Sasa ZERO atakuwa na Hoja!!Hoja zake ni:
1. Chama hakiko salama hivyo hawezi kukiacha. Ukimuuliza, hakiko salama kwenye mikono ya nani? Hakuna jibu?
2. Wenyeviti waliomtangulia , waliachia kiti wakiwa na miaka 68. Yeye bado miaka 5 afikishe umri huo.
3. Yeye sio mbangaizaji. Hawezi kukiacha chama kwa wa Wabangaizaji kama muuza Bamia wa Mbutu.
Hizo ndizo hoja kuu za mh.
Maslahi gani kwani ana mamlaka ya kuwapa vitalu vya kuwinda au vya kuchimba gesi? Haujitambui kabisa kama mama yenuCCM Wana serve maslahi ya Nchi ,yeye anaserve maslahi ya Mabeberu, hawezi tumikia mabwana wawili.
Vitalu havihusiani na maslahi ya NchiMaslahi gani kwani ana mamlaka ya kuwapa vitalu vya kuwinda au vya kuchimba gesi? Haujitambui kabisa kama mama yenu
1: Chadema ilipomteua TAL kugombea urais 2020 walijua wazi hawezi kushinda uchaguzi huo na kua rais dhidi ya utawala uliokuwepo,,walichotazama ni nani anaweza kuipatia Chadema kura nyingi za urais ili zisaidie kupata wabunge wengi wa viti maalum.Kama TAL hatoshi kwanini walimpa fomu za kugombea urais? Ina maana angekua Rais ingekuaje sasa? Kama walijua hatoshinda je ina maana Chadema haipo serious na mageuzi?
Kingine Mbowe kama anaona Lissu hafai kwanini haku mentor viongozi wengi zaidi ili leo awaachie uenyekiti?
Likewise, matumizi ya busara za Mbowe kati ya 2016-24 yalisaidia nini? Mbona hayakuzuia CCM kupora viti vyote chaguzi 3 mfululizo? It's obvious diplomacy imefeli tunahitaji radicalism ili nayo tupime kama inafanya kazi. Hatuwezi tegemea busara milele wakati tunaona wazi kabisa hata mwakani watapora majimbo yote na Mbowe atabaki analilia maridhiano
Kwahiyo rasilimali hazihusiani na maslahi ya nchi? Unashangaza sana.Vitalu havihusiani na maslahi ya Nchi
Lisu ni kibarakaKwahiyo rasilimali hazihusiani na maslahi ya nchi? Unashangaza sana.
Ingawa unapotosha maana nachojua kura za wagombea ubunge ndio huletq viti maalum. Tanzania tunatumia D'hondt method of proportion kwa threshold ya 5% ya kura zote za ubunge ili uwe eligible kupata viti.maalum. kura za urais zinasaidia walau 30% ya ruzuku kupatikana.Chadema ilipomteua TAL kugombea urais 2020 walijua wazi hawezi kushinda uchaguzi huo na kua rais dhidi ya utawala uliokuwepo,,walichotazama ni nani anaweza kuipatia Chadema kura nyingi za urais ili zisaidie kupata wabunge wengi wa viti maalum.
Mbona sasa ame endorse Wenje agombee uenyekiti, yaani kweli wenje ndio awe second in command? Hivi mbona ni vituko.2: Chadema inao watu wengi wasomi na wenye uwezo wa kushika uongozi wa nafasi ya mwenyekiti lakini sio wote
Si kweli, enzi za Dr Slaa mbona CCM tuliheshimiana sana alikua mtu wa kazi sio busara busara. Tunapaswa tumpate Lissu ili awaweke CCM kwenye defensive mode muda wote naamini itarudisha morale ya nguvu ya umma kama ile 2010-2015 hata CCM wakiiba wataiba kistaarabu sio kama huu uhuni unaoendelea maana wanajua Mbowe atacheka cheka tu.3:uchaguzi huru na wa haki hautegemei ni nani mwenyekiti Chadema,,, toka mfumo wa vyama vingi uanze kumeshapita viongozi wenye nguvu kuliko TAL.
Anaropoka ropoka tu sijui konyagi ndizo zilihutubia? Ati si vema kubadilisha mwenyekiti wakati uchaguzi ni mwakani.Chama hakipo salama kwenye mikono yake mwenyewe 😂 uzuri anajua kuwa yeye ndio mhusika wa kutokuwa salama
Ni kweli comrade nilipotoka hapo, nilichotaka kuandika ni ruzuku,,,pengine kichwani nilikua nawaza viti maalum.Ingawa unapotosha maana nachojua kura za wagombea ubunge ndio huletq viti maalum. Tanzania tunatumia D'hondt method of proportion kwa threshold ya 5% ya kura zote za ubunge ili uwe eligible kupata viti.maalum. kura za urais zinasaidia walau 30% ya ruzuku kupatikana.
Anyway tukirudi kwenye hoja, Sasa logic hii hii itumike kumuweka Lissu maana ndio mtu pekee ana ushawishi upinzani, so atasaidia tupate wabunge, viti maalum na ruzuku nyingi zaidi!! Pia ana upeo mkubwa ataendesha chadema kitaalamu sana.
Mbona sasa ame endorse Wenje agombee uenyekiti, yaani kweli wenje ndio awe second in command? Hivi mbona ni vituko.
Si kweli, enzi za Dr Slaa mbona CCM tuliheshimiana sana alikua mtu wa kazi sio busara busara. Tunapaswa tumpate Lissu ili awaweke CCM kwenye defensive mode muda wote naamini itarudisha morale ya nguvu ya umma kama ile 2010-2015 hata CCM wakiiba wataiba kistaarabu sio kama huu uhuni unaoendelea maana wanajua Mbowe atacheka cheka tu.
Enough is enough, wakimpa Mbowe chama ndio tumekwisha kabisa.
Hoja yake nyingine ni kwamba:-Sera yake ni;
1.Kutaka aiache Chadema salama. Unajiuliza kwani haiko salama chini ya nani?
2. Afikishe miaka 68 kama watangulizi wake. Hoja ya kipuuzi kabisa
Lakini Lissu kaweka mkeka wa hoja, ukiusoma unabaki kuangalia mawinguni labda utamuona Lissu
Hayo makubaliano ndio yamekufikisha kwenye kutekwa kudhulumiwa uchaguzi na kuumizwa kuuliwa nk. Tumia hata comon sense ulizopewa na Muumba wakoAnahitajika sana kwenye siasa za vyama vingi hapa nchini. Huwezi ukakiacha chama mikononi mwa wanaharakati ambao hawatambui mchango wa maridhiano na siasa za maelewano. Lissu na wanachama wengine wanapenda sana nguvu badala ya makubaliano. Sasa hapo unaweza kweli kuachia ngazi ili tu ufurahishe haohao wanaobeza juhudi zako?
Na ana kula ruzuku nyingi pia.Hoja yake nyingine ni kwamba:-
Ametumia fedha zake nyingi sana pale chadema
Wafia ulaji wao shwain wana tuona mafalaMuda umefika sasa wakaza fuvu waelewe kwamba pale hapana chama cha wafia nchi ni wafia tumbo🤣🤣
Another konyagiChupa moja ya ziadaaaa, alisikika Mbowe.
😂😂😂maana wanajua Mbowe atacheka cheka tu.