Mashamba Makubwa Nalima
JF-Expert Member
- Mar 19, 2024
- 4,978
- 2,411
Let me reserve my comment
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Let me reserve my comment
Kwa hiyo wewe ndio ulitumia moyo badala ya kufikiri au bado unaendelea kuhamisha magoli ambapo huwa unamtaja hadi Andambwile kukosekana. Uto ni uto.Tuwaombee Mzize, Boka, Aucho na Job wapone haraka majeraha yao. Hawa pamoja na Bacca na Yao ndio UTI wa mgongo wa beki ya Yanga. Hata hivyo nadhani Yanga wamekosea pia kuachana na Gamondi.
Kikosi cha Yanga hakuna mbadala wa halid Aucho, Job, na Boka. Hawakuwepo aisei. Andabwile na Fred Gift wangekuwepo huenda wangesaidia jambo baada ya kuwakosa hawa.Kwa hiyo wewe ndio ulitumia moyo badala ya kufikiri au bado unaendelea kuhamisha magoli ambapo huwa unamtaja hadi Andambwile kukosekana. Uto ni uto.
Kale kawimbo ka Yanga imeshuka kiwango kameanza kufifia huko kwa wachambuzi uchwara.Sema tu Yanga kwa sasa tumeanza kukumbwa na wimbi la majeruhi! Alianza Yao Kwasi, na leo Boka na Kibabage nao wameshindwa kumaliza mchezo.
Hii hali haitakiwi kuendelea. Maana inaweza kuathiri timu siku za usoni.
Nilikwambia unatumia moyo badala ya ubongo kuchambua mpira. Yanga 3-1 TP Mazembe. Moyo una tabia mbaya sana, siku zote hautaki kusikia na kukubali mabaya na yasiyomfirahisha mtu, Hivyo moyo uko tayari kudanganywa na kudanganya ili kukwepa mabaya (avoidance and escaping behavior) ili kupata false hope and joy.Kwa hiyo wewe ndio ulitumia moyo badala ya kufikiri au bado unaendelea kuhamisha magoli ambapo huwa unamtaja hadi Andambwile kukosekana. Uto ni uto.
Noma sana!!Wachambuzi wetu baadhi yao ni hovyo kabisa. Wanatumia microphones za taasisi ya habari ya mtu kwa manufaa yao,
Kupata sare kwa MC Alger unaona ni kazi ndogo wewe!! Unatumia moyo kuchambua mdogo wangu. Bugeti ya mc Alger huwezi kuifananisha na ya Yanga na hata kikosi cha mc Alger huwezi kukifananisha na akina Kibwana shomari wetu. Yanga walikosea kwenye zile mechi 2 za awali kwa sababu wanazozijua.Yanga 0 - 0 Mc Alger's, wanaotumia moyo kukataa kuwa yanga haijashuka wamegusa wakaachia wakarudi nbc
Jkt 0 - 0 yanga, anayekataa kuwa yanga haijashuka kiwango anafikiria kwa kutumia moyoSimba 1-1 Fountain. Anaesema Yanga mbovu anatumia moyo kufikiria.