Samiaagain2025
JF-Expert Member
- Dec 2, 2020
- 3,626
- 3,869
No time to worry.Wana JF
Tunawashukru wapekenyuzi kwa umakini wao kupata taarifa na picha za Police wa Kike anayejinasibu kumshughulikia Tundu Lissu atakapokuwa amewasili nchini. Habari hizi zinaongeza wasiwasi kwa aliyetumwa kulinda raia na mali zake kujiingiza kwenye siasa wakati Mkuu wake wa kazi akiwaasa kuachana na siasa za visasi bali kujibu hoja zenye mashiko za upinzani.
Awali ya yote zilipatikana message za kundi sogezi akijinadi kumshughulikia Mwenyekiti msaidizi wa CDM
View attachment 2483105
Mnangojeaga mpaka mtu afe ndo muanze kujifanya mnashughurikaHili swali nauliza kwa wajuzi wa sheria,hiyo kauli ya "akirudi tunaye" inaweza kutumika kumtia muongeaji hatiani? "akirudi tunaye" tunaye wapi? tunae nyumbani? tunae kwenye majukumu? tunaye kwenye siasa? tunaye kwenye kujenga nchi? tunaye kivipi? Isije kuwa Chadema wanatafuta mitaji midogo kwa ajili ya siasa zao changa.
Si kutumwa. Anajituma mwenyewe ili wakuu wa nchi yao wamuone.This is a very important observation! Erythrocyte take note of this. Msidharau haya mambo. Huyu kuna mtu amemtuma kuwa na ujasiri wa kusema hayo aliyoyaandika.
Kwani wewe ndugu yangu umetafsiri nini, "Akirudi tunaye". Maana naona mjadala tu. #Feisal Salumu akirudi Yanga tunae. Atafunga magoli. Atacheza vizuri...!Shida juu ya nini hapo?🙏🙏🙏Wana JF
Tunawashukru wapekenyuzi kwa umakini wao kupata taarifa na picha za Police wa Kike anayejinasibu kumshughulikia Tundu Lissu atakapokuwa amewasili nchini.
Habari hizi zinaongeza wasiwasi kwa aliyetumwa kulinda raia na mali zake kujiingiza kwenye siasa wakati Mkuu wake wa kazi akiwaasa kuachana na siasa za visasi bali kujibu hoja zenye mashiko za upinzani.
Awali ya yote zilipatikana message za kundi sogezi akijinadi kumshughulikia Mwenyekiti msaidizi wa CDM
View attachment 2483105
Lisu auawe kwa lipi?Hamna kitu? Chuki ni mbaya.... kwani watu wa JPM huoni wamekua wakali sana Toka msiba wake na ipo wazi CCM Kuna mpasuko kitu ambacho mama kinampa presha. No wonder akaona Bora maridhiano Ili awazibe mdomo wapinzani kwa muda Ili apambane na wapinzani wa ndani kwanza. Ila akiuawa Lissu Ina maana probability ya Chadema kuuangana na watu wa JPM Ni kubwa sana kitu ambacho kitakua mwisho wa Samia kisiasa.
[emoji23][emoji23][emoji23]Mimi nawasubiri kwenye mikutano nione kitatokea nini?Huyo dada ni askari mdogo asiyestahili hizi harakati mnazofanya. Comment ya askari mdogo huko WhatsApp inageuka ajenda kweli tena wanaume wazima na tegemeo kwa chama? Angesema RPC?
Utafikiri majobless the way tunadaka mambo na kukimbizana nayo.
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Huna HOJA wewe!!This is a very important observation! Erythrocyte take note of this. Msidharau haya mambo. Huyu kuna mtu amemtuma kuwa na ujasiri wa kusema hayo aliyoyaandika.
Tunaye' yaweza kuwa tutakuwa naye kumlinda' ama TUunaye kwa sababu ya.. atakamatwa ana kesi ya kujibu" Tunaye, inawakilisha sauti yaa na tarifa kutokea somewhere ama maelekezo kutoka sehemu na kupewa ifanyiwe kazi na jopo laa'Hili swali nauliza kwa wajuzi wa sheria,hiyo kauli ya "akirudi tunaye" inaweza kutumika kumtia muongeaji hatiani? "akirudi tunaye" tunaye wapi? tunae nyumbani? tunae kwenye majukumu? tunaye kwenye siasa? tunaye kwenye kujenga nchi? tunaye kivipi? Isije kuwa Chadema wanatafuta mitaji midogo kwa ajili ya siasa zao changa.
Duuh Vyombo vya Dola msipuuzie ujumbe huu. Huyo mtu kama kweli ni halisi ashughulikiwemWana JF
Tunawashukru wapekenyuzi kwa umakini wao kupata taarifa na picha za Police wa Kike anayejinasibu kumshughulikia Tundu Lissu atakapokuwa amewasili nchini.
Habari hizi zinaongeza wasiwasi kwa aliyetumwa kulinda raia na mali zake kujiingiza kwenye siasa wakati Mkuu wake wa kazi akiwaasa kuachana na siasa za visasi bali kujibu hoja zenye mashiko za upinzani.
Awali ya yote zilipatikana message za kundi sogezi akijinadi kumshughulikia Mwenyekiti msaidizi wa CDM
View attachment 2483105
Kwahiyo ulitarajia ACT ichukue jimbo moja tu kati ya majimbo zaidi ya 20 ya uchaguzi yaliyoporwa?CCM si watu wa kuaminika , Juzi Zanzibar wameiba uchaguzi baada ya Mwinyi kujidai kuweka tume ya maelewano, kumbe ni danganya toto , hata wiki haijafika kamrudisha mkuu wa Tume ya uchaguzi yuleyule aliyesababisha mauwaji.
Uchaguzi wa jimbo la Amani umekuja wamefanya yaleyale wanayofanya siku zote .
USIMWAMINI SHETANI
Kumbe uko hivyo, my list goes on, the next block!Huyo dada ni askari mdogo asiyestahili hizi harakati mnazofanya. Comment ya askari mdogo huko WhatsApp inageuka ajenda kweli tena wanaume wazima na tegemeo kwa chama? Angesema RPC?
Utafikiri majobless the way tunadaka mambo na kukimbizana nayo.
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Huyo Joyce Wowowo ni wa kumpuuza tu.
inamana wanaye yeye na kikundi chake maalumTunaye' yaweza kuwa tutakuwa naye kumlinda' ama TUunaye kwa sababu ya.. atakamatwa ana kesi ya kujibu" Tunaye, inawakilisha sauti yaa na tarifa kutokea somewhere ama maelekezo kutoka sehemu na kupewa ifanyiwe kazi na jopo laa'
Lakini akisema ninaye,,, hapo twaweza kuwa na maswali mengi"