Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Nimekaa hapo 7 yearsMimi ni mwenyeji sema nashangaa wageni wanambwela mbwela 😅 hope wewe wa moshi home boy
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimekaa hapo 7 yearsMimi ni mwenyeji sema nashangaa wageni wanambwela mbwela 😅 hope wewe wa moshi home boy
Moshi kugumu kwenye startup kama wewe sio mwenyeji wa kule sababu watu wa kule hawataki wageni watusue kizembe kwenye ardhi yao! Kuhusu kula na kulala hapana ugumu wowote
Moshi ni pagumu kuanza biashara. Ila watu wakiisha kufahamu na ukaunda urafiki nao biashara inakuwa ni nzuri. Watu wanajenga mazoea ya kununua kitu kwa fulani. Hivyo mpaka ujenge jina na kuaminika. Na utasikia watu wakimtaja mtu zaidi kuliko jina la biashara yake.
Hivyo kama ndio unaanza inabidi uwe mvumilivu na utoe huduma ya uhakika kufikia kuaminiwa na kutambulika.
MkuuHizo ni cover tu mkuu
Hao ma Big Fish ndio hasa wanaokwamisha harakati yani😂 ndio maana mji unakuwa mgumu! Yani we ukienda na biashara ambayo hutasumbuliwa isiwe business nyepesi iwe labda ni corporate business ila hizi za kawaida sijui mpesa,duka la nguo,bar ama vitu vya aina hio mizengwe ipo. Nilishatumiwaga askari wakaja kunipiga hela.Hata kwa wazawa bado ni pagumu kibiashara maana kuna maBIG Fish tayari, labda usifanye hizi traditional businesses
Mkuu Moshi manispaa hunipotezi eneo lolote labda kdc ndio kidogo ntapotea ila tuambiane ukweli ulivyo kufanta biashara uchagani kunahitaji sana kujulikana wewe ni wa wapi, shika hili 'wewe ni wa wapi'Daah karibu mi nitakuwa mwenyeji wako
Hao wageni sijui wasambaa na wenzao ni wanaroga kichizi ndio maana wanastahimili na biashara zao ni za kipuuzi tu kama kuosha carrot, kuuza samaki na mazaga mengine ya sokoni!Mkuu
Unawezaje kusema kwa watu wenye akili timamu kwamba wageni wote wanaofanya biashara na kufanikiwa Moshi wanafanya biashara haramu?
Utafiti wako ulifanyia wapi na sample ya watu wangapi?
Hao ma Big Fish ndio hasa wanaokwamisha harakati yani[emoji23] ndio maana mji unakuwa mgumu! Yani we ukienda na biashara ambayo hutasumbuliwa isiwe business nyepesi iwe labda ni corporate business ila hizi za kawaida sijui mpesa,duka la nguo,bar ama vitu vya aina hio mizengwe ipo. Nilishatumiwaga askari wakaja kunipiga hela.
Hili ndio linajibu thread ya mwamba hapo kuhusu ugumu wenyewe😂!Moshi ni pagumu kuanza biashara. Ila watu wakiisha kufahamu na ukaunda urafiki nao biashara inakuwa ni nzuri. Watu wanajenga mazoea ya kununua kitu kwa fulani. Hivyo mpaka ujenge jina na kuaminika. Na utasikia watu wakimtaja mtu zaidi kuliko jina la biashara yake.
Hivyo kama ndio unaanza inabidi uwe mvumilivu na utoe huduma ya uhakika kufikia kuaminiwa na kutambulika.
Mkuu Moshi manispaa hunipotezi eneo lolote labda kdc ndio kidogo ntapotea ila tuambiane ukweli ulivyo kufanta biashara uchagani kunahitaji sana kujulikana wewe ni wa wapi, shika hili 'wewe ni wa wapi'
Ndio maana hata wewe utawaita wageni wafanyabiashara kwa makabila yao hadi maeneo tu ya biashara yapo tofauti kuna maeneo wengi wapare na wasambaa, alafu mchaga atakwambia siwezi nunua jeans za kisambaa [emoji23][emoji23] ukweli au uongo mleta uzi?
Hii ipo sana mfano stend tu pale gorofani mgeni amawezaje fanya biashara?, Embu sema tu Mkuu?, picha linaanza stand gorofani ukifika tu mfanyabishara mwenyewe anakujua ni homeboy anakuita utamkataaje dogo wa kitaa uende kwa mgeni mgeni kweli?
Moshi padogo sana na hii inachangia hili swala, yani ukiwa town unaweza kuta unafahamiana na wafanyabiashara wengi wa mahitaji uliyofuata, kwanini usinunue kwao sasa ukamtosa mgeni
Alafu wanataka tuwape nchi?Hao wageni sijui wasambaa na wenzao ni wanaroga kichizi ndio maana wanastahimili na biashara zao ni za kipuuzi tu kama kuosha carrot, kuuza samaki na mazaga mengine ya sokoni!
Mchaga hanaga wivu na biashara za kitoto kama hizo[emoji23]!
Kyasaka fungua fremu utie mtaji wa kueleweka uone. Duka la simu kubwa stand kuu, fungua fremu double road, mbuyuni uone mziki wake! Kwanza hio fremu yenyewe kuipata ni mziki lazma upigwe sana hela!
Hawataki watu wapatie utajiri kwao😂Moshi kugumu kupata ardhi ya kuwekeza mgeni
Hadi manispaa ya moshi inashindwa kupanuka sababu hiyo
Miji midogo kibao inkua kwa kasi lakini mji wa moshi upo utafikiri umepigwa bomu .Kisa ubahili wa kutoa ardhi kwa wawewkezaji wageni wenye pesa wawekeze
Ila wao wanapenda kupatia utajiri kwa wengine very interestingHawataki watu wapatie utajiri kwao😂
Eeh ni wabinafsi hao raia, yani Moshi biashara kama hujulikani utasota sana na uombe isife wakati una struggle maana ndio furaha yao!Ila wao wanapenda kupatia utajiri kwa wengine very interesting
N i kweli miji wasio wabinafsi inakua kwa spidi ya hatariAisee mikoa ya kaskazini inasifika kwa ubinafsi sana. Waache hiyo tabia wakuze miji yao zaidi. Miji isiyo na ubinafsi huwa inakua kwa kasi sana.
Mchagga sio mjinga auze ardhi yake kipuuzi.Moshi kugumu kupata ardhi ya kuwekeza mgeni
Hadi manispaa ya moshi inashindwa kupanuka sababu hiyo
Miji midogo kibao inakua kwa kasi lakini mji wa moshi upo utafikiri umepigwa bomu .Kisa ubahili wa kutoa ardhi kwa wawekezaji wageni wenye pesa wawekeze