Anayezijua hoja za Mbowe zilizompelekea kugombea tena nafasi ya uwenyekiti wa chama aziweke hapa tuzijue

kwanini munateseka na Mbowe kugombea? munataka democracy lakini hamtaki democracy
Hatujasema asigombee , isipokuwa hoja zake zilizomsukuma kugombea ni zipi? Maana alizungumza mengi sana na blaa blaa kibao but hoja zake ni zipi? Chama hakiko salama, atastafu akiwa na umri karibu au sawa na watangulizi wake, hizo ndiyo hoja zinamshawishi. Mtu ambaye ni gwiji wa siasa za šŸ‡¹šŸ‡æ? Chama hakiko salama nani wa kuwajibika?
 
Yes! Unajuliza akifa Leo CHADEMA haitasonga? Hapa anatiliia mashaka juu ya matukio yaliyowakumba waliojaribu kutia nia ya kukitaka kiti cha enzi cha beast
Ila yeye akifa then chadema ikiendelea au kufa atakuwa hana la kupoteza mana yeye mwenyewe atakuwa mfu tayari
 
Hatujasema asigombee , isipokuwa hoja zake zilizomsukuma kugombea ni zipi? Maana alizungumza mengi sana na blaa blaa kibao but hoja zake ni zipi? Chama hakiko salama, atastafu akiwa na umri karibu au sawa na watangulizi wake, hizo ndiyo hoja zinamshawishi. Mtu ambaye ni gwiji wa siasa za šŸ‡¹šŸ‡æ? Chama hakiko salama nani wa kuwajibika?

kuamua kugombea ni maamuzi tu hakuhitaji hoja yoyote
 
Hoja kubwa ya Mbowe ambayo ni ngumu kuiweka wazi ni TAL mwenyewe yaani anamuona hatoshi....kwa tawala zetu za kiafrika busara inahitajika pale unapopambana na serikali iliyopo madarakani,,,kuzingatia tu sheria na haki havitoshi na utakwama....mfano ni Zanzibar, hayati maalim Seif alipambana kwa haki sheria na busara pia alitumia.
 
Anahitajika sana kwenye siasa za vyama vingi hapa nchini. Huwezi ukakiacha chama mikononi mwa wanaharakati ambao hawatambui mchango wa maridhiano na siasa za maelewano. Lissu na wanachama wengine wanapenda sana nguvu badala ya makubaliano. Sasa hapo unaweza kweli kuachia ngazi ili tu ufurahishe haohao wanaobeza juhudi zako?
Leta hoja na sio vioja.
Chama tunataka tukirudishe kwa wanachama tukitoe kwenye kikundi cha watu wachache wajasiliamali wa siasa wanaoongozwa na huyo Mbowe.
 
2. Afikishe miaka 68 kama watangulizi wake. Hoja ya kipuuzi kabisa
Na mimi nilishangaa hii hoja, cha ajabu hajui kina Mtei na Makani hawakuzidisha zaidi ya kipindi kimoja kimoja!!

Huyu jamaa ni failure na ni kama ameshakata tamaa ya mageuzi anataka tu kutengeneza utajiri mkubwa kabla ya kustaafu. Usishangae akakubali serikali ya nusu mkate mwakani.
 
Mbowe ana akili timaru. Amezoea kunywa sumu, hawezi kuachia CDM kwa TAL labda angekuwa Lema sawa.
 
Wakuu Salaam sana!

Nimejaribu kufuatilia hotuba ( mara tatu) ya mwenyekiti wa CHADEMA, ndg FAM wakati akitangaza nia yake ya kugombea tena katika nafasi ya uenyekiti CHADEMA TAIFA , lakini hakuelezea ni hoja zipi zimemsukuma agombee tena nafasi hiya zaidi ya kutoa historia alikokitoa chama , fedha alizotumia na jinsi chama kilivyomuumiza kwa kulekea kufilisiwa Mali zake na mambo kama hayo.

Kinachonishangaza zaidi ni kuwa hata wanaomuunga mkono hawaziweki hoja zake, kuzichanganua na kuziuza kwa wajumbe zaidi ya kusema TAL ni muhaini , mropokaji , hawezi tunza siri za chama na mambo kama hayo, huku wakijisahaulisha kuwa TAL kaweka hoja zake zilizomsukuma kugombea nafasi hiyo ikiwemo kukomesha rushwa ndani ya chama, ukomo wa madara ya uwenyekiti na viti maalumu ili kutoa fursa kwa mawazo mapya, ruzuku kuwafikia wajumbe ngazi ya shina.nk

Je, kilichomsukuma m/kiti aliyekaa madarakani zaidi ya miongo miwili kugombea tena kipindi kijacho nini?

Wadau, kuna anayejua hoja/vipaumbele alizo/alivyo ainisha m/kiti FAM tuzitafakali ili wajumbe wajue upande wao wa kupiga kura na sio uchawa?
Hoja ya kwanza ,huwezi kabidhi chama Kwa vibaraka wa Mabeberu na wanaharakati uchwara.
 
Hoja kubwa ya Mbowe ambayo ni ngumu kuiweka wazi ni TAL mwenyewe yaani anamuona hatoshi....kwa tawala zetu za kiafrika busara inahitajika pale unapopambana na serikali iliyopo madarakani,,,kuzingatia tu sheria na haki havitoshi na utakwama....mfano ni Zanzibar, hayati maalim Seif alipambana kwa haki sheria na busara pia alitumia.
Kama TAL hatoshi kwanini walimpa fomu za kugombea urais? Ina maana angekua Rais ingekuaje sasa? Kama walijua hatoshinda je ina maana Chadema haipo serious na mageuzi?

Kingine Mbowe kama anaona Lissu hafai kwanini haku mentor viongozi wengi zaidi ili leo awaachie uenyekiti?

Likewise, matumizi ya busara za Mbowe kati ya 2016-24 yalisaidia nini? Mbona hayakuzuia CCM kupora viti vyote chaguzi 3 mfululizo? It's obvious diplomacy imefeli tunahitaji radicalism ili nayo tupime kama inafanya kazi. Hatuwezi tegemea busara milele wakati tunaona wazi kabisa hata mwakani watapora majimbo yote na Mbowe atabaki analilia maridhiano
 
Anahitajika sana kwenye siasa za vyama vingi hapa nchini. Huwezi ukakiacha chama mikononi mwa wanaharakati ambao hawatambui mchango wa maridhiano na siasa za maelewano. Lissu na wanachama wengine wanapenda sana nguvu badala ya makubaliano. Sasa hapo unaweza kweli kuachia ngazi ili tu ufurahishe haohao wanaobeza juhudi zako?
Ndio tunahitaji lissu kwa zama za sasa sio diplomasia. Yaani CCM wakiiba kura wakute ofisi zao zimechomwa ila hii kuchekeana tutaendelea kuibiwa kura milele. Tunamhitaji Lissu na Heche kule juu tupate upinzani halisi sio huyo fisadi anayejificha kwenye maridhiano kula hela za Samia.
 
Nani kibaraka? Hao CCM wanaotoa mikataba ya kifisadi kwa makampuni ya nje ndio sio vibaraka?
Mikataba havihusiani na mtu kuwa kibaraka.

Tundu Lisu ndio kibaraka wa Wazungu na bimdogo wa Amsterdam so hakuna kupewa chama
 
Wakuu Salaam sana!

Nimejaribu kufuatilia hotuba ( mara tatu) ya mwenyekiti wa CHADEMA, ndg FAM wakati akitangaza nia yake ya kugombea tena katika nafasi ya uenyekiti CHADEMA TAIFA , lakini hakuelezea ni hoja zipi zimemsukuma agombee tena nafasi hiya zaidi ya kutoa historia alikokitoa chama , fedha alizotumia na jinsi chama kilivyomuumiza kwa kulekea kufilisiwa Mali zake na mambo kama hayo.

Kinachonishangaza zaidi ni kuwa hata wanaomuunga mkono hawaziweki hoja zake, kuzichanganua na kuziuza kwa wajumbe zaidi ya kusema TAL ni muhaini , mropokaji , hawezi tunza siri za chama na mambo kama hayo, huku wakijisahaulisha kuwa TAL kaweka hoja zake zilizomsukuma kugombea nafasi hiyo ikiwemo kukomesha rushwa ndani ya chama, ukomo wa madara ya uwenyekiti na viti maalumu ili kutoa fursa kwa mawazo mapya, ruzuku kuwafikia wajumbe ngazi ya shina.nk

Je, kilichomsukuma m/kiti aliyekaa madarakani zaidi ya miongo miwili kugombea tena kipindi kijacho nini?

Wadau, kuna anayejua hoja/vipaumbele alizo/alivyo ainisha m/kiti FAM tuzitafakali ili wajumbe wajue upande wao wa kupiga kura na sio uchawa?
HATUTAKI HOJA. MBOWE NDO ANAFAA. LISSU HAPANA NI MBISHI SANA.
 
Mikataba havihusiani na mtu kuwa kibaraka.

Tundu Lisu ndio kibaraka wa Wazungu na bimdogo wa Amsterdam so hakuna kupewa chama
Unachekesha!! Angeshahamia CCM maana ndio pango la mafisadi. Yaani akae chadema kwenye njaa wakati malsahi yapo CCM!!
 
CCM Wana serve maslahi ya Nchi ,yeye anaserve maslahi ya Mabeberu, hawezi tumikia mabwana wawili.
 
Back
Top Bottom