Anayesema Yanga imeshuka anatumia moyo badala ya ubongo kufikiri

Anayesema Yanga imeshuka anatumia moyo badala ya ubongo kufikiri

Kupata sare kwa MC Alger unaona ni kazi ndogo wewe!! Unatumia moyo kuchambua mdogo wangu. Bugeti ya mc Alger huwezi kuifananisha na ya Yanga na hata kikosi cha mc Alger huwezi kukifananisha na akina Kibwana shomari wetu. Yanga walikosea kwenye zile mechi 2 za awali kwa sababu wanazozijua.
Hakuna cha kukosea kwa sababu wanazozijua , walipigwa Kutokana na kuzidiwa uwezo na mbinu. Uto ni timu ya kawaida haijawahi kuwa na kiwango hicho mnachoiimba .
 
Jkt 0 - 0 yanga, anayekataa kuwa yanga haijashuka kiwango anafikiria kwa kutumia moyo
Hakuna timu isiyofungwa kwenye ligi yake. Kutoka sare au kufungwa mechi chache sio timu imeshuka.
 
Back
Top Bottom