Mzee upo confused sana
Unakataa Wahaya hawaongei Kihaya maofisini,then unarudi nyuma unasema Wahaya wanapenda kuongea Kihaya sana
Yaani upo confused.
Hoja zako ni mtazamo wako,na hoja zangu ni mtazamo wangu
Mwisho wa siku tutakaa hapa kuzungumzia haya makabila kila mmoja anatetea upande wake,hatutafika mwisho
Issue hapa ni kwamba Bukoba labda kwa macho yako unaona wageni wapo ni sababu kuna ardhi kubwa ya bure,Moshi hakuna ardhi kabisa,mgeni hawezi pewa ardhi maana haipo
Ndio maana unaona hakuna wageni maana ardhi ya kuwapa haipo
Wachagga ni watu wazuri tu kama walivyo watu wengine,shida hapa mna chuki ya ajabu sana bila sababu
Kutokumuuzia mgeni ardhi sababu huna ni "tabia ya ajabu"?
Kujifanya sijui wageni wapo wengi sana kwenu ndio sifa,soon mtakua replaced mercilessly kama mlivyowafuta Wazaramo mkoa wa Dar
Soon Bukoba yenu yooote itakua dominated na foreigners na msidhani foreigners wana sympathy na wenyeji kwa lolote lile,soon mtakua pushed out na mwisho mtakua wiped out.
Soon land kwenu itaisha,hamna pengine watakubali kuwapa their land,mtakua landless,na kabila likiwa landless maaan yake hilo kabila lina-cease to exist by definition.
Mmeona raha sana kuja Dar na kumeza Wazaramo wote wameisha,sasa the same is coming at you and you will be landless,wait and see!