IDEGENDA
JF-Expert Member
- Sep 15, 2013
- 4,505
- 5,343
[emoji23][emoji23][emoji23]Dogo wanaoishi kwa raha hii nchi ni tabaka dogo sana liko pale juu,Kama alivyouawa Jiwe ili kuirudisha nchi katika amani na sasa watu wanaishi kwa raha, waliolia walilia yakaisha.
Wewe na ukoo wako mnaishi kwa shida sana! Na wala jiwe hajawahi kusababisha muishi kwa tabu namna hiyo!
Kama unabisha kwamba mnaishi kwa tabu, kacheki hali ya bimkubwako kule kijijini alafu jitafakari!