Anayetamani Makonda kuwa Rais hana akili timamu

Quinine

Platinum Member
Joined
Jul 26, 2010
Posts
25,848
Reaction score
63,306
Hajui mipaka yake ya kazi, hujiona yeye ni kiongozi wa wizara zote.
Hajui chain of command.

Akipewa cheo hujiona yeye ni kila kitu, he's everything.

Low IQ, 'wanaopigia kelele rushwa hawajaingia jikoni'.
One man show.

Ana Charismatic ya kuaminiwa but empty head.
Layman, hana profession yeyote.

Uongozi wake ni wa vitisho na visasi.

Anaongoza kwa kuangalia aliye juu na sio jamii.

Uongozi wake ni wa kujipendekeza zaidi.
 
Ma konda ni kilaza! Na ni snitch Fulani ivii! Ni mtu hatari sana,wameshindwa kumtambua tu.
 
Hajui mipaka yake ya kazi, hujiona yeye ni kiongozi wa wizara zote.
Hajui chain of command.
Akipewa cheo hujiona yeye ni kila kitu, he's everything.
Low IQ, 'wanaopigia kelele rushwa hawajaingia jikoni'.
One man show.
Ana Charismatic ya kuaminiwa but empty head.
Layman, hana profession yeyote.
Uongozi wake ni wa vitisho na visasi.
Anaongoza kwa kuangalia aliye juu na sio jamii.
Uongozi wake ni wa kujipendekeza zaidi.
Ndege wafananao
 
Ndege wafananao huruka pamoja.

Hao ni uzao wa failures - IQ ni hafifu Elimu hakuna exposure hakuna ni wapowapo tu.
 
Bashite huyu huyu awe President? Acheni masikhara.....

Iwe mbinguni/akhera ama duniani haiwezi kutokea
Kuna watu wanachezea kamari maisha ya watu

IMG-20260428-WA0020.jpg
 
Hajui mipaka yake ya kazi, hujiona yeye ni kiongozi wa wizara zote.
Hajui chain of command.

Akipewa cheo hujiona yeye ni kila kitu, he's everything.

Low IQ, 'wanaopigia kelele rushwa hawajaingia jikoni'.
One man show.

Ana Charismatic ya kuaminiwa but empty head.
Layman, hana profession yeyote.

Uongozi wake ni wa vitisho na visasi.

Anaongoza kwa kuangalia aliye juu na sio jamii.

Uongozi wake ni wa kujipendekeza zaidi.
Akiwa RAISI siku iyo iyo NTABEBA VYANGU NA KUHAMA HII NCHII HATUWEZI ONGOZWA NA KILA MTU.

Tukiwa hai nikumbushwe hii comment yanguu.
 
Hajui mipaka yake ya kazi, hujiona yeye ni kiongozi wa wizara zote.
Hajui chain of command.

Akipewa cheo hujiona yeye ni kila kitu, he's everything.

Low IQ, 'wanaopigia kelele rushwa hawajaingia jikoni'.
One man show.

Ana Charismatic ya kuaminiwa but empty head.
Layman, hana profession yeyote.

Uongozi wake ni wa vitisho na visasi.

Anaongoza kwa kuangalia aliye juu na sio jamii.

Uongozi wake ni wa kujipendekeza zaidi.
Wajinga wachache wanamuona kama kiongozi
 
Kwanza hata kua waziri aliyempa uwaziri ni mtu wa kumpimwa akili bora hata Mara mia mwana FA angekua waziri sio huyu mpumbavu elimu yake ya hapa na pale
 
Makonda nilikua namkubali sana tu sababu hii nchi ili iendelee lazima tuwe na rais mbabe mwenye kukemea mambo ya hovyo!
Kumbe ninayemkubali ndio hovyo yenyewe! Kauli yake imeninyong'onyeza!
Ulikua unapenda Yale maigizo yake
 
Hajui mipaka yake ya kazi, hujiona yeye ni kiongozi wa wizara zote.
Hajui chain of command.

Akipewa cheo hujiona yeye ni kila kitu, he's everything.

Low IQ, 'wanaopigia kelele rushwa hawajaingia jikoni'.
One man show.

Ana Charismatic ya kuaminiwa but empty head.
Layman, hana profession yeyote.

Uongozi wake ni wa vitisho na visasi.

Anaongoza kwa kuangalia aliye juu na sio jamii.

Uongozi wake ni wa kujipendekeza zaidi.
Aha ha haha 😄 😆 😅 🤣 😂 kweli kabisa Makonda ni zero brain
 
Makonda nilikua namkubali sana tu sababu hii nchi ili iendelee lazima tuwe na rais mbabe mwenye kukemea mambo ya hovyo!
Kumbe ninayemkubali ndio hovyo yenyewe! Kauli yake imeninyong'onyeza!
Ulikua unapenda Yale maigizo n
 
Back
Top Bottom