Anayoyafanya Mwamposa kama ni kweli, Watanzania tusipuuze kila kitu

Anayoyafanya Mwamposa kama ni kweli, Watanzania tusipuuze kila kitu

Hosea 4:6 NEN
[6] watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa, “Kwa kuwa wewe umeyakataa maarifa, mimi nami nitakukataa wewe usiwe kuhani kwangu mimi; kwa kuwa umeacha kuijali sheria ya Mungu wako mimi nami sitawajali watoto wako.

 
Watu Wanagaiwa Mchanga
Anya way nimeuza vimfuko sana.. namimi nimepiga zangu kahea
 
Uliposema na mkuu wa mkoa yupo ndio uzi ulipoharibikia. Sehemu yoyote akiwepo uyo jamaa mkuu wa mkoa, uwepo wa baraka za kimungu unakimbia. Kwanza tunataka atoke adharani atubu kwa kumanisha sio hizo tour za nyumba za ibada za kuigiza
Mkuu, kama ulikuwa hujui huyo RC na bwana Mwamposa ni mtu na swahiba yake haswaa.. yaani wameshibana ile ile
 
Back
Top Bottom