Hatujasema asigombee , isipokuwa hoja zake zilizomsukuma kugombea ni zipi? Maana alizungumza mengi sana na blaa blaa kibao but hoja zake ni zipi? Chama hakiko salama, atastafu akiwa na umri karibu au sawa na watangulizi wake, hizo ndiyo hoja zinamshawishi. Mtu ambaye ni gwiji wa siasa za 🇹🇿? Chama hakiko salama nani wa kuwajibika?kwanini munateseka na Mbowe kugombea? munataka democracy lakini hamtaki democracy
Ila yeye akifa then chadema ikiendelea au kufa atakuwa hana la kupoteza mana yeye mwenyewe atakuwa mfu tayariYes! Unajuliza akifa Leo CHADEMA haitasonga? Hapa anatiliia mashaka juu ya matukio yaliyowakumba waliojaribu kutia nia ya kukitaka kiti cha enzi cha beast
Hatujasema asigombee , isipokuwa hoja zake zilizomsukuma kugombea ni zipi? Maana alizungumza mengi sana na blaa blaa kibao but hoja zake ni zipi? Chama hakiko salama, atastafu akiwa na umri karibu au sawa na watangulizi wake, hizo ndiyo hoja zinamshawishi. Mtu ambaye ni gwiji wa siasa za 🇹🇿? Chama hakiko salama nani wa kuwajibika?
Leta hoja na sio vioja.Anahitajika sana kwenye siasa za vyama vingi hapa nchini. Huwezi ukakiacha chama mikononi mwa wanaharakati ambao hawatambui mchango wa maridhiano na siasa za maelewano. Lissu na wanachama wengine wanapenda sana nguvu badala ya makubaliano. Sasa hapo unaweza kweli kuachia ngazi ili tu ufurahishe haohao wanaobeza juhudi zako?
Na mimi nilishangaa hii hoja, cha ajabu hajui kina Mtei na Makani hawakuzidisha zaidi ya kipindi kimoja kimoja!!2. Afikishe miaka 68 kama watangulizi wake. Hoja ya kipuuzi kabisa
Hoja ya kwanza ,huwezi kabidhi chama Kwa vibaraka wa Mabeberu na wanaharakati uchwara.Wakuu Salaam sana!
Nimejaribu kufuatilia hotuba ( mara tatu) ya mwenyekiti wa CHADEMA, ndg FAM wakati akitangaza nia yake ya kugombea tena katika nafasi ya uenyekiti CHADEMA TAIFA , lakini hakuelezea ni hoja zipi zimemsukuma agombee tena nafasi hiya zaidi ya kutoa historia alikokitoa chama , fedha alizotumia na jinsi chama kilivyomuumiza kwa kulekea kufilisiwa Mali zake na mambo kama hayo.
Kinachonishangaza zaidi ni kuwa hata wanaomuunga mkono hawaziweki hoja zake, kuzichanganua na kuziuza kwa wajumbe zaidi ya kusema TAL ni muhaini , mropokaji , hawezi tunza siri za chama na mambo kama hayo, huku wakijisahaulisha kuwa TAL kaweka hoja zake zilizomsukuma kugombea nafasi hiyo ikiwemo kukomesha rushwa ndani ya chama, ukomo wa madara ya uwenyekiti na viti maalumu ili kutoa fursa kwa mawazo mapya, ruzuku kuwafikia wajumbe ngazi ya shina.nk
Je, kilichomsukuma m/kiti aliyekaa madarakani zaidi ya miongo miwili kugombea tena kipindi kijacho nini?
Wadau, kuna anayejua hoja/vipaumbele alizo/alivyo ainisha m/kiti FAM tuzitafakali ili wajumbe wajue upande wao wa kupiga kura na sio uchawa?
Kama TAL hatoshi kwanini walimpa fomu za kugombea urais? Ina maana angekua Rais ingekuaje sasa? Kama walijua hatoshinda je ina maana Chadema haipo serious na mageuzi?Hoja kubwa ya Mbowe ambayo ni ngumu kuiweka wazi ni TAL mwenyewe yaani anamuona hatoshi....kwa tawala zetu za kiafrika busara inahitajika pale unapopambana na serikali iliyopo madarakani,,,kuzingatia tu sheria na haki havitoshi na utakwama....mfano ni Zanzibar, hayati maalim Seif alipambana kwa haki sheria na busara pia alitumia.
Nani kibaraka? Hao CCM wanaotoa mikataba ya kifisadi kwa makampuni ya nje ndio sio vibaraka?Hoja ya kwanza ,huwezi kabidhi chama Kwa vibaraka wa Mabeberu na wanaharakati uchwara.
Ndio tunahitaji lissu kwa zama za sasa sio diplomasia. Yaani CCM wakiiba kura wakute ofisi zao zimechomwa ila hii kuchekeana tutaendelea kuibiwa kura milele. Tunamhitaji Lissu na Heche kule juu tupate upinzani halisi sio huyo fisadi anayejificha kwenye maridhiano kula hela za Samia.Anahitajika sana kwenye siasa za vyama vingi hapa nchini. Huwezi ukakiacha chama mikononi mwa wanaharakati ambao hawatambui mchango wa maridhiano na siasa za maelewano. Lissu na wanachama wengine wanapenda sana nguvu badala ya makubaliano. Sasa hapo unaweza kweli kuachia ngazi ili tu ufurahishe haohao wanaobeza juhudi zako?
Mikataba havihusiani na mtu kuwa kibaraka.Nani kibaraka? Hao CCM wanaotoa mikataba ya kifisadi kwa makampuni ya nje ndio sio vibaraka?
HATUTAKI HOJA. MBOWE NDO ANAFAA. LISSU HAPANA NI MBISHI SANA.Wakuu Salaam sana!
Nimejaribu kufuatilia hotuba ( mara tatu) ya mwenyekiti wa CHADEMA, ndg FAM wakati akitangaza nia yake ya kugombea tena katika nafasi ya uenyekiti CHADEMA TAIFA , lakini hakuelezea ni hoja zipi zimemsukuma agombee tena nafasi hiya zaidi ya kutoa historia alikokitoa chama , fedha alizotumia na jinsi chama kilivyomuumiza kwa kulekea kufilisiwa Mali zake na mambo kama hayo.
Kinachonishangaza zaidi ni kuwa hata wanaomuunga mkono hawaziweki hoja zake, kuzichanganua na kuziuza kwa wajumbe zaidi ya kusema TAL ni muhaini , mropokaji , hawezi tunza siri za chama na mambo kama hayo, huku wakijisahaulisha kuwa TAL kaweka hoja zake zilizomsukuma kugombea nafasi hiyo ikiwemo kukomesha rushwa ndani ya chama, ukomo wa madara ya uwenyekiti na viti maalumu ili kutoa fursa kwa mawazo mapya, ruzuku kuwafikia wajumbe ngazi ya shina.nk
Je, kilichomsukuma m/kiti aliyekaa madarakani zaidi ya miongo miwili kugombea tena kipindi kijacho nini?
Wadau, kuna anayejua hoja/vipaumbele alizo/alivyo ainisha m/kiti FAM tuzitafakali ili wajumbe wajue upande wao wa kupiga kura na sio uchawa?
Unachekesha!! Angeshahamia CCM maana ndio pango la mafisadi. Yaani akae chadema kwenye njaa wakati malsahi yapo CCM!!Mikataba havihusiani na mtu kuwa kibaraka.
Tundu Lisu ndio kibaraka wa Wazungu na bimdogo wa Amsterdam so hakuna kupewa chama
CCM Wana serve maslahi ya Nchi ,yeye anaserve maslahi ya Mabeberu, hawezi tumikia mabwana wawili.Unachekesha!! Angeshahamia CCM maana ndio pango la mafisadi. Yaani akae chadema kwenye njaa wakati malsahi yapo CCM!!