Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamaa ni mjanja sana akienda mkoa Fulani shuhuda wanaopona wanatokea vijijini na mikoa jiraniWatakuambia wale wa hospital eti hawana imani. Ukiwa Mwanza utasikia ''eti kuna mtu kaponywa kule Songea'', ukienda Songea utasikia ''Mwanza wameponywa watatu''.
Mkishapigwa msilete vilio.Niko nafuatilia mkutano wa injili wa mwamposa huko Arusha naona makubwa yanafanyika anavohubiri neno liko sawa
Ana nguvu za Mungu, Muujiza wa kwanza. Mwanamke mjazito aliyepitiliza muda wa kujifingua, Sasa Leo kapata uchungu na anajifungua.
Mkuu wa mkoa ameshawafika mkutanoni. Mahubiri ni mazuri mno
Nitakuwa reporter leo.
Ilo ni kubwa la matapeli, wakristo mnaibiwa shtukeni!!!mmebakia Kobaz,kobazNiko nafuatilia mkutano wa injili wa mwamposa huko Arusha naona makubwa yanafanyika anavohubiri neno liko sawa
Ana nguvu za Mungu, Muujiza wa kwanza. Mwanamke mjazito aliyepitiliza muda wa kujifingua, Sasa Leo kapata uchungu na anajifungua.
Mkuu wa mkoa ameshawafika mkutanoni. Mahubiri ni mazuri mno
Nitakuwa reporter leo.
Kwa lile nyomi lazma wampe uafisamtaji wa ccm huo
wanasema hata mwamposa ni afisa kipenyo
SIKU WAKIENDA HOSPITAL KUPONYA WAGONJWA NA KUKUSANYA VILEMA NA KUWAPONYA NTAAMINI WANATENDA MIUJIZA KWELI
Siku hizi watu hawamwamini Mungu bali wanaamini mafuta,maji na keki ya Mwamposa.Yaani unakuta mtu badala aombe anakunywa mafuta ya Mwamposa akiamini shida itakwisha.
Kwanini mlimfitini kiboko ya wachawi wakati wote wanafanya kinachofanana?Niko nafuatilia mkutano wa injili wa mwamposa huko Arusha naona makubwa yanafanyika anavohubiri neno liko sawa
Ana nguvu za Mungu, Muujiza wa kwanza. Mwanamke mjazito aliyepitiliza muda wa kujifingua, Sasa Leo kapata uchungu na anajifungua.
Mkuu wa mkoa ameshawafika mkutanoni. Mahubiri ni mazuri mno
Nitakuwa reporter leo.
Uliyemuongelea hapo ni Yesu na sio Mwamposa.Vipi kuhusu yule aliamini, nikigusa tu vazi la Yesu nimepona, alikuwa hamwamini Mungu? Na ni kweli aligusa na akapona ugonjwa wa kutoka damu miaka 12.