JUAN MANUEL
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 7,808
- 16,972
Huwa ni upuuzi mtupu, miujiza IPO, ila sio hiyo ya kimazingaombwe,Niko nafuatilia mkutano wa injili wa mwamposa huko Arusha
Naona makubwa yanafanyika
Anavohubiri neno liko sawa
Ana nguvu za Mungu
Muujiza wa kwanza
Mwanamke mjazito aliyepitiliza muda wa kujifingua, Sasa Leo kapata uchungu na anajifungua.
Mkuu wa mkoa ameshawafika mkutanoni
Mahubiri ni mazuri mno
Nitakuwa reporter leo
Nitakupa mfano,
Nilikuwa, UDsm , naingia mwaka wa tatu, nimetoka likizo,Sina Ada, uongozi wa chuo ukazuia hakuna mwanafunzi kwenda hostel,bila kumaliza Ada, lipa Ada, ndio upewe funguo za chumba, hapo Sina kitu, wazazi choka mbaya, tukakaa mpaka jioni,saa 11,chuo hakitaki kutupa muda tulipe kidogo kidogo, na jatatu yake, mitiani inaanza, nikamuuliza Mungu, inamaana sitaweza kumaliza shahada yangu, nakuwa mhandisi, kama tulivyokubaliana tangu nikiwa la Saba! Ilipofika, saa 12,Dean akaruhusu wanafunzi, waliopo bado adminstrstion waende hostel, Ada watalipa, mwezi ujao! Na mwezi huo, Anko wangu alikuwa anamalizia nyumba yake, akanipa kazi ya kuweka mifumo ya umeme, nikapiga kazi, nikpata ADA! Hiyo ndio muujiza,lazima mwanadsmu ashiriki kwa nguvu zake,sio kukaa na kusubili nyumba na gari,
Mwamposa akiwa Far, kawe, wanaopata miujiza wote ni wa mikoani! Sio wa kitaani, ili, tuthibitishe, akiwa mikoani huko Arusha, wanaofunguliwa ni Wa dar!