Anayosema Kigwangalla kuhusu uaminifu wa Watanzania kuna tatizo?

Walimu wengi hasa wa Primary Schools wamekwenda kusoma masuala ya ugavi, uhasibu, mipango, biashara, and the like, na, wamekimbia ualimu wako huko; Ni "wapigaji" hao! Wanapiga pesa na mali za umma kama vile kesho watarudishwa tena kufundisha shuleni!
 
Uko sahihi.
 
Yeah, uko sahihi.
 
Kigwa kama Kigwa alikosea sana kuleta Zogo na Tajiri angetulia zake kimya haya yote tusingeyasikia na alikua anaenda vizuri huko Utalii...
Kigwangala na wanasiasa wengine natamani sana tena sana niwafundishe namna ya kuongoza biashara na kuzisimamia, natamani sana wangejua namna ya kuwekeza mimi ni professor hilo eneo ila kwa sababu nipo mbali basi inasikitisha sana tena sana. Naamini kidogo kidogo watajifunza
 
Nimesoma nikakuelewa sanaa sana mnooo
 
Swali inakuwaje viongozi na kigwangwala sio wakwanza wanalalamikia utendaji wetu watanzania? Iweje mtandao umejaa malalamishi Kuhusu walimu, watendaji wa afya nk

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
 
Swali inakuwaje viongozi na kigwangwala sio wakwanza wanalalamikia utendaji wetu watanzania? Iweje mtandao umejaa malalamishi Kuhusu walimu, watendaji wa afya nk

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
Kwa hiyo mtu akiwa kiongozi mwanasiasa ndio msafi? Mbona bandari watu wameuza hiyo nayo ni usafi? Ni suala la muda tu kila kitu kitakuwa wazi kuhusu bandari
 
kusema imeuzwa nayo sio sahihi, kitu kilichouzwa kinaondoka na hakirudi, hii inamuelekeo wa kukodishwa kinacholalamikiwa masharti gandamizi
 
Sasa kwa mikataba hiyo unafikiri huyo kwenye ujasiriamali atatusua?
Amezoea rushwa,favour,kuogopwa. Muondolee hivyo vitu mpe mtaji wa milioni 100 ,nakuhakikishia baada ya mwaka ukija utamkuta anamlalamikia mwingine aliyemsababishia umasikini na hana huo mtaji umepotea
 
Ukiona mfanyabiashara ana kiwanda hiki, ana biashara ile, usifikiri na wewe ambae unaanza utaweza, kashatengeneza system ya biashara. Huyo jamaa muulize kwa nini alipoenda kukopa pikipiki 50 kwa mo akamkatalia. Pikipiki 50 ni sawa na milioni 100, kwa mo anaweza ingiza hata hiyo faida kwa siku kadhaa kwa nini hakumkopesha? Anajua principle ya biashara. Na ili ujue ana system kwa nini Kigwangala asingeongea na muuzaji ama msimamizi wa mo amkopeshe? Hawezi sababu tayari kuna system imewekwa kuendesha biashara
 
Mkuu kama unataka watu watoke kwenye Umasikini na wewe ni mtaalamu wa Investment weka madini hapa yawasaidie wote kuwa mbali sio kigezo cha kukosa Elimu yako...
 
tunaposikia na kuona CAG anaainisha utepetevu, tunapolalamikia walimu, watendaji serikalini, huduma za afya na kote huko walioko ni watanzania , hatuoni kwamba uzawa sio uzalendo. Na kwa maana hiyo kuendelea kuaminishishwa kwamba kuweka watanzania kwenye nafasi zote kisa ni watanzania nacho ni sehemu ka kuendeleza uozo. Tumia mfano wa mitandao ya simu. Vodacom Tanzania ilianza kabla ya Safaricom ya Kenya. Iweje Safaricom faid yake inazidi ya vodaom mara mbili au zaidi. Ni swala la utendaji uliotukuka. Leo nna wiki 2 nimepeleka email voda na Tigo hamna jibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…