ndammu
JF-Expert Member
- Apr 21, 2017
- 3,971
- 4,440
Mimi nikikupata nitakuua kwa kutumia silaha yoyote Kwasababu nakujua vizur.Chama kinachoamini ni kikubwa bado kimejikita kwenye upuuzi wa propaganda za kitambo!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi nikikupata nitakuua kwa kutumia silaha yoyote Kwasababu nakujua vizur.Chama kinachoamini ni kikubwa bado kimejikita kwenye upuuzi wa propaganda za kitambo!
Wala hakuna hisia nyengine bali kwa maelezo yake ni kumfanyia hujuma yoyote inayoweza kumpelekea madhara au kifo.Hili swali nauliza kwa wajuzi wa sheria,hiyo kauli ya "akirudi tunaye" inaweza kutumika kumtia muongeaji hatiani? "akirudi tunaye" tunaye wapi? tunae nyumbani? tunae kwenye majukumu? tunaye kwenye siasa? tunaye kwenye kujenga nchi? tunaye kivipi? Isije kuwa Chadema wanatafuta mitaji midogo kwa ajili ya siasa zao changa.
Yote hayo unayoandika ni kwasababu yaliyomsibu ulikuwa unafuarahia sana. Ingekuwa ni wa família yako wala usingeandika hayo.Pamoja na kwamba hakuna mtu ana shida na Lisu ila akiuawa hamna kitu kitafanyika, watu watalia watasahau basi
Ya mikutano wala isikushughulishe kwa vile hapo lumumba haliwaumi hilo mnayohaki Ya kukejeli.Naona Chadema yote ajenda ni huyo dada! Mpaka sasa mikutano imeruhusiwa hatufahamu ajenda kuu za chama.
Hii mikutano inaweza kuishia kujaza watu bila tija kama mikakati itakuwa dhaifu.
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Alaf ni mtoto wa Alfred Gewe. Hivi gewe bado yupoPamoja na kwamba hakuna mtu ana shida na Lisu ila akiuawa hamna kitu kitafanyika, watu watalia watasahau basi
Hakika umenena. Hawa wako wengi. Wengine ni machawa ambao hawawezi kujibu hoja za wapinzani hata mama anawajua. Umchukue kama kibajaji yaani aweze kujibu hoja!ninachoamini mimi ni kuwa anatakiwa asimwamini mtu yeyote na ikiwezekana amshuku mtu yeyote muda yote aishi kama digi digi anayefikiria zaidi njinsi ya kukabiliana na wanyama wanaotaka kuondoa uhai wake. lakini katika mazingira hayo hayo inawezekana anajipa moyo maisha yaendelee huku akiendelea kuzaa na kutunza familia akiwajibika na majukumu yake ya kila siku.
anatakiwa aamini kuwa maadui zake ni wengi kuliko wingi wa nywele za kichwa chake zaburi 69:4
Mungu mbariki Tundu LisuWana JF
Tunawashukru wapekenyuzi kwa umakini wao kupata taarifa na picha za Police wa Kike anayejinasibu kumshughulikia Tundu Lissu atakapokuwa amewasili nchini.
Habari hizi zinaongeza wasiwasi kwa aliyetumwa kulinda raia na mali zake kujiingiza kwenye siasa wakati Mkuu wake wa kazi akiwaasa kuachana na siasa za visasi bali kujibu hoja zenye mashiko za upinzani.
Awali ya yote zilipatikana message za kundi sogezi akijinadi kumshughulikia Mwenyekiti msaidizi wa CDM
View attachment 2483105
Jamaa hataki kurudi Tanzania, kwahiyo yametengenezwa mazingira ambayo yatatumika kama sababu ya jamaa kuahirisha kurudi nchini.Naona Chadema yote ajenda ni huyo dada! Mpaka sasa mikutano imeruhusiwa hatufahamu ajenda kuu za chama.
Hii mikutano inaweza kuishia kujaza watu bila tija kama mikakati itakuwa dhaifu.
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Unataka kwenda kutambika nae?Ni muhimu pia kujua kabila lake.
Nimemaliza
Wewe kwa kuwa bi mkubwa wako yuko kijijini unadhani kila mtu kazaliwa kijijini, capitalism ndiyo njia pekee ya kuendelea nanyi wa vijijini mtafaidika tu msiwe na hofu.[emoji23][emoji23][emoji23]Dogo wanaoishi kwa raha hii nchi ni tabaka dogo sana liko pale juu,
Wewe na ukoo wako mnaishi kwa shida sana! Na wala jiwe hajawahi kusababisha muishi kwa tabu namna hiyo!
Kama unabisha kwamba mnaishi kwa tabu, kacheki hali ya bimkubwako kule kijijini alafu jitafakari!
Kama wali test mitambo ya CDM waneshapata jibu sasaUnadhani bila kufuatilia watesi cdm otatoboa?Huyu Mtoto wa Mstaafu Gewe unadhani ajala yamini kufanya yale?
Kimahakama hakuna kesi ila kimaridhiano yapo maswali yanayopaswa kujibiwa !!Hili swali nauliza kwa wajuzi wa sheria,hiyo kauli ya "akirudi tunaye" inaweza kutumika kumtia muongeaji hatiani? "akirudi tunaye" tunaye wapi? tunae nyumbani? tunae kwenye majukumu? tunaye kwenye siasa? tunaye kwenye kujenga nchi? tunaye kivipi? Isije kuwa Chadema wanatafuta mitaji midogo kwa ajili ya siasa zao changa.
She is not alone,kuna watu wengine wako nae.Wana JF
Tunawashukru wapekenyuzi kwa umakini wao kupata taarifa na picha za Police wa Kike anayejinasibu kumshughulikia Tundu Lissu atakapokuwa amewasili nchini.
Habari hizi zinaongeza wasiwasi kwa aliyetumwa kulinda raia na mali zake kujiingiza kwenye siasa wakati Mkuu wake wa kazi akiwaasa kuachana na siasa za visasi bali kujibu hoja zenye mashiko za upinzani.
Awali ya yote zilipatikana message za kundi sogezi akijinadi kumshughulikia Mwenyekiti msaidizi wa CDM
View attachment 2483105
Unasema kweli mkuu, tunaomba waweke hapa maongezi yoteNi vizuri kujua muktadha mzima wa hayo mawasiliano, wakati mwingine watu humo kwenye magroup huweza kuongea mambo kimzaha mzaha. Labda kuna mtu alipost habari ikiwa na picha na ujumbe wa Lissu kurudi nchini, sasa kwenye comments ndo wakawa wanachangia hivyo kwa muktadha wa kufanya mzaha..........ni mtazamo wangu lakini.
Na chochote kitakachomtokea huyo binti mnayemzushia huu ujinga mtakuwa wahusika hapa na mbinguni pia. Wajinga sana nyie mijitu mizima mnahangaika na kisichana kidogo. Na hii ni laaana ya chuki ya wale 19She is not alone,kuna watu wengine wako nae.
Anahusika pia na kilichomtokea Lissu Dodoma.
Huyu dada anajulikana anakokaa ni Tabata na wazazi wake wanajulikana,tuanze na huyu pamoja na family yake with or without laws...enough is enough!
Ichukulie kwa 'context' husika na mtu anayezungumziwa.Hili swali nauliza kwa wajuzi wa sheria,hiyo kauli ya "akirudi tunaye" inaweza kutumika kumtia muongeaji hatiani? "akirudi tunaye" tunaye wapi? tunae nyumbani? tunae kwenye majukumu? tunaye kwenye siasa? tunaye kwenye kujenga nchi? tunaye kivipi? Isije kuwa Chadema wanatafuta mitaji midogo kwa ajili ya siasa zao changa.