Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Polisi zitawafikia tu maana huu ni mtandao wa kijamii. Si unajua ishu ya lwakatare ilianzia humu?Acha siasa chafu hapa kama una uhakika peleka polisi taarifa zako
Chadema sasa wanaweweseka sana. Wanasababisha watu wanakosa ajira kwa ujinga wao kama alivyofanya kubenea
Napata shida sana na chama hiki kwa nini maovu mengi ni yao kila kukicha.
Tungependa na wewe tukufahamu kwanza ndipo tuamini hili swala lako usije ukawa umekurupuka kama Nchemba
Wewe umejuaje kama hajasoma rules and regulations za JF. Halafu pia anaweza akawa na ushahidi halisia..Hajasoma rules and regulation: unafahamu hii rule wewe
1 - Flaming, Bashing, and Trolling:
Hate posts and personal attacks will not be tolerated on the boards. Treat others on these message boards as you would expect them to treat you.
Huyu bwana aliyekuwa accused wewe unadhani atajiteteaje hapa? Yaani mm nikigombana na wewe nikimbilie huku jamii forums na kuweka number zako za simu na email yako kuwa unawapa siri cdm?
Watu wa ajabu sana nyie
nyie ndio mtulie dawa iingie vizuri.. tuna jopo la madaktari bingwa wakiongozwa na DR KIGWANGALLA kwa ajili ya afya zenu japo mna tabia ya kutoroka wodini pale mirembe
rosales mzungu asiyemwaminifu kwa kazi yake
Ondoa mawazo ya ki-bavicha. Toka lini mzungu akawa Mzalendo. inavyoonekana hujawahi hata kukanyaga hata katika nchi za magharibi ukajionea mwenyewe kuliko kusikia maneno ya kwenye vijiwe vya kahawa.ww acha kuteta ujinga na huyo Mzungu ni mzalendo sana.
Napata shida sana na chama hiki kwa nini maovu mengi ni yao kila kukicha.
Naona umetumwa kupotezea mood za watu kucomment
Hii ingekuwa ni dhidi ya CCM ungeshuhudia matusi, kejeli, na maneno mengine yote ambayo kumwaibisha mlengwa ila kwa sababu ni CHADEMA. futeni yabaki matusi, kashfa za watu na dharau dhidi ya wasiokuwa CHADEMA JF nashangaa ilivyokaa ki-CHADEMA. tuambieni kama sisi tusiokuwa na chama hapa si mahali petu?