mcTobby
JF-Expert Member
- Feb 16, 2018
- 4,072
- 12,119
Nimejitahidi kusoma komenti za wadau ili na mimi nipate kitu kuhusu hili,wengi katika comment wamewashupalia jamii ya Wachagga kwamba ni wabinafsi n.k. lakini in deep down wengi wa waliotoa komenti ni chuki tu binafsi dhidi ya jamii ya Wachagga na hakuna lingine. Lakini hili swala la kusema hilo kabila ni wabinafsi mara moshi ni pagumu kutoka kibiashara hamjaliangalia katika Angle zingine.
Kabla ya kuwadis Wachagga mmeshajiuliza haya maswali.
1.mfumo wa kiutawala wa kichaga wa mangi miaka hiyo ulikuaje?
2.je unazijua koo za kichaga zilizopigana na zenye mabifu hadi leo (lyamungo sec vs umbwe sec clash)
3.mshajiuliza kwanini sera ya ujamaa ya nyerere haikufanikiwa kupenya uchagani kwa asilimia kubwa? Ujamaa uliishia tu maeneo ya mtakuja,newland, chekereni and the like kule kwenye mashamba ya tpc. haukufanikiwa kupenya huku juu migombani kwenye ubichi ubichi throughout the year.
4.mmeshawahi kujiuliza Wachagga ni vita ngapi wamezipiga na jamii ya nilotes (maasai) kutetea kidogo walichonacho (ardhi).?
5.mmeshajiuliza ardhi ya uchagani ina ukubwa gani ukilinganisha na mikoa mingine?.
6.je mmeliangalia kwa jicho la kijiografia hili swala la ardhi ya uchagani ?
7.mnajua kitu kinaitwa KIAMBA SYSTEM Uliopo uchagani?
Anyway....
Mnapowadis Wachagga kwamba ni wabinafsi hiyo hali haijaamuliwa na utashi wa Kabila bali ni many factors ikiwemo natural ,socio, historical na geographical n.k. ambazo nyingine sio rahisi kuzielezea hapa maana watu humu wana comment mihemko tu pasipo kufanya fact check.
Tembeeni mfanye kuwauliza wazee kuhusu uchagani kukoje watakupa what is /was going on behind the scenes.
Hata kwenye biblia kuna mstari unasema tembeeni huku na huko mpate kuuliza...[emoji38][emoji38]. Tatizo wa tz tuna ile hali ya kulishana Matango pori sana kuhusu jamii fulani haswa ikiwa jamii hiyo ina ushawishi au imefanikiwa katika nyanja fulani ya maisha.
N:B ni ngumu sana kushindana na mtu mwenye exposure ya huko duniani .
Na hizi chuki za kuwadis Wachagga zimeshamiri sana kipindi cha utawala uliopita na wala hazina tija sana na hazitawarudisha nyuma jamii hiyo kwenye kuisaka hela maana kuna msemo unasema if you can't beat e'm join them.
TUPENDANE TU NA TUIJENGE TZ MOJA KUdiscuss ukabila kwenye zama hizi ni ujinga usio na maana yoyote