njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
noo ni huyu jamaa hizo habari za kina zahera ni za makanjanjaSio Papa Mwnyi Zahera!
mnahangaika kweli mazeee,tumeni matokeo ya mapinduzi cup huko CAS muingizwe top 20 ya teams bora africaNyau mmefata yote kuogopa 5 mtazipunguza hadi 3
tunahangaika sisi ama nyie kupunguza kichapomnahangaika kweli mazeee,tumeni matokeo ya mapinduzi cup huko CAS muingizwe top 20 ya teams bora africa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mnahangaika kweli mazeee,tumeni matokeo ya mapinduzi cup huko CAS muingizwe top 20 ya teams bora africa
Uto kama uto 🤣🤣🤣tunahangaika sisi ama nyie kupunguza kichapo
Tupe profile yake kamili ukisema no 5 tu wengine tunajua unamanisha 5tenaPata za moto moto kutoka kwa Njaa kalihatari, nilikugusia in advance kusajiliwa kwa Junior Lokosa na kocha Da Rosa
Sasa napenda kukutaarifu kwamba anayetambulishwa ni jamaa refu namba tano la team ya taifa ya Zimbabwe la klabu ya Highlanders iliyotolewa huko Cameroon kwenye CHAN linaitwa Peter Muduhwa.
Karibu sana Msimbazi.
sentahafuTupe profile yake kamili ukisema no 5 tu wengine tunajua unamanisha 5tena
Umetaja nchi anayotoka, je klabu anayotoka ni ipi na umri wake ni miaka mingapi ? Au bado ajazaliwasentahafu
mkuu umekuwaje jamaa yangu?subiri saa saba au kama unajua kutumia google jaribu ku m searchUmetaja nchi anayotoka, je klabu anayotoka ni ipi na umri wake ni miaka mingapi ? Au bado ajazaliwa
Ila mechi dhidi ya utopolo tutatumia paka ili kipigo kiongezeke kutoka kile cha 4G cha msimu uliopita kiwe 6G.Kwa usajili huu, kuna kila dalili mechi za makundi zitakapo anza, hatutayategemea tena yale MAPAKA yetu meusi uwanjani, au kuwasingizia wapinzani wetu kuwa na corona, ili kutuletea ushindi.
Hongereni sana viongozi wetu kwa kuliona hilo!!!
mkuu umekuwaje jamaa yangu?subiri saa saba au kama unajua kutumia google jaribu ku m sear
kazaliwa 2011 mkuu ana miaka 10 kachezea chelsea,man utd na liverpoolAya sawa naona unaleta thread nusu nusu nadhani itakuwa jina lako limekubamba
Nimecheka sana umenijibu kwa hasira zote utadhani tumekosanakazaliwa 2011 mkuu ana miaka 10 kachezea chelsea,man utd na liverpool
umeuliza swali nimekujibu ndugu yanguNimecheka sana umenijibu kwa hasira zote utadhani tumekosana