Anayesema Moshi pagumu kwa wageni, ugumu wake ni nini?

Anayesema Moshi pagumu kwa wageni, ugumu wake ni nini?

Sure nadhani pia ni ukosefu wa elimu pia unachangia yaani ile elimu ya kuhamasishwa not formal education.

Umesema wakike wameanza kuacha viburi na tamaa za mali hili bado wanalo labda mmoja mmoja wa bahati sana.
Kwahiyo unajisifu na kuona fahari mabinti zenu kuwa na tabia za ajabu ...!
 
Kuutetea ukabila kwa kujidai haupo ni kazi ngumu pia.

Mgeni ni rahisi kutoboa Moshi ukiwa unafanya biashara haramu na ku cover kwa biashara halali ambayo itakuwa haina wateja.

Mchagga hawezi kuliacha duka la Mchagga mwenzie aje kununua kwako Mmatengo

hii ni shida ya Tanzania yote, ukabila upo kila mkoa nchi hii..... Binafsi naomba haya makabila yafutike tu yasiwepo tubaki watanzania tu...
 
hii ni shida ya Tanzania yote, ukabila upo kila mkoa nchi hii..... Binafsi naomba haya makabila yafutike tu yasiwepo tubaki watanzania tu...
Aaaah kuna sehemu zimezidi aisee....... Kama huko Kilimanjaro, Bukoba huko Zanzibar.... Yaani matabia ya ajabu sana
 
Ni dar es salaam tu pekee kwa Tanzania ndio hakuna ukabila na wenyeji hawakuendekeza ukabila japo matokeo yake watu wamataifa wamewateka na kuwaona wapumbavu mpaka leo pamoja nakugawa ardhi bure nk...
 
Aaaah kuna sehemu zimezidi aisee....... Kama huko Kilimanjaro, Bukoba huko Zanzibar.... Yaani matabia ya ajabu sana

Ni dar es salaam tu pekee ambako Mzaramo alimpokea kila mtu na kumuona ndugu yake japo matokeo yake hayakuwa mazuri kwao...Kuna miji hapa Tanzania ni migumu sana kama wewe sio mzawa...nimekanyaga mikoa yote Tz na Zanzibar nalijua hili vizuri sana..
 
Kwahiyo unajisifu na kuona fahari mabinti zenu kuwa na tabia za ajabu ...!
Sijajisifu mkuu lakini acha wale jeuri yao mkuu 😅 mi mwenyewe siwaelewi, aiseee hawa mademu wanadharau hizo daaah tena wengi wawe wametoka familia ambazo portifolio inasomaga, au demu ashike milioni moja mbili daah.
 
😅😅😅🙌🙌🙌🙌
Sijawahi kuona vagi la kutisha huku zaidibya watu kutumia bastola na mateja kusumbua watu na kukaba. Ila hakuna anayeweza vita.

Musoma siku hizi watu wamemua tu kuachana na fujo.
 
Sijawahi kuona vagi la kutisha huku zaidibya watu kutumia bastola na mateja kusumbua watu na kukaba. Ila hakuna anayeweza vita.

Musoma siku hizi watu wamemua tu kuachana na fujo.
Daaah kwani kaskazini kuna kitu tena vyuma vimekaza bado, utalii amna, mererani hakutemi jeuri wanatoa wapi?
 
Back
Top Bottom