Anayoyafanya Mwamposa kama ni kweli, Watanzania tusipuuze kila kitu

Anayoyafanya Mwamposa kama ni kweli, Watanzania tusipuuze kila kitu

ngara23

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2019
Posts
9,091
Reaction score
21,087
Niko nafuatilia mkutano wa injili wa mwamposa huko Arusha naona makubwa yanafanyika anavohubiri neno liko sawa

Ana nguvu za Mungu, Muujiza wa kwanza. Mwanamke mjazito aliyepitiliza muda wa kujifingua, Sasa Leo kapata uchungu na anajifungua.

Mkuu wa mkoa ameshawafika mkutanoni. Mahubiri ni mazuri mno

Nitakuwa reporter leo.

Snapinsta.app_460660205_122134498724343304_8966578207375396528_n_1080(1).jpg
Snapinsta.app_460660205_122134498724343304_8966578207375396528_n_1080.jpg
 
Niko nafuatilia mkutano wa injili wa mwamposa huko Arusha
Naona makubwa yanafanyika
Anavohubiri neno liko sawa
Ana nguvu za Mungu

Muujiza wa kwanza
Mwanamke mjazito aliyepitiliza muda wa kujifingua, Sasa Leo kapata uchungu na anajifungua.

Mkuu wa mkoa ameshawafika mkutanoni

Mahubiri ni mazuri mno

Nitakuwa reporter leo

Aiseee wajinga hawaishi...yaani bado unaamini maigizo ya hao MATAPELI?
 
Niko nafuatilia mkutano wa injili wa mwamposa huko Arusha
Naona makubwa yanafanyika
Anavohubiri neno liko sawa
Ana nguvu za Mungu

Muujiza wa kwanza
Mwanamke mjazito aliyepitiliza muda wa kujifingua, Sasa Leo kapata uchungu na anajifungua.

Mkuu wa mkoa ameshawafika mkutanoni

Mahubiri ni mazuri mno

Nitakuwa reporter leo
Kafie mbele huko!
 
Mwanamke mjamzito anatarajiwa ajifunguwe muda wowote baada ya wiki 38+ ,wakati mwingine anaweza fika wiki 40 na bado hajajifunguwa.hivyo mtu yeyote anawezakumuandaa mama mjamzito wa wiki hizo,na akasema ni miujiza,lakini hakuna miujiza hapo,maana kama hizo wiki zikipita na asijifunguwe madaktari hufanya oparesheni kumsaidia huyo mama,watu waache kuamini kila jambo pasipo uchunguzi.
 
Back
Top Bottom