Anayesema Yanga imeshuka anatumia moyo badala ya ubongo kufikiri

simba vs tabora nani aliwazuia wachezaji wa kigeni wa tabora wasicheze? Na kwanini? Simba vs fountain gate nani aliwazuia wachezaji wa kigeni wa fountain wasicheze? Na kwanini? Na wachezaji hao ni nani na nani? Na ni wangapi?
 
Umemaliza mkuu.
 
Makambo na wenzake wa kigeni. Na kwanini hizo timu zote mbili zicheze na Simba katika kipindi hicho kigumu kwao?
 
Ulijiandikisha lakini kijana???
Shida inayowapata wachambuzi wetu hawa wa hivihivi ni kuilinganisha matokeo Yanga vs Yanga yenyewe katika misimu 2 tofauti bila kulinganisha supporting backgrounds za misimu 2 iliyopita. Yanga kiwango hakijashuka ila timu za msimu huu zimeimarika zaidi kuliko timu za msimu uliopita; na Yanga imebadili mbinu zake uwanjani kwa kutunza nguvu (conserve energy) za wachezaji kwa kuacha kukimbia sana kwa dk 90 kutafuta magoli mengi kwenye mechi za mfululizo na muda mfupi baina ya mechi.
 
Makambo na wenzake wa kigeni. Na kwanini hizo timu zote mbili zicheze na Simba katika kipindi hicho kigumu kwao?
acha kuzunguka si unijibu bhasi kwanini walizuiwa wasicheze? Kwanini boka hakuzuiliwa?
 
Wameanza kukuelewa baada ya mechi dhidi ya Singida kule Zanzibar. Yanga inawafundisha wachambuzi namna ya kuchambua mpira bila kutumia ushabiki wao wa timu.
 
hawakuwa na ITC zao kuruhusiwa kucheza mpira kwenye timu zao mpya.
huo ni uzembe wao fountain gate na tabora utd kukosa fedha za kuwalipia wachezaji wao vibali, sasa hapo tff kosa lao ni nini? sasa hapo simba kosa lake ni nini? Ulitaka tff au simba wawakopeshe hela au?
 
Kosa la TFF ni kuzipangia timu mbili zenye shida ya wachezaj wao dhidi ya timu Moja TU.
 
Makocha na wachezaji wa Simba na Azam huwa wanafukuzwa na Yanga.
 
Naam ndugu shabiki oya oya unasemaje yanja afirika imeshuka kiwango au wachambuzi wanatumia hisia.
 
Sawa mchambuzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…