Kupata sare kwa MC Alger unaona ni kazi ndogo wewe!! Unatumia moyo kuchambua mdogo wangu. Bugeti ya mc Alger huwezi kuifananisha na ya Yanga na hata kikosi cha mc Alger huwezi kukifananisha na akina Kibwana shomari wetu. Yanga walikosea kwenye zile mechi 2 za awali kwa sababu wanazozijua.