Anayoyafanya Mwamposa kama ni kweli, Watanzania tusipuuze kila kitu

Anayoyafanya Mwamposa kama ni kweli, Watanzania tusipuuze kila kitu

Haya mambo yananikereketa sana mimi mkana dini, lakini nimeshaona nikitumia nguvu zangu kubishana nanyi nitakuwa naenda kinyume na misingi yangu.

Kwanini kitu nisichoamini kinitese, hakinihusu.

Mtajua wenyewe kama mnaona huko kunawasaidia, nendeni.
 
Niko nafuatilia mkutano wa injili wa mwamposa huko Arusha naona makubwa yanafanyika anavohubiri neno liko sawa

Ana nguvu za Mungu, Muujiza wa kwanza. Mwanamke mjazito aliyepitiliza muda wa kujifingua, Sasa Leo kapata uchungu na anajifungua.

Mkuu wa mkoa ameshawafika mkutanoni. Mahubiri ni mazuri mno

Nitakuwa reporter leo.

Koboko ya Wachawi alifanya makubwa zaidi ya hayo.

Sasa hivi anajenga Mansion za Kufa Mtu huko Lubumbashi DRC anasema amezimisi sana zile laki tano tano .
😂😂😂
 
Mwanamke mjazito aliyepitiliza muda wa kujifingua, Sasa Leo kapata uchungu na anajifungua.
Kiboko alikuwa anafufua wafu kwenye redio Times Fm.

Nilimfatilia kwa muda wa wiki nzima nikagundua sauti za wale wanaotoa Ushuhuda ni zile zile ila mikoa Tofauti na wanajaribu kuigiza Lafudhi ya watu fulani kwenye mikoa husika.
 
Back
Top Bottom