Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukiwa na ubinafsi then kizazi chako ndicho kitalipia na si wewe?!Kutokana na Moshi kutotoa ardhi kwa wawekezaji wageni wenye uwezo ili wapanue ajira sasa hivi Moshi ndio inaongoza kwa kutoa wafanyakazi wengi mabaa maid kwenye baa za watu mikoa mingine Tanzania nzima inasikitisha
Siku hizi m'mebakia mikwara tu na maneno ila jeuri sio kama mnavyojinasibu.Mkuu kama Moshi kuna umasikini wakutupwa, basi maeneo mengine ya Tz ni fukara kabisa. Bila ushabiki huo umasikini haupo Moshi.
Jambo lingine wachaga hawasahau kwao hata siku moja na kumbuka wamepafanya kwao kuwe nibsehemu yenya makazi ya kuishi, ndio maana wamejenga zaidi makazi kuliko vitu vingine.
Kuna jamaangu alifungua duka hapo chugani ,yeye ni mtu wa mbeya ,duka kaweka katikati ya watu wa huko(wenyeji) ,alifanyafanya biashara kisela badae wakaja mpiga tukio,ilivunjwa frem yake pekee ,wakasepa na mzigo wote,akaamua kutemana na biashara ya duka akahama na mkoa kabisaEeh ni wabinafsi hao raia, yani Moshi biashara kama hujulikani utasota sana na uombe isife wakati una struggle maana ndio furaha yao!
Ila mikoa mingine mikubwa huwa biashara hazina majina yani we fungua Mbagala utauza, hamia Goba utauza tu, nenda Mbezi beach utauza tu! Na ndio maana hapa town watu hawataki kuondoka wanazidi kujazana tu.
Hawa ndio wanaokaa na babu zao wale mababu wenye itikadi za ubaguzi wanajadili namna ya kuwabagua jamii nyingine wao wapate. Vizee vigine bwana ona sasa vimewatia nuksi wajukuu zao.Mwamba ametawaliwa na hisia zaidi inasikitisha
Ndio zao hizo yani, acha tu yule hayati msukuma awachukie wana hila sana hao jamaaKuna jamaangu alifungua duka hapo chugani ,yeye ni mtu wa mbeya ,duka kaweka katikati ya watu wa huko(wenyeji) ,alifanyafanya biashara kisela badae wakaja mpiga tukio,ilivunjwa frem yake pekee ,wakasepa na mzigo wote,akaamua kutemana na biashara ya duka akahama na mkoa kabisa
Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
Anamaanisha CHADEMAKwani tulisemaga mtupe nchi. Ni lini tulisema aisee tunataka nchi [emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa hii ni Chuki na Roho mbayaMjibu simple tu hao ni wenyeji, sio wageni wakuja hao wengi wamezaliwa na kukulia hapo hapo. Na pia hao anaowataja na maeneo ni hapo kati kati ya mji ambapo wanakuja watu mchanganyiko kufuata mahitaji ila akisogee majengo, kiboriloni, soweto, rau, kcmc,kibosho,shanty, mbokomu, mfumuni n.k ambapo ndipo kwenye wakazi aone hao anaowataja wanafanya biashara vipi.
Moshi kwa mgeni kibiashara pagumu sana sio utani, labda uende na mtaji mkubwa na biashara tofauti, kidoogo utapata unafuu.
Ubora wa bidhaa na sio kuangalia suraMkuu Moshi manispaa hunipotezi eneo lolote labda kdc ndio kidogo ntapotea ila tuambiane ukweli ulivyo kufanta biashara uchagani kunahitaji sana kujulikana wewe ni wa wapi, shika hili 'wewe ni wa wapi'
Ndio maana hata wewe utawaita wageni wafanyabiashara kwa makabila yao hadi maeneo tu ya biashara yapo tofauti kuna maeneo wengi wapare na wasambaa, alafu mchaga atakwambia siwezi nunua jeans za kisambaa [emoji23][emoji23] ukweli au uongo mleta uzi?
Hii ipo sana mfano stend tu pale gorofani mgeni amawezaje fanya biashara?, Embu sema tu Mkuu?, picha linaanza stand gorofani ukifika tu mfanyabishara mwenyewe anakujua ni homeboy anakuita utamkataaje dogo wa kitaa uende kwa mgeni mgeni kweli?
Moshi padogo sana na hii inachangia hili swala, yani ukiwa town unaweza kuta unafahamiana na wafanyabiashara wengi wa mahitaji uliyofuata, kwanini usinunue kwao sasa ukamtosa mgeni
Mimi sasa hivi niko huku, nawacheki tu. Nisipofilimba mtu huku basi Mungu anisaidie tu, maana hawa jamaa huwa wana mikwara utafikori hata fujo zenyewe wanaziweza.Kuna jamaangu alifungua duka hapo chugani ,yeye ni mtu wa mbeya ,duka kaweka katikati ya watu wa huko(wenyeji) ,alifanyafanya biashara kisela badae wakaja mpiga tukio,ilivunjwa frem yake pekee ,wakasepa na mzigo wote,akaamua kutemana na biashara ya duka akahama na mkoa kabisa
Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
Anga zao kwenye kutafta maisha hamna mwenye anga zake! Tushindane kimbinu za kibiashara sio kwa hila hila na fitna za ajabu😂Hila zipi mzee, hutakiwi kuingia kwenye anga zao sasa 😅😅
Uzuri wa JF "WE DARE TO SPEAK OPENLY" hakuna makando makando. Wahusika wasikie na wajifunze na kurekebika.Ndio zao hizo yani, acha tu yule hayati msukuma awachukie wana hila sana hao jamaa
Tabia hizo kama za WanaigeriaHuo ni upumbavu na ukosefu wa akili. Wewe weka hiyo ardhi MUNGU atakuletea mjukuu m'moja bange na cha pombe ataiuza kwa bei nafuu kuliko pesa uliyokataa ukishakufa.
Hivi ninyi watu mnaowaza kuwa wengine wasipate ila upate wewe tu hizi akili huwa mnatoa wapi?!
Wewe hapo unasema hivyo halafu upo mikoa ya wengine na umekaribishwa na umeomba nafasi ya kiwanja na umeanzisha biashara na unaishi bila kubaniwa. Sasa wewe kwann uzingue wengine?!
Tabia chafu hizo za kibinafsi.
Haiwezekani nchi nzima msemwe ninyi tu hauoni kama ni tatizo, mfike muda muwe na aibu basi .Aaah sawa kumbe ni Chama Tatizo watanzania hawaelewi ukabila upo kila mahali na sio kwa wachagga tu watu wote unaojua wapo Tanzania bara ni wakabila [emoji39][emoji39]
Sure nadhani pia ni ukosefu wa elimu pia unachangia yaani ile elimu ya kuhamasishwa not formal education.Haiwezekani nchi nzima msemwe ninyi tu hauoni kama ni tatizo, mfike muda muwe na aibu basi .
Wewe umeshawahi kwenda mikoa mingine ukaona mapokezi yao.....?!
Mikoa mingine mbona watu wanakwenda na hawakutani na vituko wala hila. Ila Hapo wilayani Moshi na hata wilaya zingine za Kilimanjaro haya matabia ya umimi mnayo sana. Ila uzuri ni kuwa mnajifunza taratibu maana naona hata mabinti zenu wanaacha viburi na tamaa za mali taratibu.
So soon mtarekebika na kujua hamuishi katika ulimwengu wa pekeee yenu hapa tanzania.
Moshi na Bukoba ni ndugu 😀😀😀😀Kuutetea ukabila kwa kujidai haupo ni kazi ngumu pia.
Mgeni ni rahisi kutoboa Moshi ukiwa unafanya biashara haramu na ku cover kwa biashara halali ambayo itakuwa haina wateja.
Mchagga hawezi kuliacha duka la Mchagga mwenzie aje kununua kwako Mmatengo
Kwa Sasa ishazidiwa na kahama mbali sanaMoshi kugumu kupata ardhi ya kuwekeza mgeni
Hadi manispaa ya moshi inashindwa kupanuka sababu hiyo
Miji midogo kibao inakua kwa kasi lakini mji wa moshi upo utafikiri umepigwa bomu .Kisa ubahili wa kutoa ardhi kwa wawekezaji wageni wenye pesa wawekeze