watu humu wana comment mihemko tu pasipo kufanya fact check.
Tembeeni mfanye kuwauliza wazee kuhusu uchagani kukoje watakupa what is /was going on behind the scenes.
Hata kwenye biblia kuna mstari unasema tembeeni huku na huko mpate kuuliza...[emoji38][emoji38]. Tatizo wa tz tuna ile hali ya kulishana Matango pori sana kuhusu jamii fulani haswa ikiwa jamii hiyo ina ushawishi au imefanikiwa katika nyanja fulani ya maisha.

N:B ni ngumu sana kushindana na mtu mwenye exposure ya huko duniani .
Na hizi chuki za kuwadis Wachagga zimeshamiri sana kipindi cha utawala uliopita na wala hazina tija sana na hazitawarudisha nyuma jamii hiyo kwenye kuisaka hela maana kuna msemo unasema if you can't beat e'm join them.
TUPENDANE TU NA TUIJENGE TZ MOJA KUdiscuss ukabila kwenye zama hizi ni ujinga usio na maana yoyote
Sasa kila mtu akisema aishi vile asili yake ilivyo tutaweza kuchanganyika na kuwa familia moja?!

Hapa watu wanakemea tabia za ajabu za jamii ya huko zinazozuia watu kujimix. Hayo mambo sijui ya vita na wamasai sijui Kyamba system ni mambo ya miaka hiyo kwasasa hayana umuhimu.

Kila jamii hapa ikisema ifuate asili yake na mifumo yake unahisi maisha ya watanzania yatakuwaje?!

So acha kujenga hoja kizee, hakuna mtu anachukia jamii ya wachagga ila kuna tabia mnazionyesha kwa jamii zingine ambazo si nzuri na ndio maana mnakemewa.

Ukiona unasemwa sana sikiliza kinachosemwa. Acha kuwa na ubishi hadi usisikie kinachosemwa na kujiona wewe ni maridadi dhidi ya wengine.
 
Fanyeni kazi acheni lawama za kiree. Yani mkiona mchaga amefanikiwa badala muige mfano wa anayofanya mnabaki kuanza kutafuta lawama na maneno yasiokuwa na ukweli.

Kwa attitude hii mliokuwa nayo mtaendelea kuburuzwa na wachaga vizazi vyenu vyote. Sasa sisi wachaga tutanunua ardhi zenu zote mpaka hii nchi yote tuimiliki mbakie nyie wengine kuwa vijakazi wetu tu. Hakuna namna nyingine.

Ulishaona mchaga analalamika kwenye mikoa mingine? Je kwani wachaga hawapati ugumu wa biashara huko walipo nchi nzima? Ulishasikia malalamiko? Akiona mambo magumu hakalii kulialia anainuka anatafuta fursa nyingine mahali pengine.

Sasa mtu kwasababu ameshindwa kufanya biashara Moshi anaanza kulia kwani ni lazima ufanyie Moshi? Fursa zipo kila mahali na sio lazima ufanikiwe kila mahali, nenda tafuta mahali pengine.

Mnasumbuliwa na inferiority complex.
Ndiyo nimeona wanalalamika.Ndiyo,punguzeni roho mbaya na umimi.
 
Mkuu kama Moshi kuna umasikini wakutupwa, basi maeneo mengine ya Tz ni fukara kabisa. Bila ushabiki huo umasikini haupo Moshi.

Jambo lingine wachaga hawasahau kwao hata siku moja na kumbuka wamepafanya kwao kuwe nibsehemu yenya makazi ya kuishi, ndio maana wamejenga zaidi makazi kuliko vitu vingine.
Huyo jamaa Ana chuki za kipuuz na wachaga mpuuze
 
Chuki dhidi ya jamii fulani huwa ni ya kurithi toka kizazi hadi kizazi... Hata wewe umezaliwa ukalishwa tu chuki kwamba Wachagga wabaya na jamii iliyokuzunguka ..na hiyo chuki usiobadilika utaingia nayo kaburini na hakuna ulichofaidi ...nitajie basi mazuri ya hilo kabila lenu basi
Sina kabila.
Ila wachagga wana ubaguzi mno.
 
Fanyeni kazi acheni lawama za kiree. Yani mkiona mchaga amefanikiwa badala muige mfano wa anayofanya mnabaki kuanza kutafuta lawama na maneno yasiokuwa na ukweli.

Kwa attitude hii mliokuwa nayo mtaendelea kuburuzwa na wachaga vizazi vyenu vyote. Sasa sisi wachaga tutanunua ardhi zenu zote mpaka hii nchi yote tuimiliki mbakie nyie wengine kuwa vijakazi wetu tu. Hakuna namna nyingine.

Ulishaona mchaga analalamika kwenye mikoa mingine? Je kwani wachaga hawapati ugumu wa biashara huko walipo nchi nzima? Ulishasikia malalamiko? Akiona mambo magumu hakalii kulialia anainuka anatafuta fursa nyingine mahali pengine.

Sasa mtu kwasababu ameshindwa kufanya biashara Moshi anaanza kulia kwani ni lazima ufanyie Moshi? Fursa zipo kila mahali na sio lazima ufanikiwe kila mahali, nenda tafuta mahali pengine.

Mnasumbuliwa na inferiority complex.
Bwana wewe hebu acha kuwa hivi. Unakuza sana hii title ya mchagga kwakweli. Hapa hatusengenyi tunakemea tabia za ajabu walizonazo mbona rahisi sana.
 
Nakubali kwa eneo la ujenzi wanaongoza maeneo makuu mawili ujenzi wa nyumba za makazi ambazo kazi yake kubwa Ni moja kufikia wakati wa Krismasi na pili kufikia waombolezaji waliopeleka msiba

Ujenzi wa pili wasiousahau Ni wa kuzika kwao na kujenga makaburi ya waliowazika

Haya ndio hasa utasokia ohh mchaga lazima ajenge kwao!!!!

Makabila Mengine definition ya kwao Ni pale anapopatia Riziki iwe Dar ,Mwanza au popote .Anaweka kambi hapo.Mchaga Akisema kwao definition kubwa Ni Krismasi na kuzikwa!!! Hamna kingine Cha ziada.Muulize mchaga yeyote ana Nini Cha ziada kafanya kwao zaidi ya kujenga nyumba ya kufikia Krismasi na misiba na kujenga makaburi kwao.Ana Nini Cha ziada? Wengi wao hamna kitu
Unazidi kujidhalilisha,MCHAGA akishajenga kwao hata ugenini pia anajenga yaani both
 
Ok Mkuu, mkataa kwao mtumwa, mimi nizaliwe Moshi then kije kusema Dar ni kwetu ei kisa ndio sehemu nafanya mishe zangu, hiyo hapana Mkuu hapa nitabaki kuwa Mgeni wa Jiji ila kwetu ni Moshi daima.

Hivi Mkuu wewe ukienda kwa ndugu wa baba/mama yako utapakataa kwa wazazi wako kuwa sio kwenu? kama jibu ni ndio basi sina mjadala tena na wewe Mkuu.
Huyu mnywa ulanz wa kalenga ni mbishi mno
 
Ukioa au kuolewa na mtu asiye mchaga kwa watoto kwao Ni wapi?

Maana siku hizi wachaga mnaoa Sana na kuolewa na makabila Mengine hao watoto kwao kutakuwa wapi? Na wajukuu watakuwa kwao wapi ?
Kwan hawana makwao?
 
Abiria chunga mfuko wako kununua ardhi Moshi Hadi ukoo uridhie epuka kutapeliwa na hawauzi kwa chasaka yaani mtu mgeni wa kuja

Viwanja halali vingekuwa tu vile vinauzwa na Halmashauri.Usinunue kwa mtu binafsi au private estate companies utakuwa Kila siku kesi mahakamani kwa miaka na pesa imeondoka.Serikali ndio ikuuzie hapo sawa .Sababu likitokea la kutokea wao ndio watawajibika
Una matatz ya akili? Sasa unasema Moshi watu hawauz viwanja,wakiuza unaanza kupinga Sasa tukueleweje!?
 
Back
Top Bottom