Anayetaka pesa za bure kutoka online credits aje PM. Walinidhalilisha na sasa nimeupata mwaronaini wao kwa 100%.

Mwamuzi wa Tanzania

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2020
Posts
15,486
Reaction score
45,256
Hawa watu kama nilivyosema kwenye nyuzi zangu za nyuma kuwa hawana vibali vya biashara au wana vibali lakini wanakiuka vibali kwa makusudi kwakuwa serikali zetu za Afrika hazifuatilii shughuli za wawekezaji na wafanyabiashara kwa ukaribu.
Haiwezekani mkopo wa wiki moja wandai baada ya siku tano na kuvuna riba ya 33% mpaka 50%.
Nitatoa mfano wa app moja ya ZIMA CASH, mkopo ulisoma siku 7, cha ajabu siku ya nne napigiwa simu ya kutakiwa kulipa mkopo, nikamwambia yule dada mbona mapema akasema kwenye terms and conditions mkopo wa kwanza utaulipa kwa siku 5 imeandikwa. Nikamuuliza mbona ni siku ya nne leo akasema tunaambiwa tukusanye siku moja kabla ya dead line.
Nikamwambia sawa nikalipia wakaniupgrade , kilichofuata wanajua wenyewe
Kwenye hii mikopo siku ya malipo kama huna cash utaambiwa ulipe riba kisha baada ya siku sita ulipe tena riba, baada ya siku 6 ulipe tena riba mpaka mwisho wa uhai wako au ulipe deni zima bila kujali umelipa riba mara 2,3 au mara 4.
Kwa mfano umepewa laki 4 utapaswa kulipa laki Tano na nusu mpaka laki 6 baada ya siku 5 au sita tu.
Hivi ndani ya siku 6 utakuwa umefanya biashara gani mpaka upate faida ya zaidi ya 50% ?
Hawa ni wezi, majambazi na wahujumu uchumi.
Wako tayari wakuaibishe kila kona kwasababu ya sh. Elfu 30 tu.
Kwakuwa serikali imeshindwa kuwafukuza au kuwadhibiti sasa tuwapige pesa.
Njoo pm nikuelekeze utanipa pesa kidogo tu. Ningeweza kuwaelekeza bure lakini Mtanzania ukimpa huduma bure anakuona boya.
 
Hakuna jipya hapo.

Kama laini yako ina muda mrefu kidogo na inafanya miamala, futa namba zote (iwapo umezisevu online) au weka laini kwenye simu ambayo haina namba wala majina na pia usiwe una namba ulizopiga kwenye call log.

Baada ya hapo, sajili laini 2.....au basi! Nendeni PM Kwa mtoa mada.
 
Kabla sijasoma ulicho kiandika ......Kuna mtu anataka kupigwa hapa
 
Hakuna jipya hapo.

Kama laini yako ina muda mrefu kidogo na inafanya miamala, futa namba zote (iwapo umezisevu online) au weka laini kwenye simu ambayo haina namba wala majina na pia usiwe una namba ulizopiga kwenye call log.

Baada ya hapo, sajili laini 2.....au basi! Nendeni PM Kwa mtoa mada.
Na wamiliki wa hiyo mikopo wanasoma hii thread.........
 
Back
Top Bottom