Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa hatupo kubishana wala kushindana tunaelimishana. Sio lazima tuuze Malawi, tuna malighafi nyingi sana tunaweza kuziuza Ulaya, USA, German, China n.k tukapata hizo dollars.Is it by law kwamba muuzaji X akiuza uwele Malawi the currency is U$ Dollars? Si mda mrefu utajua haujui, ila nakuchukua taratibu.
Ni kweli bossStock ya Dhahabu yetu iongezwe,
Pia mauzo ya Dhahabu nje Kwa makampuni yetu ya ndani ya ongezeni Balance of trade.
Hapa hatupo kubishana wala kushindana tunaelimishana. Sio lazima tuuze Malawi, tuna malighafi nyingi sana tunaweza kuziuza Ulaya, USA, German, China n.k tukapata hizo dollars.
Hapana theory hapo. Hivi kuacha kuagiza chuma nje ya nchi ni theory?Theory.
Hilo ni tatizo kubwa sanaHuwezi kufanya hivo wakati uchumi wako upo controlled na wageni
Watanzania kama watanzania tunachoweza kuzalisha kwa wingi ni majungu, unafiki, uchawa na ufisadi baaasi.Mimi binafsi sina hakika kama dollar ni tatizo la dunia nzima.
Kwamba tukilima mahindi mengi tukauza nchi za nje hatuwezi pata hizo dollar?
Kwamba tukilima kahawa kwa wingi tukauza nje ya nchi hatuwezi pata hizo dollar?
Kwamba tukilima korosho kwa wingi tukauza nje ya nchi hatuwezi pata hizo dollar?
Tukilima mchele mtamu kwa wingi hatuwezi kupata hizo dollar?
Kwamba tukiamua kuacha kununua vitu visivyo vya lazima nje ya nchi hatuweza kuwa na dollar za kutosha kwenye benki zetu?
Kwamba tukiamua kuzalisha umeme, madini na gesi kwa wingi na kuuza nje ya nchi hatuwezi kupata hizo dollar?
Kwamba tukiamua kuanza kuzalisha mafuta ya petroli na dizeli hapa nchini kwa kutumia gesi asilia yetu na kupunguza kuagiza nchi za nje hatutakuwa tunabakiwa na dollar za kutosha?
Kwamba tukiamua kuanza kuzalisha mbolea na madawa ya kilimo kwa kutumia gesi yetu asilia kupunguza kuagiza nchi za nje hatutakuwa tunabakiwa na dollar za kutosha?
Calculating the Balance of Trade
A country's balance of trade is calculated by the following formula:
BOT=Exports−ImportsBOT=Exports−Imports
Example of How to Calculate the BOT
Here's an example of how to calculate the balance of trade:
Let's say that a country's exports of goods in a given year are worth $100 million, and its imports of goods are worth $80 million. To calculate the balance of trade, you would subtract the value of the imports from the value of the exports:
Balance of trade = Exports - Imports
= $100 million - $80 million
= $20 million
Hapana theory hapo. Hivi kuacha kuagiza chuma nje ya nchi ni theory?
Tatizo la taifa hili hatuna wabunifu au waongoza njia...wote ni kusubiri nchi au mtu mwingine afanye wao waige.....akili ya kujitegemea hakuna kabisa.Ingekuwa rahisi hivyo basi Nchi Zenye gas zote zingekuwa zinafanya hivyo
Umeandika ukweli mtupu. Vipi tukipunguza kununua mbolea na kujizalishia yakwetu wenyewe bila kuagiza nje ya nchi. Na vipi tukianza kuuza gesi na umeme nje ya nchi. Na vipi tukizalisha mafuta ya petroli na dizeli hapa nchini.You are not addressing the problem of Africa, leave alone Tanzania Balance of trade will never be achieved in Africa kwa kuongeza production, maana volume ya tunayouza nje inaweza kuwa double ya tunayonunua (bold volume)
Shida ni Policies, mfano tunauza raw materials 200kg for: $2000, ila tunanunua finished goods of: 100kga for $5000. Hata uongeze production kwa kiwango gani, the ration will just be the same, there will never be balance of payment.
Tatizo la Africa ni rushwa, ujinga na ubinafsi, it has nothing to do with volume of sales. Ni kwamba kwenye products nyingi tunauza very cheap raw materials, na tunauziwa ghali sana finished gooda.
Ni bora ungetueleza hiyo imbalance kwa Tanzania imetokana na nini ili kila mmoja apate kuelewa kwa kina. Wengine tupo hapa kujifunza zaidi.Kama hamjasoma economics msiwe mnatoa maoni kwenye kila kitu. Tanzania tatizo kila mtu mjuaji. Uchumi upo katika imbalance phase duniani kote as in since vita ya ukraine kumekuwa na extended period of economic downturn leading to progressive changes in monetary policies and business cycle, Hata Marekani kwenyewe people are complaining about hali mbaya ya uchumi. Nenda kasome how great economic depression started in 1929 alafu ndo uje utoe maoni yako. Msiongozwe na hisia kutoa maoni ya kitaalam.