[emoji23][emoji23][emoji23]Dogo wanaoishi kwa raha hii nchi ni tabaka dogo sana liko pale juu,Kama alivyouawa Jiwe ili kuirudisha nchi katika amani na sasa watu wanaishi kwa raha, waliolia walilia yakaisha.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Vichekesho vingine! Kwa hiyo hao uliowataja ndio watu wa Magu wanaompa presha bi mkubwa?Wakali si wanafahamika Kuna Bashiru, Polepole, na Kabudi let alone kina Mpina.
Ni kweli mwenyekiti wa CCM ana nguvu kuliko binadamu yeyote ILA presha ya upinzani plus presha ya ndani ya chama Mama Samia hatoiweza hata kama ana Dola.
2015 kikwete hakua na Dola? Ile presha mpaka kuelekea uchaguzi ikabidi wamteue JPM unadhani bila upinzani kuwa imara both ndani na nje ya CCM JPM angepitishwa?? Hofu ya kuanguka ndio ilibidi wampitishe mtu asiyekua makando Kando kuliko wengine.
Kama mama Hana hofu na yeyote asingemuita Mbowe mezani Wala asingetimua watu wa JPM serikalini
Wewe ndiye mpumbavu kabisaaaHuu ujinga Chadema mtauacha lini?
Wana roho mbaya kutuzidiKweli sura sio roho. Mtoto wa kike kuwa na roho chafu hata haipendezi.
Ila asilaumiwe sana, siasa zimejaa unafiki. Unaweza kuta watu wanapatana hadharani ila nyuma ya pazia uadui upo pale pale.
Labda ana maelekezo ya ziada.
Aliyempiga risasi Lisu hakuwa RPC wala OCD. Ni askari wa kawaida, kisanduku.Huyo dada ni askari mdogo asiyestahili hizi harakati mnazofanya. Comment ya askari mdogo huko WhatsApp inageuka ajenda kweli tena wanaume wazima na tegemeo kwa chama? Angesema RPC?
Utafikiri majobless the way tunadaka mambo na kukimbizana nayo.
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Huyo Lissu ni nani nchi hii kama sio kibwengo tu hamna Cha kumfanya huyo afande, Lissu hamtishi mtu kwa sasa katika hali ya kawaida hakuna wa kuhangaika na watu wa makundi maalumu maana wao wana heshima za kipekee kama malaika. Acheni uogaWana JF
Tunawashukru wapekenyuzi kwa umakini wao kupata taarifa na picha za Police wa Kike anayejinasibu kumshughulikia Tundu Lissu atakapokuwa amewasili nchini.
Habari hizi zinaongeza wasiwasi kwa aliyetumwa kulinda raia na mali zake kujiingiza kwenye siasa wakati Mkuu wake wa kazi akiwaasa kuachana na siasa za visasi bali kujibu hoja zenye mashiko za upinzani.
Awali ya yote zilipatikana message za kundi sogezi akijinadi kumshughulikia Mwenyekiti msaidizi wa CDM
View attachment 2483105
Tindu Lissu ana RBWana JF

Kama anatuhuma atakamatwa apelekwe mahakamaniWana JF
Tunawashukru wapekenyuzi kwa umakini wao kupata taarifa na picha za Police wa Kike anayejinasibu kumshughulikia Tundu Lissu atakapokuwa amewasili nchini.
Habari hizi zinaongeza wasiwasi kwa aliyetumwa kulinda raia na mali zake kujiingiza kwenye siasa wakati Mkuu wake wa kazi akiwaasa kuachana na siasa za visasi bali kujibu hoja zenye mashiko za upinzani.
Awali ya yote zilipatikana message za kundi sogezi akijinadi kumshughulikia Mwenyekiti msaidizi wa CDM
View attachment 2483105
Hivi Lissu hawezi kuwa na tuhuma dhidi yake polisiJeshi jili bado limejaza wajinga wengi wasiojielewa, wasio na mbele wala nyuma.
Wana JF
Tunawashukru wapekenyuzi kwa umakini wao kupata taarifa na picha za Police wa Kike anayejinasibu kumshughulikia Tundu Lissu atakapokuwa amewasili nchini.
Habari hizi zinaongeza wasiwasi kwa aliyetumwa kulinda raia na mali zake kujiingiza kwenye siasa wakati Mkuu wake wa kazi akiwaasa kuachana na siasa za visasi bali kujibu hoja zenye mashiko za upinzani.
Awali ya yote zilipatikana message za kundi sogezi akijinadi kumshughulikia Mwenyekiti msaidizi wa CDM
View attachment 2483105
wewe unataka ya nini? weka ya kwakoModerators kwa nini mumeondoa picha ya huyu kilaza anayetishia watu?
Punguza mihemko na bangi.Chadema tupo Kila pahala ajiangalie tusije tukamgawana
Habari hizi zinaongeza wasiwasi kwa aliyetumwa kulinda raia na mali zake kujiingiza kwenye siasa wakati Mkuu wake wa kazi akiwaasa kuachana na siasa za visasi bali kujibu hoja zenye mashiko za upinzani.Wana JF
Tunawashukru wapekenyuzi kwa umakini wao kupata taarifa na picha za Police wa Kike anayejinasibu kumshughulikia Tundu Lissu atakapokuwa amewasili nchini.
Habari hizi zinaongeza wasiwasi kwa aliyetumwa kulinda raia na mali zake kujiingiza kwenye siasa wakati Mkuu wake wa kazi akiwaasa kuachana na siasa za visasi bali kujibu hoja zenye mashiko za upinzani.
Awali ya yote zilipatikana message za kundi sogezi akijinadi kumshughulikia Mwenyekiti msaidizi wa CDM
View attachment 2483105
Ndani ya kundi lao kuna intelijensia yetu tuliiweka pale ndio maana habari husika ikavujaThis is a very important observation! Erythrocyte take note of this. Msidharau haya mambo. Huyu kuna mtu amemtuma kuwa na ujasiri wa kusema hayo aliyoyaandika.