Kwa vidonda vya tumbo hii ni tiba sahihi, unachotakiwa ni kuitumia ukiwa umeshakula. Usitumie tumbo likiwa wazi, na jitahidi wakati wa tiba,tumia vyakula vya alkaline kwa wingi. Kama tango,parachichi,apple,tikiti n.k. kutengeneza zikaushe kisha saga na upate unga.
Jinsi ya kuitumia👇
Changanya na kikombe cha chai, cha maji ya moto na nusu kijiko cha chai cha pilipili ya cayenne. Koroga vizuri,Acha ipoe kidogo kisha kunywa kwa mkupuo.
Matumizi anza kidogo kidogo, na ongeza kipimo kadri tumbo linavyozoea. Hii ni kwa wagonjwa, na wasio wagonjwa wa vidonda vya tumbo. kipimo na kijiko cha chai anza na robo taratibu, kwa siku nyingi mpaka ufikishe kijiko kizima. Tumia mda mrefu kuanzia siku 25 mpaka miezi 3, pia ni vizuri utumie kila siku iwe ni sehemu ya maisha, itakusaidia kutibu kabisa vidonda vya tumbo. vinavyosababishwa na bakteria, wa H.pylori. Pamoja na kusaidia
1: kupunguza shinikizo la damu.
2: Mzunguko na afya ya moyo na mishipa.
3: Udhibiti wa uzito.
4: kuzuia allergy.
5: Husaidia kufungua kwa haraka na ufanisi kwa pua zilizoziba kwa mafua na kukufanya upumue kwa urahisi.
6: Husaidia kwenye mapigo ya moyo dhaifu.
7: kuganda kwa damu na
kutokwa na damu.
8: Uponyaji wa jeraha na shida za GI reflux.
9: Husaidia kuongeza kiwango cha metabolic ambayo husaidia kuchoma mafuta.
10: Inasaidia sana kusawazisha sukari kwenye damu.
11: Inasidia kupunguza uwezekano wa kupatwa na saratani ya utumbo.
12: Husaidia kupunguza cholesterol na kupunguza kiasi cha fibrin katika damu.
13: Husaidia kupunguza maumivu na uvimbe kwenye tezi.
14: Huwasaidia wagonjwa wa rheumatoid na arthritis kupata nafuu.
15: Huzuia fangasi na bakteria kuingia katika uwazi wa kidonda.