Anayetamani Makonda kuwa Rais hana akili timamu

Anayetamani Makonda kuwa Rais hana akili timamu

Gazeti la Mwananchi lisha wahi kuripoti kuwa "Watanzania 7m" Wana matatizo ya afya ya akili.
 
Makonda ni fisadi, mpenda sifa na mbaya zaidi kichwani hamna kitu.

Tutakuwa ni matutusa wa kiwango cha SGR ikiwa tutaendekeza na kuruhusu kutawaliwa na empte headed creatures like samuya, makonda, nape etc viumbe wenye elimu ya hapa na pale.
 
Hivi wahusika huwa wanajitazama kupitia kioo hiki cha JF?
 
Ngoja awanyoshe kidogo...


Cc: Mahondaw
Nani ananyoshwa labda? Huyu vyeo vyake vilipaswa kuishia ukuu wa mkoa na huko chini kwenye vitisho uwaziri unahitaji akili zaidi.Jamaa hajui anachoongoza kwenye wizara kwake headlines ndio kitu muhimu sema aliyemteua anajua kwa nini alimpa asiye na uwezo nafasi kubwa
 
Hajui mipaka yake ya kazi, hujiona yeye ni kiongozi wa wizara zote.
Hajui chain of command.

Akipewa cheo hujiona yeye ni kila kitu, he's everything.

Low IQ, 'wanaopigia kelele rushwa hawajaingia jikoni'.
One man show.

Ana Charismatic ya kuaminiwa but empty head.
Layman, hana profession yeyote.

Uongozi wake ni wa vitisho na visasi.

Anaongoza kwa kuangalia aliye juu na sio jamii.

Uongozi wake ni wa kujipendekeza zaidi.
CCM wanaangalia yoyote atakayebebwa na upepo linapokuja suala la kuchagua mgombea. Chama kina standard lakini hakifuati hizo standard za mtu kuwa Mgombea urais kupitia ccm, ndio maana nchi hii maRais wote toka tumepata uhuru wametoka ccm lakini kila Rais ameongoza kwa vurugu zake bila mwendelezo wa mwenzie au sera za nchi. Wametofautiana sana ktk uongozi wao kiitikadi, kifikra, kiutawala, kielimu na kiakili. Mdo maana nchi haina muunganiko kimaendeleo, leo inapanda kesho inashuka kesho kutwa inavurugika kabisa! unaweza dhani wanatoka vyama au nchi tofauti. Kutokujua wanamtaka mtu wa namna gani kumewafanya wanaochuja viongozi na wapiga kura kuwa wanafiki, wanapoteana sana lipokuja suala la kumpitisha mtu kuwa Rais na mgombea mwenza. Kutokana na unafiki na kuweka maslahi binafsi mbele mtu yoyote ccm bila kujali standard anaweza kuwa Rais.
 
Makonda nilikua namkubali sana tu sababu hii nchi ili iendelee lazima tuwe na rais mbabe mwenye kukemea mambo ya hovyo!
Kumbe ninayemkubali ndio hovyo yenyewe! Kauli yake imeninyong'onyeza!
Duuh pole umeamua kuufuta ujinga!
 
Hata huo ukuu wa mkoa ni kwa sababu ccm ni genge la wahuni...
Wajinga wa levels za Bashite hawatakiwi kushika nafasi zozote kwenye nchi au taasisi za waliostaarabika!
Nani ananyoshwa labda? Huyu vyeo vyake vilipaswa kuishia ukuu wa mkoa na huko chini kwenye vitisho uwaziri unahitaji akili zaidi.Jamaa hajui anachoongoza kwenye wizara kwake headlines ndio kitu muhimu sema aliyemteua anajua kwa nini alimpa asiye na uwezo nafasi kubwa
 
HIrqBn7WMAA-gwI.jpeg
 
Tatizo la huyu jamaa ni kufosi ubunifu usio na tija.....
I bet huyu ataondolewa kwenye hii wizara....huyu angepelekwa kwenye wizara ya vijana.....akatrend huko .....maana anapenda sana ku-trend
 
Tatizo la huyu jamaa ni kufosi ubunifu usio na tija.....
I bet huyu ataondolewa kwenye hii wizara....huyu angepelekwa kwenye wizara ya vijana.....akatrend huko .....maana anapenda sana ku-trend
Badala ya kujenga academy za vijana wajifunze mpira yeye analeta waliostaafu mpira sijui vijana wawashangae.
 
Back
Top Bottom