Anayetishia Ujio wa Lissu Tanzania ajulikana. Ni Afisa wa Polisi wa Kike Julius Nyerere International Airport (JNIA)

Anayetishia Ujio wa Lissu Tanzania ajulikana. Ni Afisa wa Polisi wa Kike Julius Nyerere International Airport (JNIA)

Wana JF

Tunawashukru wapekenyuzi kwa umakini wao kupata taarifa na picha za Police wa Kike anayejinasibu kumshughulikia Tundu Lissu atakapokuwa amewasili nchini. Habari hizi zinaongeza wasiwasi kwa aliyetumwa kulinda raia na mali zake kujiingiza kwenye siasa wakati Mkuu wake wa kazi akiwaasa kuachana na siasa za visasi bali kujibu hoja zenye mashiko za upinzani.

Awali ya yote zilipatikana message za kundi sogezi akijinadi kumshughulikia Mwenyekiti msaidizi wa CDM
View attachment 2483105
No time to worry.
Mungu wetu atamshughulikia huyo Askari.
 
Hili swali nauliza kwa wajuzi wa sheria,hiyo kauli ya "akirudi tunaye" inaweza kutumika kumtia muongeaji hatiani? "akirudi tunaye" tunaye wapi? tunae nyumbani? tunae kwenye majukumu? tunaye kwenye siasa? tunaye kwenye kujenga nchi? tunaye kivipi? Isije kuwa Chadema wanatafuta mitaji midogo kwa ajili ya siasa zao changa.
Mnangojeaga mpaka mtu afe ndo muanze kujifanya mnashughurika
 
Huyo dada inawezekana ameongea hayo kishabiki tu, yuko upande wa wale wanaomlipa mshahara, hilo suala la yeye kusema akirudi tunaye, kwangu naona ni mihemko yake tu..

Unless otherwise, kama ikigeuka kuwa kweli hapo ndipo nitaamini alitumwa, naandika hivi kwasababu..

Nimeona Chadema wanalalamika kule twitter kuna watu wameandaliwa kuwafanyia vurugu kwenye mikutano yao itakapoanza, wanadai watu hao watavalishwa sare za chama chao, nasubiri kuona kama na hili litatokea niunganishe dots..
 
Wana JF

Tunawashukru wapekenyuzi kwa umakini wao kupata taarifa na picha za Police wa Kike anayejinasibu kumshughulikia Tundu Lissu atakapokuwa amewasili nchini.

Habari hizi zinaongeza wasiwasi kwa aliyetumwa kulinda raia na mali zake kujiingiza kwenye siasa wakati Mkuu wake wa kazi akiwaasa kuachana na siasa za visasi bali kujibu hoja zenye mashiko za upinzani.

Awali ya yote zilipatikana message za kundi sogezi akijinadi kumshughulikia Mwenyekiti msaidizi wa CDM
View attachment 2483105
Kwani wewe ndugu yangu umetafsiri nini, "Akirudi tunaye". Maana naona mjadala tu. #Feisal Salumu akirudi Yanga tunae. Atafunga magoli. Atacheza vizuri...!Shida juu ya nini hapo?🙏🙏🙏
 
Hamna kitu? Chuki ni mbaya.... kwani watu wa JPM huoni wamekua wakali sana Toka msiba wake na ipo wazi CCM Kuna mpasuko kitu ambacho mama kinampa presha. No wonder akaona Bora maridhiano Ili awazibe mdomo wapinzani kwa muda Ili apambane na wapinzani wa ndani kwanza. Ila akiuawa Lissu Ina maana probability ya Chadema kuuangana na watu wa JPM Ni kubwa sana kitu ambacho kitakua mwisho wa Samia kisiasa.
Lisu auawe kwa lipi?

Nitajie watu 3 wa Magufuli ambao ni wakali sana toka msiba wake utokee ambao ni tishio kwa Samia.

Alafu rais ni mtu mwenye nguvu sana hapa nchini, kufikiri anawaogopa wafuasi wa Magufuli ni kujilisha upepo!
 
Huyo dada ni askari mdogo asiyestahili hizi harakati mnazofanya. Comment ya askari mdogo huko WhatsApp inageuka ajenda kweli tena wanaume wazima na tegemeo kwa chama? Angesema RPC?

Utafikiri majobless the way tunadaka mambo na kukimbizana nayo.

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23]Mimi nawasubiri kwenye mikutano nione kitatokea nini?

Hawa chadema ni bure kabisa. Walivyokuwa wanabweka juu ya mikutano nikitegemea muda huu kila kona kumechachamaa kwa ajili ya hiyo mikutano yao
 
This is a very important observation! Erythrocyte take note of this. Msidharau haya mambo. Huyu kuna mtu amemtuma kuwa na ujasiri wa kusema hayo aliyoyaandika.
Huna HOJA wewe!!

Kama unahofia maisha Yako usilale USINGIZI usiku,

Kulala usiku na ukaamka salama ni Muujiza mkubwa Mungu hufanya Kila siku Kwa WANADAMU.

Narudia kusema, Hakuna mwovu awezaye rudia mpango Ule Ule ulofail mara ya pili,

Wewe ni mmoja wa wasiojulikana, unahofia kuwekwa behind bars.
 
Hili swali nauliza kwa wajuzi wa sheria,hiyo kauli ya "akirudi tunaye" inaweza kutumika kumtia muongeaji hatiani? "akirudi tunaye" tunaye wapi? tunae nyumbani? tunae kwenye majukumu? tunaye kwenye siasa? tunaye kwenye kujenga nchi? tunaye kivipi? Isije kuwa Chadema wanatafuta mitaji midogo kwa ajili ya siasa zao changa.
Tunaye' yaweza kuwa tutakuwa naye kumlinda' ama TUunaye kwa sababu ya.. atakamatwa ana kesi ya kujibu" Tunaye, inawakilisha sauti yaa na tarifa kutokea somewhere ama maelekezo kutoka sehemu na kupewa ifanyiwe kazi na jopo laa'

Lakini akisema ninaye,,, hapo twaweza kuwa na maswali mengi"
 
Wana JF

Tunawashukru wapekenyuzi kwa umakini wao kupata taarifa na picha za Police wa Kike anayejinasibu kumshughulikia Tundu Lissu atakapokuwa amewasili nchini.

Habari hizi zinaongeza wasiwasi kwa aliyetumwa kulinda raia na mali zake kujiingiza kwenye siasa wakati Mkuu wake wa kazi akiwaasa kuachana na siasa za visasi bali kujibu hoja zenye mashiko za upinzani.

Awali ya yote zilipatikana message za kundi sogezi akijinadi kumshughulikia Mwenyekiti msaidizi wa CDM
View attachment 2483105
Duuh Vyombo vya Dola msipuuzie ujumbe huu. Huyo mtu kama kweli ni halisi ashughulikiwem

Huyo mtu kama kweli ni Polisi basi ni mtu hatari sana.

Ni mtu hatari kwa sababu anataka kuichonganisha Ikulu ya Rais Samia na watanzania.

Kwamba TL au mtanzania mwingine akidhulika lawama ziende kwa Rais na Serikali nzima.

Sidhani kama hili ni jambo la kuchukulia poa
 
Hahahahaha acheni utoto, ofisa wa Polisi wa Kike Airport amtishe TL aka Lissu labda kama wana issur binafsi.
 
CCM si watu wa kuaminika , Juzi Zanzibar wameiba uchaguzi baada ya Mwinyi kujidai kuweka tume ya maelewano, kumbe ni danganya toto , hata wiki haijafika kamrudisha mkuu wa Tume ya uchaguzi yuleyule aliyesababisha mauwaji.
Uchaguzi wa jimbo la Amani umekuja wamefanya yaleyale wanayofanya siku zote .

USIMWAMINI SHETANI
Kwahiyo ulitarajia ACT ichukue jimbo moja tu kati ya majimbo zaidi ya 20 ya uchaguzi yaliyoporwa?
 
Huyo dada ni askari mdogo asiyestahili hizi harakati mnazofanya. Comment ya askari mdogo huko WhatsApp inageuka ajenda kweli tena wanaume wazima na tegemeo kwa chama? Angesema RPC?

Utafikiri majobless the way tunadaka mambo na kukimbizana nayo.

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Kumbe uko hivyo, my list goes on, the next block!
 
Tunaye' yaweza kuwa tutakuwa naye kumlinda' ama TUunaye kwa sababu ya.. atakamatwa ana kesi ya kujibu" Tunaye, inawakilisha sauti yaa na tarifa kutokea somewhere ama maelekezo kutoka sehemu na kupewa ifanyiwe kazi na jopo laa'

Lakini akisema ninaye,,, hapo twaweza kuwa na maswali mengi"
inamana wanaye yeye na kikundi chake maalum
 
Back
Top Bottom