Anayetambulishwa saa saba leo ni Peter Muduhwa wa Zimbabwe

njaakalihatari

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2019
Posts
4,081
Reaction score
8,671
Pata za moto moto kutoka kwa Njaa kalihatari, nilikugusia in advance kusajiliwa kwa Junior Lokosa na kocha Da Rosa

Sasa napenda kukutaarifu kwamba anayetambulishwa ni jamaa refu namba tano la team ya taifa ya Zimbabwe la klabu ya Highlanders iliyotolewa huko Cameroon kwenye CHAN linaitwa Peter Muduhwa.

Karibu sana Msimbazi.

Peter-Muduhwa.jpg
 
simba nguvu moja..mapambano yanaendelea
Wakati simba tukianza kupanda ndege kimataifa, Yanga watapanda tembele.
 
Pata za moto moto kutoka kwa Njaa kalihatari, nilikugusia in advance kusajiliwa kwa Junior Lokosa na kocha Da Rosa

Sasa napenda kukutaarifu kwamba anayetambulishwa ni jamaa refu namba tano la team ya taifa ya Zimbabwe la klabu ya Highlanders iliyotolewa huko Cameroon kwenye CHAN linaitwa Peter Muduhwa.

Karibu sana Msimbazi.

Tupe profile yake kamili ukisema no 5 tu wengine tunajua unamanisha 5tena
 
Kwa usajili huu, kuna kila dalili mechi za makundi zitakapo anza, hatutayategemea tena yale MAPAKA yetu meusi uwanjani, au kuwasingizia wapinzani wetu kuwa na corona, ili kutuletea ushindi.

Hongereni sana viongozi wetu kwa kuliona hilo!!!
 
Ila mechi dhidi ya utopolo tutatumia paka ili kipigo kiongezeke kutoka kile cha 4G cha msimu uliopita kiwe 6G.
 
Back
Top Bottom