Anayetishia Ujio wa Lissu Tanzania ajulikana. Ni Afisa wa Polisi wa Kike Julius Nyerere International Airport (JNIA)

Wala hakuna hisia nyengine bali kwa maelezo yake ni kumfanyia hujuma yoyote inayoweza kumpelekea madhara au kifo.
 
Pamoja na kwamba hakuna mtu ana shida na Lisu ila akiuawa hamna kitu kitafanyika, watu watalia watasahau basi
Yote hayo unayoandika ni kwasababu yaliyomsibu ulikuwa unafuarahia sana. Ingekuwa ni wa família yako wala usingeandika hayo.
 
Naona Chadema yote ajenda ni huyo dada! Mpaka sasa mikutano imeruhusiwa hatufahamu ajenda kuu za chama.

Hii mikutano inaweza kuishia kujaza watu bila tija kama mikakati itakuwa dhaifu.

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Ya mikutano wala isikushughulishe kwa vile hapo lumumba haliwaumi hilo mnayohaki Ya kukejeli.

Ingekuwa ni mwana chadema ameandika hivyo leo hii nyinyi mngekuwa mmeshaandika sana na jeshi lá policcm wako kazini kumtafuta aliyeandika baadae kumpa kesi ya uhujumu uchumi na ujinga mwengine.
 
ninachoamini mimi ni kuwa anatakiwa asimwamini mtu yeyote na ikiwezekana amshuku mtu yeyote muda yote aishi kama digi digi anayefikiria zaidi njinsi ya kukabiliana na wanyama wanaotaka kuondoa uhai wake. lakini katika mazingira hayo hayo inawezekana anajipa moyo maisha yaendelee huku akiendelea kuzaa na kutunza familia akiwajibika na majukumu yake ya kila siku.
anatakiwa aamini kuwa maadui zake ni wengi kuliko wingi wa nywele za kichwa chake zaburi 69:4
 
Hakika umenena. Hawa wako wengi. Wengine ni machawa ambao hawawezi kujibu hoja za wapinzani hata mama anawajua. Umchukue kama kibajaji yaani aweze kujibu hoja!
 
Mungu mbariki Tundu Lisu
 
Naona Chadema yote ajenda ni huyo dada! Mpaka sasa mikutano imeruhusiwa hatufahamu ajenda kuu za chama.

Hii mikutano inaweza kuishia kujaza watu bila tija kama mikakati itakuwa dhaifu.

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Jamaa hataki kurudi Tanzania, kwahiyo yametengenezwa mazingira ambayo yatatumika kama sababu ya jamaa kuahirisha kurudi nchini.

Propaganda za hovyo hadi leo mwaka 2023!
 
Wewe kwa kuwa bi mkubwa wako yuko kijijini unadhani kila mtu kazaliwa kijijini, capitalism ndiyo njia pekee ya kuendelea nanyi wa vijijini mtafaidika tu msiwe na hofu.
Kuhusu kuiita dogo sikulaumu lakini toka Mkapa anaanza urais mwaka wake wa kwanza nilihama TZ niko mbali ninajitemea, firstborn wangu tayari ana bachelor degree sasa kama umenizidi umri basi hongera zako.
 
Kimahakama hakuna kesi ila kimaridhiano yapo maswali yanayopaswa kujibiwa !!
 
Ama kweli chadema chama cha mtukio,

Wamepata pakupigia domo..
Hili likiisha watakaa kimya mama Samia akifanya uteuzi watapata lingine


Hawana hoja,

Hawaongei na kufanya maamuzi kubadilisha mazingira, wanasubiri mazingira yabadilike waongee.

SASA HIVI CHAMA CHOTE KIMEMRUKIA HUYU DADA MASKINI.

AFRICA SI UPINZANI WALA CCM WOTE WAJINGA
 
She is not alone,kuna watu wengine wako nae.

Anahusika pia na kilichomtokea Lissu Dodoma.

Huyu dada anajulikana anakokaa ni Tabata na wazazi wake wanajulikana,tuanze na huyu pamoja na family yake with or without laws...enough is enough!
 
Unasema kweli mkuu, tunaomba waweke hapa maongezi yote
 
She is not alone,kuna watu wengine wako nae.

Anahusika pia na kilichomtokea Lissu Dodoma.

Huyu dada anajulikana anakokaa ni Tabata na wazazi wake wanajulikana,tuanze na huyu pamoja na family yake with or without laws...enough is enough!
Na chochote kitakachomtokea huyo binti mnayemzushia huu ujinga mtakuwa wahusika hapa na mbinguni pia. Wajinga sana nyie mijitu mizima mnahangaika na kisichana kidogo. Na hii ni laaana ya chuki ya wale 19
 
Ichukulie kwa 'context' husika na mtu anayezungumziwa.

Sasa ni vipi mara moja umekimbilia kwenye sheria, kwani kuna aliyetaja mahakama hapa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…