Hakuna timu bora inayofungwa fungwa. Ukiona unafungwa fungwa ujue una mapungufu na kuwa na hayo mapungufu ndio kushuka ubora, hiyo ni simple logic. Hoja zako ni za mtoto wa darasa la pili eti Al Hilal hawaamini , Yaani Al hilal ameona mlivyofungwa na Tabora halafu asiamini kuwafunga , halafu wapi walipokuambia hawaamini?Ni mtu mjinga tu anaeweza kuamini kuwa Man City kupoteza mechi 5 mfululizo imeshuka kiwango. Yanga ilifungwa goli 2 na Al-hilal lakini hata Al-hilal wenyewe hawaamini kama walichomokaje pale bila kufungwa. Simba wameifunga Bravos lakini hata Simba wenyewe wanashangaa walishindaje mechi ile. Kila mtu anaona Kamara ndiye aliwashindia mechi ile na sio vinginevyo. Hata Bravos wanajilaumu wenyewe kushindwa mechi na sio ubora wa Simba. Yanga ni bora hata kesho na keshokutwa
Hivi wewe unafikiri vizuri kweli?Kwani camara ni mchezaji wa timu gani? Hujui kuwa ubora wa timu ni pamoja na kuwa na kipa bora?