wale matajiri wabobezi wengi weshatangulia mbele ya haki.....watoto wao wameshika mji....na wana pesa kwei kwei.......ukiingia moshi na ukaanzisha very creative business,,,...wao ndio watakuwa wateja wako wakuu....na watajenga urafiki na wewe.....kuna mawili...ukubali kuwapatia hisa au kuwauzia hiyo biashara.....kataa yote utajishangaa....nimekulia pale, nimesomea pale na ni my homeland.....na wengi nimesoma nao...kizazi cha kili boys, kolila, namfua, kibo, mawenzi na moja nimeishau iko pande za kibosho ....maduka, petrol station, workshop, hardware, bar......yaani kila kitu....thats why moshi pako vile vile daily....zaidi ya kpiga rangi ...nothing more..