maandamano
JF-Expert Member
- Nov 12, 2025
- 726
- 1,548
Mimi nakupa mitishamba unatumia ukipona unanipa gharama yangu,siyo mganga wa kubahatisha nilikuwa kijijini nimepona tatizo la vidonda vya tumbo,nimeona nije niwatibu na wenzanguNasikia harufu ya Mwamposa mwingine hapa mwenye sura ya uganga wa kienyeji.
Mkuu mbona masharti ni kwamba usitumie pilipili?Madonda ya tumbo solution ni pilipili kichaa(cayenne pepper🌶). Kuhusu mwanamke kutokubeba mimba ni suala Pana linalohitaji kujua background yake ya nyuma.
Mkuu wew fanya uchunguzi utajua kama nachokuambia ni ukweli au uongo.Mkuu mbona masharti ni kwamba usitumie pilipili?
Mi mwenyew vinanisumbua ndo maana hapa ulivyosema inatibu nashangaa cz hosptal wanakataz kula spicy food ikiwemo pilipil na limaoMkuu wew fanya uchunguzi utajua kama nachokuambia ni ukweli au uongo.
Una mda gani? Tokea uanze kusumbuliwa na peptic ulcer disease. Je umetumia dawa za Antacids,PPI mfano omeprazole,pantoprazolen.k, amoxicillin,clarithromycine na metronidazole na dawa nyingine ambazo cjazitaja kwa mda gani? Mpaka sasa.Mi mwenyew vinanisumbua ndo maana hapa ulivyosema inatibu nashangaa cz hosptal wanakataz kula spicy food ikiwemo pilipil na limao
Ikiwa kuna dawa moja ya mitishamba ambayo unahitaji kuwa nayo nyumbani kwako milele basi ni hii pilipili ya cayenne.Vidonda vinawatesa watu sema dawa za kienyeji nyingi zinahusiana na ushirikina
WEKA namba wengine inbox hawana wanajua outbox tuJamni niko Dar nina dawa ya ukweli kwa wale wanaosumbuliwa na vidonda vya tumbo,ndani ya wiki utakuwa umepata jibu
Na kwa wanawake ambao hawashiki ujauzito,mwenye uhitaji anafwate inbox
Nmetumia kwa awamu mbili mfululizo ila sijaona unafuu wake.Una mda gani? Tokea uanze kusumbuliwa na peptic ulcer disease. Je umetumia dawa za Antacids,PPI mfano omeprazole,pantoprazolen.k, amoxicillin,clarithromycine na metronidazole na dawa nyingine ambazo cjazitaja kwa mda gani? Mpaka sasa.
Kama unataka kupona tumia cayenne pepper 🌶 .Nmetumia kwa awamu mbili mfululizo ila sijaona unafuu wake.
Ngoja nijaribu mkuuKama unataka kupona tumia cayenne pepper 🌶 .