Anayesema Yanga imeshuka anatumia moyo badala ya ubongo kufikiri

Hakuna timu bora inayofungwa fungwa. Ukiona unafungwa fungwa ujue una mapungufu na kuwa na hayo mapungufu ndio kushuka ubora, hiyo ni simple logic. Hoja zako ni za mtoto wa darasa la pili eti Al Hilal hawaamini , Yaani Al hilal ameona mlivyofungwa na Tabora halafu asiamini kuwafunga , halafu wapi walipokuambia hawaamini?

Hivi wewe unafikiri vizuri kweli?Kwani camara ni mchezaji wa timu gani? Hujui kuwa ubora wa timu ni pamoja na kuwa na kipa bora?
 
Hayo unayasema wewe lakini ukimuuliza Ibenge hawezi kusema utumbo huo unaousema wewe. Tabora waliifunga Yanga wakati Yanga ikiwa haina wachezaji wake muhimu sana. Kwenye mechi ile ni kama vile Simba ingecheza na Tabora ikiwa inawakosa Chemalone, Kapombe, Hamza na Zimbwe kwa wakati mmoja kule nyuma. Wakati Azam wanaifunga Yanga goli moja Yanga walikuwa pungufu, na wakati Al-Hilal anaifunga Yanga kuna wachezaji muhimu saaana kama Aucho, Boka, Mzize hawakuwepo. Ubora na umuhimu wa Aucho na Boka pale Yanga haupatikani kwenye mbao ndefu. Wachambuzi uchwara hawati kuchambua kwanini Yanga ilifungwa kwenye mechi tatu mfululizo kwenye ligi ambayo kila timu ilisajili kwa kuogopa kufungwa na Yanga goli 5 msimu huu tena.
 
Nipo na natamba nayo,Kawaidaa Tutacheza Fainali CAF CL tulia hapohapoo chief
Labda mtachezea chooni..kwa timu ipi, hii hii wachexaji wanachapana makonde kambini kisa mademu, au wanaenda club kila uchwao na kuvuta mashisha na kugombania maraya..au timu ipi hio..
Hamuendi popote timu ya hovyo kwanza mnatumia madawa ya kuongeza nguvu
 
Mnapenda kujikuza tangu lini utopolo imefikia hadhi ya kulinganiahwa na Man City.
 
Yanga imetoa wachezaji wengi mno kwenye timu za mataifa yao, na kuyawezesha mataifa yao (Tanzania, Uganda, Bukina Faso, Mali, Zambia) kufuzu kwenda Morocco. Walitumia nguvu nyingi sana kufanikisha jambo hilo. Wana fatigue ya muda tu.
 
Usipelekeshwee na umbeaa,unauhakika na ulivyosema au ndio mashabiki wa Makolo ropooropoo.Asa ukiishangaa Yanga mpira inaochezaa huo makolo mpira ganiii saaa. Nilichojifunza kupitia Yanga Adui wa mtu hupenda Sanaa mtu apitie matatizoo hata kama hamuudu yee Binafsi.
 
YANGA 0 AL HILAL 2.

YANGA 0 AZAM 1.

YANGA 1 TABORA 3.

LEO :
YANGA 0 NAMUNGO 5
 
Mashabiki wa yanga bana😂😂
 
Nasikia kuna ugomvi

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…